Search results

  1. T

    How is Life Treating you? (Maisha yanakufanyaje Huko ulipo sasa hivi?)

    Kila mtu ana namna maisha yanavyomfanya kwa sasa katika dunia hii. Just comment hapo chini jinsi yanavyo kushughulikia kwa kadri utavyoweza. ME: Fair with a lot of ups and down but I'm holding.
  2. T

    Kuzamia bondeni enzi izo ni big deal, Xenophobia imekula washikaji zangu wawili; kidogo ningekuwa marehemu

    Unajua zile enzi za Mzungu wa Unga, yaani Mwana Kaenda Mamtoni amerudi ana ng'aa full raba mtoni jeans Kubwa tshirts Kali madem wote Mtaani wake, shingoni ana nyuzi moja ya dhahaabu nyembamba kali sana ( Mabaharia wanajua) , alafu anapush wheels Moja kali balaa au yuko na Motorbike moja ya...
  3. T

    Tundu A. Lissu, Nakushauri hama chama; una akili kuliko wao wote pamoja na chama chote ukijumlisha

    Swali la kwanza kujiuliza hivi huyu wanae Muita mwenyekiti wa Kudumu (Nkulunzinza) uwa ana muda wa kukaa Kutafakari/Kufikiria hata kidogo au anawaza Kupiga deal tu? Mwanafalsafa Marchiaveli anasema Prince lazima azungukwe na watu ambao hata mtu mwenye hekima akiwangalia tu kwa Haraka anasema...
  4. T

    Ukweli kuhusu mtu mweusi wazungu hawataki dunia ijue

    Ni ukweli usiopinga kwa sasa hivi race inayotawala katika nyanja nyngi za maisha kuanzia ugunduzi, uchumi nk. Ni watu weupe haswa wa bara la Marekani ya Kaskazini na Ulaya. Je, unajua kuwa wazungu chini ya mioyo yao wanajihisi na Kujua kuwa wao ni inferior mbele ya watu weusi? Mtu mweupe...
Back
Top Bottom