Search results

  1. mangyi

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Google translator ina kiswahili kibovu boss. Usirudie tena
  2. mangyi

    Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Kuna watu walimuona Hamza ni fala.
  3. mangyi

    Mada 4 muhimu za kuongea na mwanamke ili kujuana zaidi

    Punguzeni ushauri jamani. Mnasababisha watu wafeli kimaisha
  4. mangyi

    Nimfanyaje huyu?

    Unafeli wapi mkuu. Kashakwambia kua mchepuko. Unakubali then unamdunga mimba.
  5. mangyi

    Polisi, bunduki Hanang ni za nini?

    Ni moja ya kitendea kazi chake
  6. mangyi

    Mwanamke niliyemnunulia chupi 12 juzi leo kaniacha, nataka chupi zangu

    Komaa bro. Usikubali ziende kizembe. Ukiona anazingua kurudisha nenda na wazazi wako huko huko kwao
  7. mangyi

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Nimeona hapo "LOVE IN ACTION"
  8. mangyi

    DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Mkuu hii issue imewahi kunikuta kwa mtoto niliyempeleka hospitali flani. Alifanyiwa CT scan kwa maelekezo ya daktari wa hospitali A kwa kigezo kwamba ya kwao imeharibika. Gharama zilikua kubwa na kwa uwezo wa Mungu tukalipa. Tumeleta CD daktari mwingine anasema hawezi kuisoma kwa hiyo tukarudie...
  9. mangyi

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Unaijua ya shangazi yenu Supuka wa bunge butu? Ile ambayo shoga ake bibi wa Vikoba alimgawia baada ya kuuza bandari akaenda kuipokelea pesa Moroco ili aje afanye finishing.
  10. mangyi

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Kumbuka unaowaandikia hivi ndo hawa type ya Makonda. Hawajawahi kua na akili hata siku moja mkuu
  11. mangyi

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ya kwenu mama yenu wa vikoba anapelekea waarabu
  12. mangyi

    Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

    Vyote vipo google kama hivyo 5W-30 VS 10W-30 Oil ya 10W–30 inakua nzito kunapokuwa na baridi. Kulingana na mapendekezo ya API (1) kwa injini za magari, unaweza kutumia oil ya 10W–30 ikiwa kiwango cha juu cha joto kinachotarajiwa nje ni zaidi ya -18°C (0°F). Ikiwa unaishi katika eneo ambalo...
  13. mangyi

    Wengi watashindwa kumtambua huyu ni nani

    Makonda
  14. mangyi

    Marais wanawake wa kiislam duniani

    Kuna mmoja hapo umemuweka alipata uraisi kwa sababu katiba ya nchi yake imtaka makamu wa rais ashike nafasi pale raisi aliyeko madarakani anapoaga dunia. Kiukweli taifa liliingia kwenye janga kwa sababu tu ya katiba. Aliteuliwa tu kukamilisha takwa la kikatiba kwamba raisi awe na makamu...
  15. mangyi

    Nashindwa kujigawa mimi ni mwalimu na ni fundi kunyoa

    Piga watoto vipara kwa sana na mkasi. Alafu introduce sare ya kunyoa shuleni. Kwenye vioo vya saluni weka, white board marker pen. Wakija kunyoa endelea kufundisha hesabu.
  16. mangyi

    Mapenzi yananitesa, bora nife tu

    SSikiliza kwanza DEAR X ya Marioo. Usiondoke hivi hivi
Back
Top Bottom