Search results

  1. D

    Serikali itoe elimu kuhusu hatari ya kujifungia ndani na jiko la mkaa

    Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, Serikali kupitia wizara ya afya na TCRA kupitia makampuni ya simu toeni elimu au tahadhari Kwa watanzania kutojifungia ndani wakiwa wamewasha majiko ya mkaa au kuni ndani ya nyumba. Mara Kwa mara kumekuwa na matukio ya vifo vya watanzania wenzetu wakipoteza...
  2. D

    Watapeliwa viwanja Kibaha

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana...
  3. D

    Awamu ya Tano haiepukiki Makamu kuwa Rais.

    Nimejaribu kuwaza kuhusu awamu ya Tano ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nikaona ni awamu ambayo kwajinsi upepo wasiasa ulikua katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa Urais 2015 basi bila shaka Makamu wa Rais angeingia Ikulu kupitia katiba, kutokana na wale Farasi wa tatu wote mpaka...
  4. D

    Basi lipi nzuri Dar to Musoma?

    Waungwana tafadhali nimepata safari ya ghafla kesho nasafiri kuelekea Musoma naomba kufahamishwa ni basi lipi nzuri Dar to Musoma na nauli zake ni kiasi gani?
  5. D

    Watanzania tuache siasa kwenye suala la Ngorongoro

    Kinacho kuza mgogoro wa Ngorongoro ni watu kuwa na masilahi binafsi, kule Ngorongoro Kuna NGOs kibao zinanufaika na uwepo wa jamii ya wamasai hao wanahofia kama wakihamishwa huko basi ugali wao utakuwa umeingia mchanga, Kumbukeni Aridhi haiongezeki Iko vilevile ila binadamu wanaongezeka na...
  6. D

    Naanza kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu

    Kila nikijaribu kutafakari juu ya uwepo wa huyu anayeitwa Mungu naona kama tunapigwa, watu wengi wamekuwa wakifuata mkumbo kuamini katika hizi Imani za kidini pasipo kutumia vizuri akili Yao kwa kuhoji, na kutafakari tukianzia juu ya uwepo wa Mungu, Mungu Yuko wapi? Mungu ninani? Mbinguni ni...
  7. D

    Walinzi wa Suma JKT hawajui wajibu wao

    Aisee jana nimeponea chupuchupu kuzirusha na Walinzi wa SUMA JKT, ipo hivi mimi ni dereva Bajaj sasa kuna abiria wangu huwa nampeleka ofisini na kumfata, jana akaniambia kapata dharura haendi kazini ila akanipa laptop nipeleke ofisini kwao na namba ya muhusika ambaye anatakiwa kupelekewa hiyo...
  8. D

    Laki 4 Kwa mwezi, mitaa ipi naweza kumudu maisha Dar?

    Habari ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 28 kwasasa nina mke na mtoto mmoja wa mwaka na miezi 6. Baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza ya Elimu katika chuo cha Tumaini Makumira mwaka 2019 niliamua kusalia hapa jijini Arusha kusaka maisha Kwa kujichanganya mtaani. Nilianza na kuendesha bodaboda...
  9. D

    Simu gani itanifaa Kwa laki tatu na nusu

    Heri ya Krismas wapendwa, ninahitaji kununua simu mpya kutokana na kipato changu ninahitaji simu ya laki tatu na nusu, yenye uwezo wa kukaa na charg, kamera nzuri, na uwezo mkubwa wa kuhifadhi data naomba ushauri wenu Mimi siyo mtaalamu Sana kwenye mambo ya simu,
  10. D

    Kuagiza spare za pikipiki

    Wakuu samahani naomba ushauri juu ya kuagiza spare za pikipiki kutoka china, Mungu akipenda mwaka 2022 nataka nifungue duka la jumla la vifaa vya pikipiki, utaratibu wa kuagiza ukoje, masoko Wanayo uza vifaa hivyo hasa china yako wapi, na njia gani zinatumika Hadi kupokea mzigo mwisho kabisa...
  11. D

    Anayejua mishahara ya TBC

    Niko hapa naangalia TBC hawa watangazaji ni kama akili zao zimepigwa ganzi hamna la maana linaongelewa Leo ni miaka60 ya uhuru wa Tanganyika mbali na mafanikio Kuna mapungufu lkn wao wamekaa kuimba minyimbo na kusifia Kwa kujipendekeza, au mishahara Yao ni mikubwa inafanya wajipendekeze ili...
  12. D

    Shule ya sekondari ya bweni mchanganyiko

    Msaada Kwa anayejua shule ya sekondari ya bweni Kwa mkoa wa Dar-es-laam au mkoa wa Pwani yenye ada isiyozidi milioni2 ufaulu mzuri na yenye mchanganyiko wa jinsia anisaidie
  13. D

    Watanzania wangechambua siasa na uchumi kama wanavyochambua mpira tungefika mbali

    Habari zenu wakuu, Bila kupoteza mda niende kwenye hoja yangu, miaka ya hivi karibuni kumekua na utitiri wa radio nyingi za masafa ya FM, kama tunavyojua dhima kubwa ya vyombo vya habari ni kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii. Kwa upande wa Redio zetu za Tanzania vipindi vya michezo...
  14. D

    Tukio la Leo watanzania Bado hatujifunzi

    Leo tena nimeshuhudia watanzania tukirudia makosa kukimbilia eneo la tukio la hatari, tukirejea Kwa yaliyotokea Kule Morogoro watu kuunguzwa na moto wa mafuta, Bado watanzania tumekua na tabia ya kutojifunza, mfano kwenye tukio la Leo yule mtu alivyokuwa ameuliwa na polisi kwenye ule mkusanyiko...
  15. D

    #COVID19 Hali niliyopitia baada ya kuchoma chanjo ya COVID-19

    Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana...
  16. D

    Nifanyeje wanangu wasiwe na meno ya kahawia?

    Kati ya vitu vinavyoninyima amani ni haya meno ya watu wa Arusha baada ya kuja kusaka maisha kwenye huu mji, takribani miezi mi5 iliyopita, nimeamua kuihamisha familia yangu kutoka mkoani, kesho kutwa wife anakuja na tuna mtoto wa miezi6 nifanyeje kumnusuru mwanangu na haya meno ya Arusha ===...
  17. D

    Wanaume wa Dar imekaaje hii

    Nimeikuta sehemu ila Ina kaukweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  18. D

    Huko Nyamagana hadi sasa Rais hajaongea

    Naona mkutano wa vijana umegeuzwa sehemu ya maccm kupigia kampeni na kujisifia
  19. D

    Kabila la Wameru wa Kenya na wa Tanzania ni moja?

    Habari za wakati huu wakuu, Binafsi ningependa kufahamu kabila la Wameru linalopatikana mkoani ARUSHA na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara wilaya ya Simanjiro, linautofauti na Wameru wanaopatikana nchini Kenya?
Back
Top Bottom