Search results

  1. Tundapori

    Masikio ya Kitimoto yanahitajika haraka

    Nahitaji masikio ya kitimoto halaka iwezekanavyo. Masikio yawe 100 hadi 150 jumla. Yawe makubwa makubwa na manene manene. Nipo Dar.
  2. Tundapori

    Kuchakata Gogo la mbuyu

    Wakuu salaaaaaam. Msaada. Natafuta mtaalam mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu wa kuweza kuteketeza gogo kubwa la Mbuyu (Baobab). Mbuyu huu mpaka sasa umeshafikisha miaka miwili tangu umekatwa, ila gogo lake ndo haliozi haraka. Nimelichoma moto mara kwa mara lakini lipo tu na mimi natamani...
  3. Tundapori

    Bibi/Bwana Shamba mbobezi wa Maembe anahitajika

    Kwa mwenye kumfahamu Bibi/Bwana Shamba aliyebobea katika kilimo cha maembe naomba anipatie contacts za huyo mtaalamu. Shamba la Miembe lipo Dar es Salaam. Shukrani.
  4. Tundapori

    Masada: Mashine ya kufyatulia "Paving Blocks"

    Kwa mwenye kufahamu: Natafuta mashine ya kufyatulia Paving Blocks. Ama kwa kutengenezewa au kununua iliyotengenezwa tayari. Iwe machine yenye ubora na iwe mara. Itafaa zaidi kama nikipata kampuni au jina la mtu anayetengeneza pamoja na bei ya machine. Asanteni.
  5. Tundapori

    Natafuta Miche ya minazi mifupi ya kisasa

    Wakuu salaam zenu. Natafuta miche au mbegu ya Minazi Mifupi ya kisasa. Ile minazi inayoanza kutoa nazi ikiwa ni mifupi kabisa. Mwenge kufahamu inapopatikanika hiyo miche au mbegu anifahamishe tafadhali. Asante sana.
  6. Tundapori

    Help: Toyota Vitz, Engine nzuri ni ipi wakuu ?

    Kwa mwenye uzoefu mzuri na Toyota Vitz model mpya ya kati ya mwaka 2005 - 2008. Nimeangalia kwenye mtandao wa Beforward kuna Model Code kama za aina tatu tofauti. Model Code hizo ni: 1. CBA-NCP95 (Engine cc 1,290) 2. DBA-SCP90 (Engine cc 1,290) 3. DBA-KSP90 (Engine cc 990) Kati ya hizi model...
  7. Tundapori

    Msaada Tecno P5

    Wajambo wakuu? Natafuta Tecno P5 mpya kabisa yenye quality nzuri. Naogopa kutapeliwa au kupata feki. 1. Je, kwa Dar es salaam nani ma ajenti wa simu za Tecno ? 2. Tecno P5 inauzwa TSh. ngapi kwa Dar ? Shukrani.
  8. Tundapori

    Nahitaji mtu wa kuangusha mbuyu

    Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwa ye yote anayemfahamu mtu au kikundi cha watu wenye ujuzi/utalaamu wa kuangusha mbuyu ananipatie contact zake au ani PM. Mbuyu ni mkubwa sana na kwa kukadiria shina lake lina kipenyo kama cha mita 3 hivi. Mbuyu huu upo Dar es salaam. Gharama za kazi...
  9. Tundapori

    Msaada tafadhali

    Natafuta namba za simu Kwiro Boys High School iliyopo Mahenge Morogoro. Nafuta simu ya mwalimu mkuu au simu upande wa utawala. Natanguliza shukrani.
  10. Tundapori

    Msaada: Fertilizer Trees or Plants.

    Zenu wakuu? Naomba kama kuna anayefahamu namna ya kuongeza uzalishaji wa mahindi shambani kwa kutumia mbolea asili ya miti iitwayo "Fertlizer Trees" anisaidie. Hii miti huwa inabadirisha Nitrogen iliyoko hewani kuwa Nitrates ardhini, kwa hiyo mahindi hupata hiyo mbolea ya Nitrates na kustawi...
  11. Tundapori

    Zitto afunika Igunga

    Check jinsi Zito alivyofunika Igunga Zitto afunika Igunga
  12. Tundapori

    Furahia uhondo wa Pride FM

    Kwa ware wenye iPod, iPhone na iPad au smartphones zingine waweza kusikiliza mavituzi ya nyumbani kupitia radio iitwayo "Pride FM" toka Mtwara. Ni radio murua kabisa. Download Application iitwayo "Tune In Radio" na search radio za Tanzania. Utapata Pride FM, radio Maria na Clouds FM. Ni radio...
  13. Tundapori

    Inverter au Generator? Naomba ushauri wandugu?

    Kutokona na migao ya Stima (Umeme) isiyoisha Bongo ninaomba ushauri juu ya njia gani zaidi inakuwa bora kati ya Inverter au Generator kwa ajili ya Standby Power Source. Taja faida na hasara ya Inverter au Generator. Asanteni bandugu kwa misaada /Ushauri wenu. Paska njema. USHAURI WA WADAU
  14. Tundapori

    Elections 2010 Kilombero ubunge Vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tena jamani?????

    Tafadhali angalia blog ya Issa Michuzi tarehe 4/11/2010 mwanzo mwanzo wa siku. Hii ni kuzidi kuchanganya watu, inakuwaje hasa?
  15. Tundapori

    Je kwa nini kusiwepo na Ukomo wa ubunge?

    Jamani naomba kueleweshwa hivi kwa nini kusiwepo na kipindi cha ukomo cha ubunge kama ilivyo kwa raisi. Raisi TZ ana vipindi viwili vya miaka mitano mitano cha kuwa raisi. Unakuta mbunge huyohuyo anakuwa mbunge zaidi ya miaka 35 yaani sawa na vipindi 7 vya miaka mitano mitano, mpaka huyo...
Back
Top Bottom