Search results

  1. B

    Hivi unawezaje kuishi nia mpenzi mlalamikaji?

    Pole sana. Nashauri usimchoke wala usimchukie. Umeelezea mengi kuhusu yeye na kikubwa umesema kuwa alibadilika baada ya kuwa pamoja. Ni vema na wewe pia ujitathmini Je kuna tabia zozote au mienendo yako binafsi ambayo imebadilika? Nahisi kuna kitu kimebadilika. Pili... Iwapo ulimzoesha kumpa...
  2. B

    God bless you Godbless Lema

    Wapendwa wana JF natambua ni masaa machache yamebakia kwa Mh.Lema kufikishwa mahakamani. Nikiwa kama mdau wa JF nimefanikiwa kuona video zote zilizowekwa humu jamvini. Pamoja na hayo toka kukamatwa kwake nimefanikiwa kusoma taarifa mbalimbali zilizotolewa na watu tofauti na hata zile za CDM...
  3. B

    PhD UNIVERSITY OF DODOMA

    Asante Sana. Nitaangalia site yao soon.
  4. B

    PhD UNIVERSITY OF DODOMA

    Ndugu zangu. Ninahitaji kupata taarifa juu ya PhD programs za UDOM. Nimeaangalia kwenye website yao www.udom.ac.tz lakini sikupata taarifa zozote za jinsi ambavyo ninaweza kujiunga na kozi ya PhD pale. Je kuna mtu yeyote anajua taratibu au labda ana soft copy ya prospectus yao ambayo inaweza...
  5. B

    The US Presidential Elections-2012

    Wapendwa wana jamvi , nimepata muda wa kufuatilia mdahalo wa pili kati ya Rais Obama na Gavana Romney ambao kwa kiasi kikubwa nimeufurahia siyo tuu kwasababu Obama ameshinda lakini pia kwa statement ya Romney ya "binders full of women" ambayo imezua mijadala mingi ndani mitamdao tofauti...
  6. B

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Naomba tuwa wakweli. 1 John 3:18-20 “Dear children, let us not love with words or tongue but with actions and in truth. This then is how we know that we belong to the truth, and how we set our hearts at rest in his presence whenever our hearts condemn us. For God is greater than our hearts, and...
  7. B

    Nokia n8 - code error problem

    I have a lock code on my phone Nokia N8 but for some reason when turning it on the other day it doesn't accept my code anymore. It comes up with "Code Error". I am definitely putting it in correctly. There is no way I changed it / forgot it. There is no way that anyone else could have changed my...
  8. B

    Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

    Ndugu zangu, Cheating si nzuri kwetu sote. Tumuombe Mungu tubadilike, tuchukie na kuacha kabisa cheating. Hakika huo mpango wa Mungu. Nawaachia ujumbe huu:- "Live lives worthy of God, who calls you into His kingdom and glory." "What do people think of God when they watch us in our marriages?"...
  9. B

    Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    Wapendwa siamini kama ili linaukweli hasa katika wakati huu ambapo watu wengi hasa hasa vijana wanaelimu ya kutosha ya duniani na mbinguni. Udhaifu wa mtu mmoja mmoja si busara kuwa ni udhaifu wa kabila au jamii. Hata hivyo mtu makini daima uweza kumsaidia mwenzi au mpenzi wake kutoka katika...
  10. B

    Regia alimkwepesha pacha wake na ajali

    Poleni sana ndugu na familia nzima kwa kuondokewa na mpendwa wenu/wetu. Mungu awabariki na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu. Nawapeni ujumbe huu:- The LORD is a refuge for the oppressed, a stronghold in times of trouble. PUMZIKA KWA AMANI REGIA
  11. B

    Ngono maofisini

    Ndugu zangu jambo hili ni baya sana. Mungu hapendi. Nawaachieni maneno haya. Do not fret because of evil men or be envious of those who do wrong; for like the grass they will soon wither, like green plants they will soon die away. Trust in the Lord and do good; dwell in the land and enjoy safe...
  12. B

    I love my wife but...

    A WOMAN NEEDS a husband who’ll protect his wife and make her feel secure. This means more than protecting her from physical harm. It also means protecting her from emotional harm.
Back
Top Bottom