Search results

  1. P

    Upinzani ni vigumu kumpata Mtu mwenye Akili za Uongozi, Nafsi ya Uongozi na Roho ya Uongozi, walau Lissu ana Sifa mbili!

    Johnthebaptist kawaulize mawakili wa TLS watakupa habari za Lissu alichofanya akiwa Rais TLS. Huyu akiwa Rais kesho yake mchakato wa Katiba unaanza.
  2. P

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Februari 1

    Tangazo linasema Feb Mosi. Hapo kwenye
  3. P

    Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 1, Januari 30, 2024

    Mbona TBC hawarushi LIVE swala muhimu kama hili?
  4. P

    We CHADEMA, umepiga pigaje hapo!?

    Pole sana
  5. P

    Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

    Pole sana Upendo. Utanielewa mbele mbele hii pole inamaanisha nini. We sema tu 'Asante broo'
  6. P

    Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Namuonea huruma sana huyu DADA.
  7. P

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Bwana Yesu alisema ' Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kuelemewa na mizigo nami nitawapa pumziko' Katika nyakati ngumu namna hii ndugu yangu muangalie Mungu tu aliye muweza wa yote. Yasiyowezekama kwa binadamu kwa Mungu yanawezekana. Kuwa mtu wa maombi, na jitahidi kumkaribia Mungu...
  8. P

    Wanasiasa kutoka CHADEMA wanaoweza kuwa tishio kwa CCM mwaka 2025

    Acheni kutumika jina la RAIS kuandika POROJO!
  9. P

    Wanasiasa kutoka CHADEMA wanaoweza kuwa tishio kwa CCM mwaka 2025

    Nimeshangaa kuona list yako haina jina la Lissu. A fake list. Peleka kuleee
Back
Top Bottom