Search results

  1. Nas Jr

    Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

    Kuna uhusiano wa alichofanya Samia na huu ujumbe wa Masoud?
  2. Nas Jr

    Ney wa Mitego na harakati

    Nisiwachoshe. Sikilizeni alichoimba Ney wa Mitego. Nafikiri ndio msanii pekee aliyeonyesha kutetea anayoamini kwa muda wote. Unaweza ongeza lolote kuhusu Ney kama unalo.
  3. Nas Jr

    Unapotafuta Mchumba/mpenzi jionyeshe kidogo

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, unapotafuta mpenzi weka walau hata mwili tu tuone, endapo utaona kuweka sura ni shida. kwa wadada jitahidi kuweka hata shape tu, hili linaweza ongeza uwezekano wa kupata hitaji lako. nimemaliza
Back
Top Bottom