HABARI WANA JF!NA MEMBEZ WOTE.
maisha yana mambo mengi kwa kweli.unayo yajua,usiyo yajua na unayo yafikiria.kuna kipindi binadamu tunapitia mapitio ya hovyo sana na magumu mno.ima maradhi,shida na mateso, FURAHA na nk.ila Leo tuangalia tuliopitia maisha HAYA ya ZIRO BAJETI."nikisema ZIRO BAJETI...
Swali zuri sana mtoa mada.
Mkuu BAHATI ni nini?bahati ni matokeo ya juhudi mbalimbali unazo zifanya katika harakati zako za kira Siku katika kuyakabiri maisha yako.bahati hutafutwa kama unavyo tafuta vitu vingine.kutafuta bahati maana Yake kuweka mipango yako katika njia ya kufanikiwa...
Habari members!
Kila MTU anatamani au alipanga awe anavyo taka ima kimaisha wadhifa, kielimu nk.
BINAFAI nilipo kua mdogo nilitamani sana nikiwa mkubwa niwe mwalimu kwa sababu niliona mwalimu ni MTU muhimu sana katika jamii.
Huwezi kua doctar mpaka ufundishee na mwl
Huwezi kua rubani
Huwezi...
Brother mshana we nimkubwa sana.sio kiumri.bali kiakili,kielimu na kimaarifa.pia ni barikio KUTOKA kwa mungu kukupa maono,fikri pevi .niseme tu unatoa mchango mpana sanaktk jamii yetu...nimalizie na kusema FUNGUA CHUO KAMA LAS SIMBA TUJE KUSOMA ELIMU,NA MAALIFA JUU YA ULIMWENGU.
Kwatu tuna uwezo mkubwa wa kifedha KUAZIA upande wa baba ATA mama pia na kwetu tumezaliwa watoto wanne.kaka alisoma Hadi chuo,rkn sioni thamani ya elimu yake.dadaangu ameishi six,mwisho wa siku kaolewa na muuza mifuko k/Koo wanawake mungu anawaona.tokea hapo baba hakuona HAJA ya kuendelea...
Ww mwenye akili finyu.usiojua mfano na uhalisia.
KAMA JINA LIKO LINAVYO SEMA MASIKINI..HANA HOJA ANA HAJA.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Katika watu milioni 14.5 duniani kote wasio amini kua mungu hayupo Ni watu labda 1.35. Tena machizi,wenye mtindio wa ubongo.UKIWEMO NA WEWE MTOA MADA ZA MAVI.
swahi Hilo linaulizwa na watoto wenye miaka 3/6.ili kuilisha ubongo wake chakula Cha maalifa KUTOKA kwa mzazi.
Sent from my TECNO KC8...
Ivi Kuna asie kua na mapunguvu?
Kira ukipitia tawala zote,viongozi wote utakuta jamii furani inalalamika KUHUSU utawala,wa mabavu,uonevyo,unyanyasaji nk.jamii nyingi humpongeza na kumuombea,kwa mema alioyo wafanyia.
Ama kweli hii ndo DUNIA NA WALIMWENGU.
BIE YA KITABU?
Sent from my TECNO KC8...
Uko sahihi brother.tatizo hawaweki mikazokatika Sheria husika.mfano asaivi zoezi linalo endelea ni kuondoa vibanda,na wafanya biashara katika sehemu zisizo rasmi.rakini BAADA ya miezi 6 watu wanarudi tena.kwa Nini tusione wanaonewa?Kama Seria inasema ondoka kwa nini ibadikike na iwe Rudi?tatizo...
Maisha ni mafanikio, haijarishi umeyapata wapi na njia ipi kubwa mambo yaende kwa mtindo unao utaka.
Kira mtu ana namna ya kufikia malengo yake. Binafsi nimewai kuajiriwa, pia nimejiajiri.
Changamoto ni nyingi katika nyanja na lazma ukabiriane nazo.
CHANGAMOTO ZA KUAJIRIWA ni nyingi mno kubwa...
Mi naamini halimashauli yako ya kichwa iko vizuri.unauwezo wa kujisimamia na kujiongoza,weka mikazo tu.(UKITAKA KUFELI MAISHA KUMBATIA FAMILY,NA UKITAKA KUFANIKIWA KUA MBALI NA FAMILY)
Aisee na sadiki maneno yako.ukiingia ndani zaidi unaweza kusema UVIVU,UJINGA NK. rakini laah mfumo m'bovu wa mango mkakati,ulio ndani ya katiba yetu na uongozi kwa ujumla. Tunakosa uthubu kwa sababu ukithubu hutoona ticha wala mafanikio katika hilo.
Ukitaka kujua hilo
Mfunga analia
Mkulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.