Search results

  1. Sabung'ori

    Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

    Marehem asemwi vibaya,Tumwater Bob J apumzike
  2. Sabung'ori

    Ushuhuda wangu kuhusu kaburi la Hayati Magufuli

    Huu mwandiko ni kama wa Zumaridi
  3. Sabung'ori

    Maswali tunayopaswa kujiuliza kama Taifa baada ya kujua watoto wa Lissu ni raia wa Marekani

    Wakwako peleka hapo Burundi ili kubalamce mambo
  4. Sabung'ori

    Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    Hayo yote uliyoorodhisha hayana maana coz sijaona sehemu yoyote uliyomtaja Muumba mbingu na aridhi
  5. Sabung'ori

    Treni ya umeme naona imeanza kazi

    Kwa speed hiyo bilashaka letakuwa ni trani la umeme wa jua na mvua hizi zinavyonyesha uenda ndo imesababisha likakosa nguvu ya-kukimbia
  6. Sabung'ori

    Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

    Acha masimngo na ulimbukeni usiokuwa na maana kijana,kila sehemu inautamaduni wake wa vyakula,kama ambavyo hauwezi kupata furu wa kubanika Washington ndio hivyo hivyo ulikosa brown bread Mwanza,uku kwetu asubui tunagonga chai ya maziwa na mahidi ya kuchemsha kwa raha zetu,hayo si jui ma brown...
  7. Sabung'ori

    Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tofauti ya ku-bet na kutafuta mnawamke mitandaoni ni ndogo sana,kumbuka 1/Dec ili kuwa ni juzi tu na watafiti wamesema ya kwamba asilimia 70 ya maambukizi mapya ya UKIMWI ni vijana kati ya miaka 14 hadi 25 na hao ndio wamejaa humu mitandaoni
  8. Sabung'ori

    Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Yamtokayo mtu kinywani mwake ndio yameujaza moyo,tofauti ya huyu na yule ni njinsia tu
  9. Sabung'ori

    Je, Mwanaenzi Hassan Suluhu ni mtoto wa Mama?

    Sikuzi zinakuja na kupita,kuna yale yasiyotabirika yakitokea kila kitu kitakaa mahala pake
  10. Sabung'ori

    Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

    Sasa mbona Mhongo akikariri hayo(Tanzania imeshuka na kwa sasa haipo uchumo wakat) inakuwa nongwa na kuonekana anakisema vibaya chama!?
  11. Sabung'ori

    Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa wajitafakari

    Ndugu yangu elewa ya kwamba Utabiri sio kitu cha kutegemea kwa saaaaana,ukiwasikiliza ktk taarifa zao mwisho huwa wanasema '"matajio ni mabadiliko kidogo" ,kwa maana hiyo yale waliyotabiri sio mambo ya uhakika asilikia mia
  12. Sabung'ori

    Kijembe: Simbachawene adai kuisema vibaya Serikali ni kujidhalilisha

    Kwa hiyo kusema ukweli ndio kukisema vibaya chama!?
  13. Sabung'ori

    Mitandao ya simu sikieni

    Sisis ndio tunawpa nafasi ya kupandisha bei kadri wavyotaka,kwa wingi wetu tukiamua kugoma kwa siku tatu tu kutumia mitandoa,kwa hasara watakayopata itarudisha heshima yetu kama wateja,kwa mtindo huu wanaoenda nao kila wakipandisha bei tunakaa kimiya na kunungunika bila ya kuchukua...
  14. Sabung'ori

    Namna ya kumrudisha X wako bila ya kuumiza kichwa wala kuonekana king’ang’anizi

    Kwa hesabu zangu nilizopiga haraka haraka kwa kutumia ile njia ya magazijuto,jibu limekuja ya kuwa kumrudia Ex(mpenzi) ni gharama kubwa kuliko kutongoza upya lkn ni rais sana na ninafuu kumrudia Ex(mke wa zamani aka mtaraka wako)
Back
Top Bottom