Search results

  1. Tundapori

    Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Hata asante mkuu hakuna. Hongera lakini
  2. Tundapori

    Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Nenda Boko-Magegeni njia panda ya kwenda Mbweni wana ofisi na mbao utapata
  3. Tundapori

    Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Sehemu nzuri na ya kuaminika ya kupata dollar kwenye black market ni wapi has mkuu, asante ?
  4. Tundapori

    LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    Gari kupewa namba D au E haina maana kwamba hiyo gari ni mpya. Gari iliyotengenezwa mfano mwaka 1975 na ikaletwa Dar leo kutoka Japan inapewa namba E. Haya ni maajabu kweli kweli. System hii ya kutoa number plates kwa vifaa vya moto inafaa marekebisho.
  5. Tundapori

    Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Combination ya excessive sweating (hyperhidrosis) + bacteria ndo shida. Inabidi hiyo excessive sweating kwapani ipunguzwe kwanza ndiyo ifuatiwe na maswala usafi kwanza kusiwe na hao bacteria.
  6. Tundapori

    Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Nenda kamuone Dermatologist (daktari wa magonjwa ya ngozi) akuchome Botox injection kwenye kwapa. Deodorants, limau, ndimu, chumvi etc etc haziwezi kuondoa hilo tatizo. Choma kwanza hiyo Botox ndio utumie hizo deodorants. Ni PM ili nikuelekeze vizuri. ……… Tuwasiliane.
  7. Tundapori

    Naomba nisaidiwe tiba ya harufu kali ya kikwapa

    Nenda hospital waambie wakuchome sindano ya BOTOX kwenye kwapa zote mbili, hilo tatizo litaisha. Kuna uwezekano mkubwa kwa madaktari wachache sana wanaoifahamu hii tiba.
  8. Tundapori

    Tupeleke watoto shule za kiingereza, Tuache kupotoshana kwa kauli za kimasikini kusifia kayumba na kusingizia shule za kiingereza zinaharibu watoto.

    Vivyo hivyo hivyo hata kufahamu kiswahili hakumfanyi mtoto awe na akili. Isipokuwa unapokuwa unaifahamu lugha ya kufundishia inarahisisha sana kuelewa kinachofundishwa. Achana na akili/mawazo ya kijimajima, eti uzalendo.
  9. Tundapori

    Nimegomea pendekezo la tiba toka kwa daktari

    Mkuu ni haki yako kuuliza, kueleweshwa, kukubali na kukataa. Baada ya kupitia maoni mbalimbali: Inaonekana huyo Dr. hakuwa na intravenous paracetamol. Vile vile aliona kumpa paracetamol ameza isingekuwa njia nzuri kutokana na hali ya mgojwa na kidonge cha kumeza kinachelewa kufanya kazi...
  10. Tundapori

    Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

    Wana maubongo yanayofanya kazi na kufikiri kwa kiwango cha juu.
  11. Tundapori

    Kuwe na utaratibu wa madokta na wauguzi kupimwa afya zao pindi waanzapo kazi rasmi na kila baada ya miezi 3

    Mleta mada ana hoja muhimu sana na asipuuzwe hata kidogo. Watu wengi hawana ufahamu na kitu/mada hii. 1. Kwa madaktari na manesi kuna kitu kinaitwa “Exposure Prone Procedures (EPPs)” hasa upande wa operation au surgery. Hali za afya za watumishi wanaojihusisha na EPPs ni muhimu zifahamike na...
  12. Tundapori

    Hivi kwanini Mafundi Seremala wanakuwa waongo waongo na kuchelewesha Mambo?

    Tafuta mafundi nje ya mkoa wako. Mfano, kama uko Dar chukua mafundi Arusha, hawatakuwa na muda wa kuchezea na watachapa kazi kwa bodi ili wamalize kazi na kurudi makwao.
  13. Tundapori

    Msaada hatua za kuanzisha chama kipya cha siasa

    Haina tija yo yote.
Back
Top Bottom