Search results

  1. M

    Anahitajika Mpishi - aweze kupika vitafunwa na chipsi

    Anahitajika Mishi/Mtaalamu wa kupika Chapati (vitafunwa) na Chipsi. Awe wa kiume. Awe mwenye uzoefu aliyekwisha wahi fanya kazi sehemu za watu wengi. Eneo la kazi ni Mkoani Shinyanga. Kwa mwenye sifa na vigezo afike PM kwangu.
  2. M

    Mpishi wa kupika chapati (vitafunwa) na chipsi

    Anahitajika MPISHI/mtaalamu wa kupika CHAPATI (vitafunwa) na CHIPS Awe wa kiume Awe mwenye uzoefu aliyekwisha wahi fanya kazi sehemu za watu wengi Eneo la kazi. SHINYANGA Njoo DM very serious
  3. M

    Mpishi anahitajika

    MAHALI PA KAZI-SHINYANGA CHAKULA MALAZI NA MATIBABU NI JUU YANGU AWE ANAJUA KUANDAA VITAFUNWA MAELEZO ZAIDI NJOO INBOX
  4. M

    Mpishi anahitajika haraka Shinyanga

    ENEO LA KAZI-SHINYANGA CHAKULA MALAZI NA MATIBABU NI JUU YANGU AWE ANAJUA KUANDAA VITAFUNWA KWA MAEKEZO ZAIDI UNAKARIBISHWA INBOX
  5. M

    MPISHI ANAHITAJIKA-HARAKA

    MAHALI-SHINYANGA CHAKULA NA MALAZI JUU YANGU AWE ANAJUA KUPIKA NA KUANDAA VITAFUNWA NJOO INBOX KWA MAELEZO ZAIDI
  6. M

    Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika

    Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika. Sifa zake.. Umri miaka 22--35 Kabila lolote Makazi-Dar es salaam Akiwa mnene itapendeza zaidi Rangi yeyote Elimu kuanzia kidato cha 4 Mrefu au mfupi vyote ni sawa tu Sifa zangu Miaka yangu ni 31 Makazi Dar es salaam Mfanyabiashara Karibuni sana..
  7. M

    MPISHI ANAHITAJIKA

    Anahitajika mpishi anayeweza pika vyakula mbalimbali pamoja na kuandaa vitafunwa ( bites) Mshahara atalipwa kwa mwezi kadri tutakavyokubaliana. Malazi juu yangu, Matibabu juu tangu, Chakula juu yangu. Eneo la kazi SHINYANGA D.M kwa maelezo zaidi
  8. M

    Mpishi anahitajika Shinyanga

    Anahitajika mpishi anayeweza pika vyakula mbalimbali pamoja na kuandaa vitafunwa ( bites) Mshahara atalipwa kwa mwezi kadri tutakavyokubaliana. Malazi juu yangu, Matibabu juu tangu, Chakula juu yangu. Eneo la kazi SHINYANGA
Back
Top Bottom