Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi...
Ofisi ya Waziri mkuu imeziagiza Jeshi la Magereza nchini na Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),zinazotekeleza kwa pamoja mradi wa zaidi ya shilingi bilioni 75 wa kiwanda cha bidhaa za ngozi eneo la Karanga,Moshi,Mkoani Kilimanjaro,ambao umefikia asilimia 95 kuhakikisha...
Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega mara baada ya uzinduzi wa bodi hiyo Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma
SERIKALI...
KATIKA miaka hii minne na ushei ya uongozi wa Rais Dk John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana kwa kiasi kikubwa na rais wa awamu ya kwanza, hayati Mwalimu Julius Nyerere
Uzoefu unaonesha kuwa, viongozi wenye sifa zinazofanana hata kama wangepishana...
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, amesema hatawavumilia watumishi wazembe ndani ya Shirika badala yake siku zao zinahesabika. Dkt. Mwinuka alitoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku sita kwa watumishi wapya 958 walioajiriwa hivi karibuni.
BENJAMIN MASESE - MWANZA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) zimeeleza sababu zilizochangia wengi kushindwa kusajili laini za simu zao kwa wakati.
Zimesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka jana, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa njia ya...
Rais Dkt.John Pombe Magufuli na rais wa Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wamezindua kituo cha huduma kwa pamoja Tunduma na Nakonde One stop Border post kilichojengwa kwa zaidi ya shillingi Billion 14.
Tueleweshane baadhi ya faida zake.
• Kupunguza gharama za ufanyaji biashara kwa kuondoa...
kwa hili Utalii tanzania nawapongeza tumewasikia wenyewe wakiwa na shauku ya kuja kutembea tanzania kazi nzuri kwa bodi ya utalii, kazi nzuri kwa waziri wa utalii. hivi ndivyo tunavyotangaza utalii wa tanzania
"Serikali imeanzisha kitengo kipya cha kupokea malalamiko ya kodi na kitaratibiwa na Wizara ya Fedha na Mipango,
kitahusisha kupokea malalamiko kutoka kwa walipa kodi yakiwamo ya kuombwa rushwa na Watumishi wa Mamlaka ya Kodi TRA."
SERIKALI imependekeza kuchukua hatua za kisera na utawala kwa...
Sehemu moja ya ujenzi wa Gati jipya katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa imekamilika na tayari imeanza kutumika kwa majaribio. Gati jipya hili limejengwa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam wa “DMGP”
Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA Jenerali Mstaafu George Waitara akimkabidhi tuzo Waziri wa Maliasili
Mhe. Dkt. Kigwangalla ambayo imepewa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,
kwa kuwa hifadhi bora barani Afrika mwaka 2019.
Mr. Abebe Aemro Selassie, Director of the International Monetary Fund’s
(IMF) African Department, met yesterday with Tanzania’s President John
Magufuli in Dar es Salam. At the conclusion of the meeting, Mr. Selassie
issued the following statement:
“President Magufuli and I had constructive...
What is Huduma Number (Namba)?
Huduma Number (Namba) is a number provided through NIIMS registration that is the ‘source of truth’ of identity of all persons residing in Kenya. Unlike a national ID or birth certificate that is issued to only Kenyan Citizens, Huduma Number will be issued to all...
Ernest Bwire aliwasili Kenya kutoka kwao Uganda akiwa na matumaini makubwa ya kujiendeleza kikazi, lakini yote hayo ni ndoto sasa.
Kwa miaka 29 sasa Bwire amekuwa akitumikia kifungo jela.
Kwa sasa yupo gereza la Kamiti liliopo kilomita 16 kutoka katikati mwa jiji la Nairobi ambako anatumikia...
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kusitisha uagizaji wa viunganishi vya miundombinu ya umeme (Accessories) kutoka nje ya nchi badala yake wanunue hapa hapa nchini.
Ametoa agizo hilo alipotembelea Kiwanda cha...
Waziri wa Maji Prof.Makame Mbarawa ametoa muda wa miezi miwili kwa magwiji wa wizi wa maji kujisalimisha wenyewe na kupata msamaha ili kuunganishwa katika mfumo mpya wa ulipaji bili kwa njia ya kielektroniki ufahamikao kwa jina la 'Pre Paid Meter'.
Kansa ya matiti ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa wanawake wengi duniani. Lakini kumekuwepo na hisia tofauti juu ya maumivu ya kawaida ambayo mwanamke anaweza kuyapata kwenye matiti yake. Baadhi yao wamekuwa wakihusianisha moja kwa moja na kansa ya matiti
-
Maumivu ya matiti yanaweza kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.