Search results

  1. Pablo 119

    INAUZWA ᴇxternal ʜᴅᴅ 466 ɢʙ

    [emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]
  2. Pablo 119

    Msaada: Mdogo wangu amepata III ya 25 lakini hajachaguliwa kwenda Chuo wala Advance

    Habari za jioni, Nilikua naomba msaada kwa mtu anaejua kuna mdogo kapata III ya 25 lakini selection zimetoka ajachaguliwa kwenda chuo au advance wakati kunawenzie wana alama kama yake na wamechanguliwa shida inaweza kuwa nini hapo Civ (c) Hist (c) Geo (D) kisw (c) Eng (c) Bio (D) math (f)
  3. Pablo 119

    WAPI MAENEO VIWANJA

    NIpo dar kwa likizo fupi kwa wale wenyeji ningependa kuuliza wapi pub or club ilio bomba kwa kutumia pesa
  4. Pablo 119

    Ushamba wa msukuma uko wapi?

    USHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI? Ninavyomfahamu 1.Hapendi makuu,ukimchokoza anasema KAYA YA NG'WOBA NAYO KAYA ili siku ipite salama. 2.Hapendi kesi,ukimdhurumu anasema MAGUZU MASESE ili asipoteze muda kufuatilia mambo ya kesi,badala yake afanye kazi. 3.Hapendi kuumiza moyo kwa hasara iliyotokea...
  5. Pablo 119

    Fundi urembo wa nyumba

    Fundi urembo wa nyumba nguzo kona skating harch madrisha nk...napatikana dar Es salam ila popote pare ukiniitaji nafika kwa kazi zaidi na nyumba yako iwe na muonekano wa kisasa zaidi call.0784142034
  6. Pablo 119

    Fundi urembo wa nyumba

    Fundi urembo wa nyumba napatikana dar Es salam ila popote pare ukiniitaji nafika kwa kazi zaidi na nyumba yake iwe na muonekano wa kisasa zaidi namba 0784142034
  7. Pablo 119

    Msaada Simu inabagua kusoma sim card

    Habari zenu wana jukwaa please naombeni msaada wenu Simu yangu ni samsung note 3 inabagua kusoma sim card mwanzo nilipochukua ilikua inasoma halotel na voda ila tigo na airtel zilikua zinagoma baadae nika restore nikaweka line ya airtel ikasoma sasa hivi line zingine zina goma kusoma mwenye...
Back
Top Bottom