Search results

  1. Nancyjoa13

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Temeke hawaoneshi ushirikiano. Wamepigiwa simu toka saa 7 kwamba kuna tatizo la umeme Vetenary. Mpaka sasa saa 12 hakuna cha fundi yeyote aliyefika hapa, na hiyo simu ikipigwa sasahivi haipokelewi. Ni vyema wakawa wawazi na changamoto zinazowakwamisha kuliko kukaa kimya.
  2. Nancyjoa13

    Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Tanzania ni nchi huru yenye kujiamria mambo yake pasipo kuingiliwa na nchi yoyote, pia sisi watanzania zaidi ya milioni 12 ndio tumemchagua atutumikie hivyo hao mawakala wa mabeberu watuache
  3. Nancyjoa13

    Maziwa yanayotokana na korosho kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
  4. Nancyjoa13

    IGP Sirro: Polisi hawatawaingilia wanasiasa watakaofuata sheria

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi...
  5. Nancyjoa13

    Ofisi ya Waziri Mkuu imekagua mradi wa bidhaa za ngozi eneo la Karanga, Moshi

    Ofisi ya Waziri mkuu imeziagiza Jeshi la Magereza nchini na Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),zinazotekeleza kwa pamoja mradi wa zaidi ya shilingi bilioni 75 wa kiwanda cha bidhaa za ngozi eneo la Karanga,Moshi,Mkoani Kilimanjaro,ambao umefikia asilimia 95 kuhakikisha...
  6. Nancyjoa13

    Serikali imetangaza bei elekezi ya chanjo 13 za magonjwa ya mifugo

    Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega mara baada ya uzinduzi wa bodi hiyo Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma SERIKALI...
  7. Nancyjoa13

    Miaka hii minne na ushei ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli

    KATIKA miaka hii minne na ushei ya uongozi wa Rais Dk John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana kwa kiasi kikubwa na rais wa awamu ya kwanza, hayati Mwalimu Julius Nyerere Uzoefu unaonesha kuwa, viongozi wenye sifa zinazofanana hata kama wangepishana...
  8. Nancyjoa13

    Mkurugenzi Mtendaji TANESCO amesema hatawavumilia watumishi wazembe

    Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, amesema hatawavumilia watumishi wazembe ndani ya Shirika badala yake siku zao zinahesabika. Dkt. Mwinuka alitoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku sita kwa watumishi wapya 958 walioajiriwa hivi karibuni.
  9. Nancyjoa13

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    digba sowey, amechelewa sana angejiuzuli kitambo tuu
  10. Nancyjoa13

    TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

    unadhani kwanini hao zaidi ya 50% hawajajisajili ? si mapuuza haya
  11. Nancyjoa13

    TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

    polisi wanapokea malalmiko sasa wasiseme?
  12. Nancyjoa13

    TCRA, NIDA waanika siri kukwama usajili laini

    BENJAMIN MASESE - MWANZA MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) zimeeleza sababu zilizochangia wengi kushindwa kusajili laini za simu zao kwa wakati. Zimesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka jana, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa njia ya...
  13. Nancyjoa13

    Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika: Uhuru una maana gani leo?

    sisi watanzania tunaelewa maana ya uhuru lakini wewe kila kukicha unajipendekeza kwa mabeberu ili wakusaidie kupata urais, tunajua njaa yako ya Ikulu lakini kumbuka Ikulu ni mahali patakatifu wezi kama nyie mtapasikia tuu
  14. Nancyjoa13

    Arusha: Pamoja na Waziri Jafo kuzuia ofisi za watendaji kufungwa, wagombea zaidi ya 60 washindwa kurejesha fomu kutokana na ofisi kufungwa

    ni kweli au maana hii stori ni ya upande wa Chadema tuu, upande wa serikali hatujasikia
  15. Nancyjoa13

    Video yavuja inayodaiwa wafanyakazi wa TPA wakiiba vifaa vya gari. TPA yasema video ina mpango wa kuchafua taswira ya bandari

    Tanzania Ports Authority - TPA HAKUNA VITENDO VYA WIZI BANDARINI! MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA: IJUMAA OKTOBA 11, 2019 DAR ES SALAAM. Mapema leo katika Mitandao ya Kijamii hasa katika Instagram, kumesambaa habari kwa njia ya Video na picha za Mnato zikionyesha tukio...
  16. Nancyjoa13

    Faida za kituo cha huduma kwa pamoja (One stop Border post)

    Rais Dkt.John Pombe Magufuli na rais wa Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wamezindua kituo cha huduma kwa pamoja Tunduma na Nakonde One stop Border post kilichojengwa kwa zaidi ya shillingi Billion 14. Tueleweshane baadhi ya faida zake. • Kupunguza gharama za ufanyaji biashara kwa kuondoa...
Back
Top Bottom