Search results

  1. hellefay

    Kwanini sishiki mimba?

    Nakubaliana na wewe,na kama tarehe hua zinafanana bas mzunguko wake sio wa siku 28 bali 30..hivyo hizo siku anazosema anakutana na mumewe sio siku sahihi za kupata ujauzito
  2. hellefay

    Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

    Ni ngumu kufuta namba especially awe ni mke mume wazazi au ndugu wa karibu.
  3. hellefay

    Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

    Uko sahihi ila kama wana bima NHIF atakatwa 3% of BS..take home itapungua kidogo.
  4. hellefay

    Napitia changamoto kazi mpya

    Usiache kazi kabla hujapata kazi ndugu yangu.Maisha ya kua jobless ni mabaya na yanatesa usiombe.Fanya majukum yako uliyopangiwa.Ukiacha utakua umewapa hao watu ushindi.Makazini changamoto hua hazikosekani. Nipo jobless nataman nipate kazi japo ya kutuwezesha kula na familia.KAZI NI MBAYA UKIWA...
  5. hellefay

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status:job seeker Education level: Advanced diploma Proffesional: Accountancy Experience:seven years Gender:female Location:Dar es salaam Availability:as soon as possible
  6. hellefay

    Shetani anawapepeta vijana kadri atakavyo, vijana wanakufa wakiwa wadogo. Acheni dhambi vijana hamtatoboa

    Mungu na atusaidie..Nimekuelewa sana.Ambae hayajampata hawezi kuelewa.Mwaka huu tumezika wawili kwenye familia moja ndan ya miez sita..chanzo ajali na homa zisizoeleweka.
  7. hellefay

    Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kuna mkaka ninamfaham yupo vizuri sana kiuchumi lakini kumpa mkewe japo elf 50 ya matumizi binafsi hampi sembuse kujengea wakwe nyumba...kuna watu ni wabinafsi sana.
  8. hellefay

    Huduma gani unaifata umbali mrefu, japo inaweza patikana karibu yako?

    Kerege to Bunju kwa saluni yangu niliyoizoea.
  9. hellefay

    Sababu za Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Namba 4 na 5 suluhisho lake ni nini
  10. hellefay

    Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Usikate tamaa fanya kazi kwa malengo huku ukimtegemea Mungu.Ni heri kupata hata hicho kidogo kuliko kukikosa kabisa. Mimi nimewah kufanya kazi katika shirika lisilo la kiserikali mpakani kabisa mazingra hayakua mepesi lakini nilijazoea adi mkataba wangu ulipoisha.
  11. hellefay

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Ndio unaweza kulingana na kumbkumb la torati 26:12..neno la Mungu linasema zaka anaweza kupewa 1. mlawi(mtumishi wa Mungu) 2.mgeni(mhitaji) 3.yatima 4.wajane
  12. hellefay

    Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    ✓Nimefika mikoa mingi Ila Mwanza kwa wasukuma nilipata ukarimu na upendo ambao siwezi kuuelezea.Wasukuma kongole kwenu. ✓Kagera nimeishi sana kwa wahaya wa Muleba Nshamba napo upendo niliuona ila hawajafikia wasukuma. ✓Kigoma Roho juu juu kuhus mambo ya giza. ✓Dar ndo nyumban,huu mji ukiwa na...
  13. hellefay

    Huyu binti atakuja afe vibaya kwa ujinga wake 😮‍💨😮‍💨😮‍💨

    Hakuna cha mimba hapo unapigwa tu unless uwe una ushahid kua ni kweli alipima akakutwa na ujauzito.Mabinti wengi wanafanya hivyo kwa lengo la kujipatia pesa tu trust me.
  14. hellefay

    Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

    Wengi wao wambea na kuchunguza hali za maisha tu, especially kwa wale walokua vipanga shulen alafu wakasoma ad chuo na wakapigika mtaan kwa kukosa ajira hua wanachekwa na kudharauliwa sana na wale walioanza kujiajiri mapema na pia wapo mbali kimaisha
  15. hellefay

    What's your morning ritual? / Nini ni ibada yako ya asubuhi?

    Safi sana,na mim pia niliwah kudokezewa kua muda mzuri wa kuomba ni hayo masaa uliyoyataja 12,3,6,9 ila sikuwah kujua sababu hasa ya hayo masaa tajwa ni ipi. Angalao leo nimepata idea.
  16. hellefay

    Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

    Wachawi hutumia kifaa gan kuchanja watu usiku,pia ni nin dhumuni la wachawi kuchanja/kuweka chale kwenye mwili wa mtu pale awapo usingizini.
Back
Top Bottom