Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kuanzisha kituo hiki ambacho kinasaidia maelfu ya wananchi hasa wale walioshindwa kumudu gharama kubwa za matibabu ya moyo huko ng'ambo.
Ninafahamu mna madaktari wazalendo na wabobezi hasa katika fani hii Tena wengi wao wakiwa bado vijana.
Tatizo kubwa...
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo...
Nimefuatilia mijadala ya BOT na Mh. Rais, uzuri ni kwamba Ile hotuba imehaririwa kidogo ili tusimsikie aliyetajwa kuwa mfanyakazi wa 1391 ambae alipomtaja tu ilikuwa rahisi kwa maboss wa BOT kumtambua na kukiri kuwa ni kweli sio mfanyakazi. Lazima hilo ni jina maarufu.
Tutajieni basi tumjue...
Hizi chaguzi zinapaswa kumalizika ili watu waanze kuchapa kazi. Rais tunae tayari hizi siasa uchwara zetu hazitusaidii. Mara mtu kapigwa ngumi, mara kawekwa ndani, mara kamtukana flani. Come on, genuine tuache mambo ya ajabu ajabu.
Nashangaa nyumba za makazi zimegeuzwa hostel katikati ya makazi ya watu. Bahati mbaya hao waliopangishwa ni kama vichaa. Wanapiga mziki na kupiga kelele mpaka saa nane usiku bila kubughudhiwa hali wakifanya jamii ikose usingizi. Ngoja tuone mwisho wake
Mara na ni kajiuzulu and whatever shit, mliokuwa na ajira za Muda kupiga siasa et al, hiyo era imeshapita, concentarion ni kujenga nchi sasa. Maneno meeeeengi Hanna kazi, wapiga dili na nyinyi poleni sana. Hakuna hafla na vitu visivyokuwa na miguu wala mikono.Hapa Kazi Tu. Poleni sana JK Yukon...
Napenda sana kazi udirector wa matangazo. Lakini nashangaa kuna wakurugenzi wengine wanachekesha sana. Hivi unaachaje tangazo linaruka redioni au kwenye TV mtu anatamka Lais badala ya Rais, au luhusa badala ya ruhusa?
Shame, hebu jaribuni kujirekebisha, Hata kama mtu hajui, basi mkaririshe...
Baada ya kuisikiliza na kuitafakari hotuba ya Nape akiwa Iringa nimejiuliza maswali lkn sijapata jibu. Hivi kwamba lowasa ana watoto ndugu jamaa na marafiki, Nape hajui? Kwamba ana wafuasi lukuki nalo bado halijui, na kama hajui je haoni? Kama Lowasa ha a sifa ya kugombea urais Si tume...
Nimekuwa nikifuatilia tatizo sugu la kuchelewa kwa mishahara ya watumishi wa umma bila majibu. Ikumbukwe hapo awali kama miaka nane iliopita, payday ilikuwa ni tar 25. Lakini siku hizi tarehe 40 ni kitu cha kawaida kabisa. Mimi kama banker naiona faida ya bwerere banki wanayoipata through sim...
Nimekuwa nikitafakari sana mnyukano wa katiba mpya na hasa muundo wa serikali. Ninachokiona ni poor timing ya hii katiba mpya kama kweli ipo.
Nikionacho ni nyakati hizi tulizonazo ambapo tunaelekea kwenye uchaguzi next yr. Je hao mnaowaimba kila siku ambao wao wako katika maandalizi ya kutwaa...
wakuu heshima mbele. Jana jioni nimewasha kakimeo kangu amboko mara nyingi huwa sikatumii nikatoka na wife mpaka sehemu, tukakaa mpaka saa moja hv. wakati wa kuondokw nikaingia na kuwasha gari nikaingiza gear narudi reverse ghafla nikiwa katikati ya main road naona kitu cha baridi kinanitambaa...
Wanajamvi naomba mwenye uelewa wa hii kitu, hati ya onyo kabla ya kumshitaki mtu, je Sheria inasemaje na je ikawa umemshitaki mtu bila hii kitu what is the implication?
Ulale pema peponi ewe gwiji wa Sheria Dr. Mvungi! Baada ya rambirambi hizi nirejee kwenye ujumbe wangu. Kwa mwaka huu maeneo ya kimara, mbezi ya shamba na tegeta kume kuwa na wimbi la majambazi, la, hawa Si majambazi Bali vibaka wanatumia mbinu za hatari kuvamia nyumba, nasikia wanajiita kumi...
Nauliza tu, ili tuwajue wenye mzigo ule. Naona watu wameshafukuzwa, kina masogange wako jela, wenye mzigo ambao ni dhahiri shahiri wanajulikana. Kama kweli mnapiga vita drugs hii ni nafasi ya kuwaweka hadharani. else mnatupotezea air time zetu bureee
Wakubwa heshima mbele, kwa anaejuaa kuhusu kodi ya uchakavu unapoagiza gari, najua inaapply kwa gari yenye zaidi ya miaka kumi na sheria inaongelea before the date to make it ten years, wanaposema date ni tarehe au mwaka? Kuna gari ya 2003 mwezi aw kumi na mbili, je regulations zinasemaje? Najua...
Kila mtu analalamika akitoka kodi hii ifutwe. Ukweli ni kwamba ukichukua hizi campaign za yatosha, kabang na Cheka umuhimu wa kuwa na masimu mengimengi umetoweka, simu yako moja unaweza piga tigo, voda, airtel etc kwahiyo kitendo cha kuwekwa kodi ya simcard it's obvious kila mtu ataepuka kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.