Search results

  1. S

    Kama hatutasimama pamoja na Kenya kwa hili basi hata EAC umuhimu wake utakuwa umepelea!!!!!

    Ushirikiano wetu ni kiuchumi zaidi, wakiomba msaada katika mambo ya kiusalama wanaweza kufikiriwa, lakini kwa sasa hawajaomba wenyewe wanaona bado wanauwezo wa kuwadhibiti Hao vijana aka alshabab
  2. S

    Rais Kikwete awasili Riyadh kuhani kifo cha mfalme wa Saudi Arabia

    Wapwani wakifiwa leo wanazika kesho siku, siku ya tatu wanaendelea na shughuli zao. Na wewe je ukifiwa leo unazika lini? Na nyinyi ndio mliovumbua madini? na mnaendelea kuchimba? au wazungu walioopewa katika katika awamu ya 3
  3. S

    Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

    kuombaomba ni tabia ya wenyeji wa mkoa wa dom
  4. S

    Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

    Unasemaje? watu wasife! watu wanatoa sadaka, na kufanya mema mengi ili baba awapokee wakifa, sasa itakuwaje kama hawatokufa??????!
  5. S

    Picha: Kigogo TRA alivyomwagiwa tindikali; Sasa ni KIPOFU...

    Walijifunza UGAIDI huku
  6. S

    Binti Mwingereza aliyemwagiwa tindikali Zanzibar aapa kurudi tena mwakani

    Achana na ZNZ wewe! ni sehemu nzuri zaidi kutembelea katika afrika mashariki kama ana moyo wa kusaidia watoto tu si angelikuja huku tanganyika kenya uganda au sehemu yoyote duniani
  7. S

    Yu wapi Bi Naila Jidawi...?

    Politics is a dirty game wamemdampu!
  8. S

    Mafuta Zanzibar yanukia.... yasaini Mkataba na SHELL

    Nbora kujitenga na waunguja kwanza wao nwatwana na hata hao wa kusini pemba wakileta za kuleta waende kwanza ami mpemba asili hasa hakuna nmweusi!
  9. S

    Bomu la Zanzibar litatulipukia wote ni kazi kwetu kuamua cha kufanya

    Ni kweli kuna uongozi mbovu na hakuna utawala wa kisheria na uwajibikaji, kupeleka jeshi sio solution JK afunguke awambie ukweli watawala wa kule, asicheke nao.
  10. S

    Zanzibar haijawahi kuwa "kisiwa cha amani" katika historia yake !

    Ni bahati mbaya sana kijana wewe wa Zenj bado unafikiria misaada ndio njia ya kunyanyua uchumi. Mambo muhimu kukuza uchumi wenu ni kutumia vizuri resource zenu na kwa sasa mna UTALII TU kama na hilo mnaliharibu kama mlivyoikata mikarafuu haya!! au ndio mna mafuta na gesi? watanganyika wameprove...
  11. S

    Wazo la kuunda Muungano wowote ule ni lengo la kukusanya nguvu ya Pamoja

    Ajabu lakini ni kweli sehemu ndogo kama znz ina ushawishi mkubwa ndani ya nchi kubwa kama Tanganyika, kuna nini hapa? ni usalama au?
  12. S

    Serikali: Waliooana na wahamiaji haramu wavunje ndoa hizo

    Wataanza kuwaliza nyinyi watu wa maeneo hayo kwa sababu hamkutoa taarifa kwa vyombo husika mapema, nyinyi mnawapenda zaidi wageni kuliko wa tz wenzenu
  13. S

    Serikali: Waliooana na wahamiaji haramu wavunje ndoa hizo

    Wewe ni lazima una asili ya kule kule kwa akina PK!
  14. S

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Dawa ni serikali moja lakini mgonjwa hataki kunywa sasa ni miaka 50 sasa bora apewe hiyo sumu watu wapate kushughulia mengine!
  15. S

    Tumieni Hesabu za Seti Katika Kutafuta Idadi ya Serikali (Katiba Mpya)

    KUH TAARIFA Chakula kikuu zanzibar ni mchele, ngano na sukari na zaidi asilimia 90 ya bidhaa hizo zinatoka pakistan, india na thailand, bidhaa zinazotoka zinazotoka kwetu huku TG ni ghali kuliko zile za nje mfano mchele wa TG unauzwa kilo moja tsh 2000 ule wa nje sh 1100, sukari nyekundu...
  16. S

    Mfumo wa uongozi ndani ya CCM ni waserikali tatu,iweje tena wapinge mfumo huu

    Ni rahisi kumdhibiti mtu kwenye chama kuliko raisi wa tanganyika na zanzibar watakaochaguliwa na wananchi, hivyo itakuwa rahisi kuvunjika kwa TUNU
  17. S

    Zaidi ya zzk ndani ya cdm... Nani mwingine aliesimamia kauli yake

    Ahaa, kumbe wote sawa, maneno mengi utekelezaji 0
  18. S

    Mheshimiwa Sumaye - Nabii halisi anayeishi

    Huyo sio nabii wala shemasi alishindwa kushauri mkapa vizuri wakatumia nguvu kuzuia maandamano kule zenz 2001 zaidi ya 30walifariki kwa sababu za siasa
Back
Top Bottom