Search results

  1. Glenn

    Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

    Habari Wakuu, Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania. Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na; 1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa 2. Amehudhuria Mahakamani mara 159 Unaweza kumsikiliza hapo chini
  2. Glenn

    Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

    Hello wakuu sana; Siku zilizopita nilipoteza bag langu dogo lenye vitu vichache lakini muhimu. Ndani ya bag kulikuwa na ; -Suruali 3 za jeans -Raba za nike pair 2 -shati 2 na nk -kadi 4 za bank tofauti -kadi ya gari -leseni ya udereva -kadi ya gari -××pasi ya kusafiria -cheki ya bank nk. -...
  3. Glenn

    Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii. Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester. Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza...
  4. Glenn

    Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

    Wakuu sina nia ya kudhalilisha au kumdhalilisha yeyote lakini kuna mambo yamenisikitisha sana katika sherehe za Mei mosi. Nimeangalia sherehe za Mei mosi ambazo zimehutubiwa na rais Mwinyi kuna vitu vimenisikitisha sana. - Sherehe imepooza kama tukio la serikali za mitaa bara. - Watu...
  5. Glenn

    Kwa Wanawake wote wa JF

    Ni matumaini yangu mko salama wote popote mlipo. Napenda niseme maneno machache katika siku yenu muhimu...mnaposherehekea siku ya wanawake duniani. Kwa wale wasomi wa biblia kuna mistari kadhaa imewasifia wanawake kuwa ninyi ni kitu chema; Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali...
  6. Glenn

    Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

    Wakuu sana pokeeni salamu zangu. Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti. KISA CHA KWANZA: Huyu ni rafiki yangu kipenzi sana, na naomba nimpe jina Tonia (jina sio halisi) Tonia nilikutana naye katika mazingira yangu...
  7. Glenn

    Leo ninamposti Miss JF CARLEEN

    Asanteni
  8. Glenn

    Siku hii ya Christmas unaisherehekeaje mwana JF? Siku yangu ipo hivi

    Leo ni siku muhimu pote duniania hasa kwa jamii ya Kikristo na Wakristo wote duniani. Ni siku iliyotengwa maalum kabisa kwa ajili ya kukumbuka alivyozaliwa Yesu Masihi. Nimetangulia kusema ni siku/tarehe iliyotengwa kwasababu biblia haikutamka tarehe halisi. Katika siku hii muhimu katika...
  9. Glenn

    Hatari Same; Makundi ya tembo yanatishia uhai, Waziri Ndumbaro chukua hatua

    Habari wana JF wenzangu, Ni miaka mingi nimekuwa mtumiaji wa barabara ya kuelekea Mikoa ya kaskazini mwa nchi yetu yaani Kilimanjaro na Arusha bila kuona wanyama wowote wakali kama simba au tembo. Lakini jambo la kushangaza, hivi karibuni yameibuka makundi makubwa sana ya Tembo wengi sana...
  10. Glenn

    YANGA NA SIMBA WANADUMAZA MPIRA KWA IMANI HIZI

    Mpira wa miguu ni moja ya burudani kubwa sana ulimwenguni. Mpira wa miguu ni ajira bora kabisa kwa vijana wenye vipaji vya kusakata kabimbumbu sawasawa. Mfano mzuri ni nchi za Amerika kusini ambazo zimewekeza zaidi katika mpira wa miguu hasa Brazil nk. Brazil ikiwa mchezaji ataihujumu timu au...
  11. Glenn

    Makongoro Nyerere, anaweza kuwa mkuu wa mkoa bora kabisa

    Huyu mwamba ni mcheshi na mchekeshaji sana, pamoja na porojo zote huwa hasahau point aliyoilenga kuisema. Kwa ucheshi wake anawafanya wasikilizaji wake kuwa makini na mvuto wa kumsikiliza. Jambo lingine, amejishusha sana tofauti na wataule wengine wanaopenda kujibashitelize hasa ukizingatia ni...
  12. Glenn

    Heri ya kuzaliwa Miss Renee

  13. Glenn

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

    Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa; Hofu Mashaka Umasikini uliotopea Ombwe la kiuongozi nk. Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena. Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya...
  14. Glenn

    Lissu pengo lako linaonekana sana Bungeni

    Ni miaka miwili na nusu sasa tangu waliokusudia mabaya kwako wakutie kilema na majeraha ya mwili na nafsi yasiyopona. Watu hawa waliamini wangezima ndoto zako na kukumaliza usionekane tena bungeni na duniani. Walijua kamwe ungezikwa kwa aibu kama mbwa mfu. Walipanga namna ambavyo ungeagwa na...
  15. Glenn

    IGP Sirro, hivi Polisi wa Tanzania hawanaga mbinu salama za upelelezi? Hii inauma na inatia hasara

    Nimeangalia video ya kijana wa Arusha anayetuhumiwa kumwibia tajiri yake 8m,. Hii video iliyorushwa Ayotv, inakasirisha sana. Huu sio ubinadamu, na sio weledi kiutendaji katika jeshi la polisi. Tuhuma pekee haitoshi kumtia mtu hatiani na kuamua kumhukumu kiasi hiki hadi kumsababishia majeraha...
  16. Glenn

    Muimbaji wa nyimbo za injili aliyepoteza maisha kwa kukatwa na shoka siku ya Krismas

    Ni jambo la kusikitisha kwa huyu binti kukatishwa uhai na mumewe kumkata na shoka kichwani siku ya tarehe 25, kwa kile kilichodaiwa muwe alichukia kuandaliwa chai siku ya sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa Bwana Yesu. Binti huyu Mary Richard ambaye ni muimbaji wa nyimbo za injili, nilimfahamu...
  17. Glenn

    Nissan Patrol (chura) inahitaji

    Wakuu habari za majukumu; Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza kutuma picha hapa. Ninatanguliza shukrani nyingi
  18. Glenn

    AirBus yetu imeanza kupiga mzigo tena

    Hongereni Mwanza naona dude limeanzia kazi kwenu
  19. Glenn

    ATCL mnaanza kuua shirika, Rais Magufuli fungua macho kuna ucheleweshwaji wa abiria uliokithiri

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana, hivi karibuni shirika letu la ndege la ATCL limeanza kutuletea usumbufu mkubwa sana abiria. Ndani ya wiki moja nimekutana na ucheleweshaji mkubwa sana ulionisababishia hasara na kuniharibia mipango yangu. Ndege kuchelewa si jambo geni na linatokea...
  20. Glenn

    Ni majira ya Makonda hakuna wa kumzuia

    Katika awamu ya 5 kumekuwa na mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi, kiutawala, kibiashara na hata maisha ya wananchi kwa ujumla. Mabadiliko haya kwa kiasi kikubwa yamechagizwa na utawala uliopo madarakani. Unapokuwa kiongozi, haiba yako, maono yako na tabia yako binafsi ndio hutengeneza tabia na...
Back
Top Bottom