Search results

  1. D

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Hizo jumuiya Nazo ni umbeya tupu, mnaendaje kukaa sebuleni Kwa mtu huko nikuchunguzana maisha, niliacha kwenda jumuiya Hadi walishanisusa ata Kwangu hawakanyagi, haiwezekan Kila weekend kwenda kwenye nyumba za watu asubuhi asubuhi
  2. D

    Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

    Yanga ndiye ana kesi ya kujibu kuthibitisha kauli ya match fixing ila kuhusu matokeo hayatabadilika,
  3. D

    Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Goba imeshakuwa kama marangu tu, ukitembea hatua Tano unakutana na Manka
  4. D

    Dodoma ni kutamu jamani

    Kwa akili kama hizi tusitarajie black Tanzanians watakuja kuongoza Kwenye top ten of Billionaires katika Taifa hili,
  5. D

    Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Unaandika utafikiria Tanzania ni kama Rwanda yenu ilivyo kama mtaa, jambo likitendeka wote wanalisikia
  6. D

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Yapo ya kuzalilisha wanawake lakini siyo Hiyo Midori, huko mitaani na masokoni kama kariakoo wanawake wengi wanazalilishwa Kwa kushikwa maungo Yao, Wanapigiwa miluzi na kupigiwa kelele, alafu unakuja kudai Midori ndiyo inazalilisha,
  7. D

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    Mexico, Colombia, Chile, El Salvador, Venezuela, Peru, na Ecuador huko ndipo wanakaa watu katili wasio ogopa kifo Wala serikali
  8. D

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Dini za kigeni huzijui Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  9. D

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Hizo Dini zenu za kitumwa zitawamaliza Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  10. D

    Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

    Ndiyo maana tuna uhaba wa mabilionea weusi maana ngozi nyeusi akipata pesa Kidogo, akili inawaza pombe, ngono na kwenda kukaa bar nakusikiliza makelele, siku ukiona muhindi au mwarabu kakaa Bar ujue huyo alishapoteza dira kitambo Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  11. D

    Uchaguzi Senegal unatufundisha muunganiko wa Mahakama na nguvu ya umma

    Upinzani wa Tanzania ni wakulamba asali, wapo Kwa masilahi binafsi Leo anakuwa upande wa wananchi kwavile hajaonjeshwa asali, akionjeshwa asali kesho anahamia Kwa watawala, hatuna viongozi wenye dira na mitazamo isiyo yumbishwa
  12. D

    Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Kulazimishwa kusoma usiku badala ya kulala unalazimishwa kukaa Hadi saa4 darasani, kwabaridi lile la Umbwe siyo fair
  13. D

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Uchawa unalipa ongeza bidii
  14. D

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    Kero kubwa ya Karume ni madalali yaani ukifika unazongwa na madalali na ndio wanaongea Bei huku mwenye Mali katulia, ukinunua kiatu Cha elfu30 basi boss anachukua elfu25
  15. D

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    77 Nimeanza utaratibu wa kukimbia km1 kwasiku Kila siku Jioni na huku ni maporini mazingira hayana vikwazo
  16. D

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Mwenye cancer ni malikia wa Wales
  17. D

    Wanafunzi na walimu ni kama maadui

    Wazazi wanyakati hizi mmekuwa waovyo Sana, mnawadekeza hao wakina junior mwisho wasiku mnarudi humu kuomba ushauri kuwa watoto wamewashinda
  18. D

    Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Kwani alikuja kwako kulala? Tatizo chips nyingi na hamli vyakula vya asili
Back
Top Bottom