Search results

  1. chumanile

    Umewai kuishi maisha ya "Ziro bajeti"Katika maisha yako?Usiombe maisha haya yakukute mkuu

    HABARI WANA JF!NA MEMBEZ WOTE. maisha yana mambo mengi kwa kweli.unayo yajua,usiyo yajua na unayo yafikiria.kuna kipindi binadamu tunapitia mapitio ya hovyo sana na magumu mno.ima maradhi,shida na mateso, FURAHA na nk.ila Leo tuangalia tuliopitia maisha HAYA ya ZIRO BAJETI."nikisema ZIRO BAJETI...
  2. chumanile

    Ulipokuwa mdogo ulijitabiria kufanya kazi gani?

    Habari members! Kila MTU anatamani au alipanga awe anavyo taka ima kimaisha wadhifa, kielimu nk. BINAFAI nilipo kua mdogo nilitamani sana nikiwa mkubwa niwe mwalimu kwa sababu niliona mwalimu ni MTU muhimu sana katika jamii. Huwezi kua doctar mpaka ufundishee na mwl Huwezi kua rubani Huwezi...
  3. chumanile

    Kipi bora kati ya kuajiriwa na kujiajiri?

    Maisha ni mafanikio, haijarishi umeyapata wapi na njia ipi kubwa mambo yaende kwa mtindo unao utaka. Kira mtu ana namna ya kufikia malengo yake. Binafsi nimewai kuajiriwa, pia nimejiajiri. Changamoto ni nyingi katika nyanja na lazma ukabiriane nazo. CHANGAMOTO ZA KUAJIRIWA ni nyingi mno kubwa...
  4. chumanile

    Wazawa wa mkoa wa Lindi mko wapi kutumia fursa zilizomo mkoani kwenu?

    Habari wakuu, Tukiwa tuna uaga mwaka, kuna mambo ya kujadiri haswa taswira na maendelea ya mikoa yetu tulioko au tuliko zaliwa au tunapoishi. Mwaka huu nimejikuta nimekwenda mkoa wa Lindi kuliko mikoa mingine apa Tanzania mengi nimejionea zikiweno fursa, mazingira, mapungufu na mengine mengi...
  5. chumanile

    Tunalia hali ngumu ya maisha lakini chanzo ni sisi wenyewe

    Habari wana jamvi? Kila kukicha watu hawaishi kulalama na kusikitika, na kusema kua hali ya maisha ni ngumu. Je? Ulisha jiuliza hali hiyo imetokana na nini? Je unajua chanzo cha hali ngumu ulionayo imetokana na nini? Ukweli ni kwamba sisi wenyewe ndio chanzo Mambo matatu yanatufelisha vijana...
  6. chumanile

    Kwanini ukiishiwa pesa mipango huwa mingi?

    Natumai tuko salama,baada ya kuishinda cvd19. Huu usemi wa "masikini akipata matako hulia bwanda". Sijui unamaanisha nini?mtanifahamisha wahenga. Ila ninachojua mimi, mtu baada ya kuishiwa pesa mipango inakuwa mingi. Tena anajua mpaka dili la buku kumi akipata afanyie nini ili siku zisonge...
  7. chumanile

    Tuliowahi kuwa na pesa za mboga na baadaye zikaisha, maisha yalikuwaje?

    Ama kwa hakika M/Mungu anatupigania haswa kwa maana wezetu waliopo katika sehemu mbalimbali wanaishi kwa hofu kubwa sana kutokana na hili janga la Coronavirus. Kiukweli maisha yanaenda mbio sana, na changamoto ni nyingi mno, ambazo kila mtu anakutana nazo. Inawezeka wewe uko vizuri hujui haya...
  8. chumanile

    Asante mke wangu kwa unayonifanyia

    Habari ya Jumatatu wana ndugu wote. Niaze na kumshukuru Mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke. Kiukweli wanawake wana mapungufu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na...
  9. chumanile

    Hakuna aliyezaliwa ili aje kuwa mtu mbaya au kuwa na roho ya kukatili

    Habari wandugu wote! Duniani kuna mengi ya kustaajabisha na hata wahenga walisema"KUA UYAONE". - Uwaone walimwengu - Maajabu ya walimwengu - Matendo ya walimwengu KWA NINI WALIMWENGU NA SIO WANYAMA? Sababu ni moja tu. Walimwengu ndio walio itawala dunia na kuendesha kadri waitakavyo na...
  10. chumanile

    Naomba msaada wa dawa ya kuvimba kwa msuli kutokana na kufanya mazoezi

    Habari wajuzi wa mambo ya tiba na ushauri, juu ya magonjwa. Kiafya niko vizuri sana, kwa maana sina ninaposikia maumivu makali, isipokuwa nimepata hitilafu katika msuli wa mguu wa kulia nyuma ya goti. Umevimba na husababisha msuli kukaza pindi ninapoukunja na kuukunjua. Hivyo, nimejaribu...
  11. chumanile

    Tuliowahi kukopa bank na tukafilisiwa, tupoje kiuchumi hadi sasa?

    Habari wana jf. Tumshukuru mungu kwa kua tuko na afya njema na tukiwa tuna uwaga mwaka 2019. Kiukweli hatufi ila chamoto tunakiona. Nikiwa mfanya biashara mdogo 2003/2003 nilikua nakua kwa kasi kibiashara, niliweza kuendesha biashara yangu vizuri kabisa.pia niliweza kujijenga kimaendelea kwa...
  12. chumanile

    Ukiwa kiongozi wa familia, ulishawahi kutoa fursa ya kuulizwa maswali na kujibu kwa ufasaha?

    Habari wana JF, Napenda sana kukaa na family yangu haswa siku ya Jumapili. Baada ya shughuli za nyumba kuwa zimeenda sawa huwa natenga kamuda kwa ajili ya kukaa na watoto wangu na mama yako. Tabia hii nimerithi kutoka kwa baba yangu ambayo anayo. Baada ya maongezi ya hapa na pale, kupitia...
  13. chumanile

    Ulijisikiaje mara ulipoambiwa taarifa za kifo cha mtu wako wa karibu?

    Habari wana jamvi! Wandugu kuna taarifa nyingi tunakutana nazo katika maisha yetu ya kira siku, na kuzipotezea kama si kuzipuuzia kabisa.na zipo zingine zinaumiza rakini, mwisho wa siku unajifariji kwa kusema Mungu yupo ata nisaidi. Ipi taarifa ambayo ilikustua na kukufanya uchanganyikiwe kati...
  14. chumanile

    Ukiona dalili hizi kwa mgonjwa wako,jua ana aga dunia.

    Habari wanaJF, Najua kila mtu amewahi kuuguza ama ndugu,jamaa au rafiki. Kiukweli kila muuguzi anapenda kuona mgonjwa wake anapona au anapata nafuu lakini katika harakati hizi za kupambania kuimarika kwa afya kuna mambo mengi hujitokeza kwa mgonjwa na pindi uonapo hali hiyo jua siku zake za...
  15. chumanile

    Matatizo na raha ni sehemu ya maisha

    Hbr ya jion wakuu mbalimbali.tuaze na kumshukuru m/mngu kwa neema za uhai,na afya njema alio tupatia waja wake.tukiwa tumeuza mwaka na Leo January 6 2019.nimekumbuka mambo mengi sana yalio nitokea miaka kazaa nyuma ktk maisha yangu,mazuri kwa mabaya.pia nimejifunza mengi sana juu ya matukio...
  16. chumanile

    Tukio lipi linauma sana katika mapenzi?

    Hbr wana jamvi.najiuriza kwa nini MTU hufikia kufanya maamuzi magumu kisa mapenzi?kuna nini ndani ya mapenzi mpaka kinawatesa watu?kuna siri gani ktk mapenzi kiasi ambacho MTU awaze kuvumilika,kusia,wala kuona juu ya mapenzi? JIULIZE...?? IMANI YA KIROHO NA MAPENZI KIPI KINANGUVU? Sent using...
  17. chumanile

    Wenye watoto wa kike mtushauri hapa...

    Hbr wana jamvi.jirani yako ni ndugu yako wa karibu wahenga wanasema. nashukuru sana kua naishi vizuri na jirani zangu kiasi cha kuniamini na kunithamini. Kutokana na kuishi nao vizuri tumekuwa tunashauriana baadhi ya mambo mbalimbali ya kijamii,kifamily na kimaendeleo.jpli moja nikiwa...
  18. chumanile

    Nisaidieni kujua hii hali.vijana kuzeheka wakiwa na umri mdogo.

    Hbr ya jioni dungu jamaa na marafiki. Kiukweli maisha yanaenda mbio sana.tukiwa ktk harakati za ku uwaga mwaka 2018na Leo tupo ktk tar 17 nov, hii ni dhahili mwaka upo ukingoni.pamoja na masiku kukimbia kuna hari imejitokeza ktk jamii zetu. UTAKUTA MTU ANA ISHARA ZOTE ZA...
  19. chumanile

    Kiko wapi kipindi chetu pendwa cha bongo dalesalam?

    Kiko wapi kipindi chetu pendwa cha bongo dalesalam ?pamoja na kufurahisha,pia kilikua kinatoa ELIMU,juu ya hawa mataperi wa mjini.bongo daresalama,kilipata umaalufu sana kilipo rusha hewani kipindi cha mkuu wa polisi akitapeliwa,na WAJANJA WA MJINI.bongo daresalam kiliwatoa watu tongotongo haswa...
  20. chumanile

    TUKUMBUSHANE TULIO TAILI POLINI.

    Imani yangu tuko wazima.nikirudisha kumbukumbu nyuma miaka 36 iliopita,naikumbuka siku nilio katwa govi(kutailiwa)siku hii sito isahau kwa kweli.asabuhi niliona watu wengi nyumbani,niliuliza naambiwa kuna sherahe.hivyo basi uta chinjiwa kuku,utakula madafu nk.siku jari niliendele kutia fujo...
Back
Top Bottom