Search results

  1. MANDEVUMENGI

    Naomba makadirio ya bati za nyumba 13*11

    Habari wakuu, Nimefikia kwenye hatua ya kupaua kabanda kangu kenye ukubwa wa 13×11 naomba nijue nitatumia bati pc ngap? Na mbao 2*4 ngapi na 2*2 ngapi?.pamoja na feature body ngap.Bati nitatumia zile za 87cm mapana na urefu ft 3. NAWASILISHA.
  2. MANDEVUMENGI

    Kwanini call recorder yangu ina record sauti yangu tu

    Guys mambo vp, Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama USHAHIDI hapo baadae. Mwanzo nilikuwa natumia simu yenye android 8 na nilikuwa narecord vizuri kabsa...
  3. MANDEVUMENGI

    Flat tv inauzwa singsung toleo la kwanza inch 25

    Wakuu nawasalimu nyote,kuna tv flat inch 25 SINGSUNG toleo la kwanza kabsa kitu og imetumika miezi miwili tu inauzwa kwa Tsh 220,000/= Kwa serious buyer njoo pm au call 0657955212 wahi mapema isije chukuliwa. Kama unavyoona kwenye picha hapa chini bado kitu kina makaratasi kabsa brand new....
  4. MANDEVUMENGI

    Ijue dawa ya UKIMWI hii hapa

    Wakuu nawasalimu wote,kama kijana nmeona nishee nanyi mambo muhimu ya ujanani,nmekuwa nikishiriki ngono zembe mara nyingi sana kiukwel yaan namaanisha kufanya ngono bila kinga,lkn hv karibuni nmeenda kupima nmejikuta mzima kabsa wa afya,kipi kilichonisaidia? Si kngne bali na...
  5. MANDEVUMENGI

    Mwanamke kucheza michezo hela anazoachiwa na mumewe ni sahihi?

    Wakuu habari za saa hizi Kama kichwa cha habari kinavyosema wanawake wengi sana siku hizi wanacheza michezo ili hali hawana kazi ya kuwaingizia kipato. Usiseme nimejuaje ila ukweli ndo huo. Mimi nafanya biashara wanawake wengi wakija kwenye biashara yangu wanasema wenyewe kwamba nipe bidhaa za...
  6. MANDEVUMENGI

    Nina tv flat singsung nch 25,nataka kubadilisha na tv inch 43 kwenye maduka ya electronic je itawezekana?

    Wakuu kama kichwa cha habar kinavyosema nina tv singsung flat nchi 25,lkn for now nataka kuwa na tv kubwa ya nchi 43/40 je naweza kubadilishana na hii niliyonayo kisha nikaongeza pesa kidogo?.. N.B Tv haina tatizo lolote ila for now najisikia kuwa na tv kubwa nahisi ndo nitaenjoy zaid kuliko hii...
  7. MANDEVUMENGI

    Salute kwenu wanume mliopo kwenye ndoa mna roho za chuma

    Habari za saa hz wakuu,moja kwa moja niende kwenye mada...kusema ule ukwel ndoa sio kitu cha mchezo mchezo kwa kwel,kwann nasema hv coz nimepractice hii kitu,kivipi?...jibu ni kuwa nina mademu watatu na lengo ni kuwachunguza na kujua yupi wa kumuoa katika hao watatu wote nilifanya njia nikae nao...
  8. MANDEVUMENGI

    Mpenz wangu kaniroga nisitamaniwe wala kushobokewa na mademu

    Wakuu habari zenu...niende moja kwa moja kwenye mada,hapa juzi kati nilimsindikiza rafiki yangu kwa mtaalamu kuna mambo yake ya kibiashara alikuwa ameenda kuweka sawa kwa hawa mashehe wanao_omba dua yaaan wanapiga kisomo,jamaa yeye alikuwa ndani na mm nilikuwa nje baada ya kumaliza mambo yao na...
  9. MANDEVUMENGI

    Almanusura nipigwe kwa kushika makalio ya mke wa mtu kwenye mwendokasi

    Wakuu habari za asubuh, Niende moja kwa moja kwenye mada.. Leo asubuh nilikuwa zangu kwenye mwendokasi mm nakaa kimara....kama unavyojua huu usafiri wa mwendokasi watu wanavyobanana lkn kila kituo lazima lisimame kupakia abiria basi bwana tumetoka zetu kimara safi kabsa huku mm nikiwa nmesimama...
  10. MANDEVUMENGI

    Kwanini tunaumia wapenzi wetu wakitucheat ili hali hatukuwa wakwanza kwao kimapenzi

    Niende moja kwa moja kwenye mada hivi waungwana kwanini tunaumia sana wapenzi wetu wakicheat wakati tunajua huyo mpenzi wako hukumkuta bikra, kama hukumkuta bikra ina maana kuna mtu nyuma yako ambaye alimtumia sana mpaka wewe ukakutana nae hiyo bikra alikuwa hana hasa kwa upande wa wanawake kama...
  11. MANDEVUMENGI

    Unapofukuzia mwanamke miezi mitatu halafu anataka mtumie kinga

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada..kuna demu kitaaa nilimfukuzia takribani miez mi3 bila kula mzigo na hatimaye mwezi wa nne nikaja kumla lkn yy akagoma nimle kavu akataka nivae kinga..baada ya kumla safar mbili tatu mwendo ukawa ni ule ule wa kutumia kinga...Na kumbuka kipind chote hcho...
  12. MANDEVUMENGI

    Ukubwa wa maumbile ya kike; chanzo ni nini?

    Sizunguki naenda moja kwa moja kwenye mada.. Imekuwa ikiongelewa sana hapa jf na watu weng kuamini kuwa mwanamke kuwa na bwawa ni kutokana na kuingiliwa au kushiriki na wenye magobole makubwa au kushiriki na wanaume tofauti tofaut ndo chanzo cha kuwa na maumbile makubwa. Binafsi siamini katika...
  13. MANDEVUMENGI

    Msaada:Je naweza kutumia decoder ya dish startimes kwa antena ya kawaida

    Wakuu naomba msaada kama hili linawezekana yaan nikatumia king'amuzi cha dish kwa antena ya kawaida ya startimes ili kuepuka gharama kubwa za ulipiaji ya wa dish maana naona kwenye antena kuna unafuu kidogo...Je hili linawezekana?
Back
Top Bottom