Search results

  1. BMM

    Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

    Kutokana na kauli ya Dr.Mwakyembe, mimi nina mitizamo ifuatayo; 1. Nimefurahi kusikia kuwa hadi viongozi wakuu wa serikali wanafuatilia JF so tuendelee kuhabarika kutumia JF 2. Ni kweli humu ndani huwa kuna thread za kizushi- we kama unabisha bisha tu! 3. Kwa kauli ya Dr.Mwakyembe, Waziri /...
  2. BMM

    Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

    Mwisho wa siku hatuangalii dharau/majigambo, tuaangalia uchapakazi na uadilifu, jamaa anapiga mzigo!
  3. BMM

    Mijitusi ya Lusinde Vs Sugu - Clouds FM

    Nimeona clip ya Lusinde akiporomosha kampeni za mijitusi huko Arumeru kupitia You Tube, lakini pia nilisikiliza nyimbo ya Sugu kupitia You Tube, ki ukweli hawa jamaa waliporomosha Mijitusi lakini wote wakiwa na sababu zao binafsi za kufanya hivyo!!!! Nikabahatika pia kusikia siku zote mbili...
  4. BMM

    Gari aina ya Noah inahitajika

    Nipigie 0755080188, Ben
  5. BMM

    Picha hizi zinakukumbushia wapi??????????

    Na huyu hapa mchezaji wa basket hapa:
  6. BMM

    Regia Mtema is No More!

    RIP mpiganaji.
  7. BMM

    Hamad Rashid aapa kuimaliza CUF

    I concur with you, na on top of that Hamad Rashid ana uchu wa madaraka, kumbuka miaka yote huko nyuma alikua anamsapoti Maalim na wakati ana madaraka Bungeni mbona alikua kimya, na hata kuingia ktk serikali "anayoita Kuolewa' na yeye anahusika big time, mi nadhani anafanya haya yote sababu kwa...
  8. BMM

    Sipigii kura mlima Kilimanjaro

    Wadau mimi siku za mwanzo nilipiga kura moja kutumia mtandao, lakini nikaacha sikurudia tena kwa sababu zifuatazo; 1. Kampeni hii kumbe ilianza muda mrefu sana(mwaka 2009) lakini hawa watendaji wababaishaji wamekuja kushtuka saivi mwaka 2011, tena ikiwa imebaki takribani mwezi mmoja tu, so...
  9. BMM

    Bizari kiungo cha mboga chenye faida nyingi

    asante sana mzizi kwa kunikumbusha, i previously used this, will resume.
Back
Top Bottom