Search results

  1. phina

    Kijana abaka mbuzi wa jirani

    na huyu kaka ni kiatu!!
  2. phina

    A tour with a girl

    asiwe mlevi au mnywaji wa pombe?? kama nakunywa kestro light tisa per day na silewi...mi ni mlevi au mnywaji tu??
  3. phina

    sometimes I want to hate him but I just can't!

    your father has alredy played his part in your life..its time for you to grow up! si ajabu anakuona bado hujakua kwa sababu unanmg'ang'ania/kumsumbua sana!show some independence woman..sio kila saa you are calling and texting him!ndomana hata kwenye mambo ya muhimu unapomhitaji (kama...
  4. phina

    Kuwa single ni raha jamani!

    mxiuuuu!!!!
  5. phina

    Wasome hawa wadada hapa!

    heheh..tupo wengi kumbe!!
  6. phina

    Top 10 brain damaging habits

    i have no idea what message you are trying to convey..buy i am sure there is supposed to be space between the words; things,mostly and YOUR. Also you want to say that the brain becomes 'INEFFICIENT' and not inefficiency. finally, it is 'YOU ARE RIGHT' and not 'your right'
  7. phina

    Kuwa single ni raha jamani!

    IDIOCY-noun for IDIOT
  8. phina

    Top 10 brain damaging habits

    duh...rare-not done,found,seen etc..very often. rarely-not often. sielewi jinsi ambavyo ,'talking rarely' inaweza kumaanisha 'kuongea pumba'!!
  9. phina

    Kuwa single ni raha jamani!

    yani watu wana roho mbaya jamani!!seeing someone happy makes all that you are itch and burn with jealousy ama?? mpenzi is at peace with life and that is enough for now..what caused the current state of happiness and peace and wether it will last is not the concern here.. mwaya..ishi maisha yako...
  10. phina

    Wanaume wananitia wazimu

    hehehe...
  11. phina

    Wanawake ni wepesi kusamehe

    wanawake kama hao wanayao-most likely with a level of psychosis in them! it is not normal for a human being to stick around after being treated like trash-not human nature!! labda wanakuaga na mpango wa kulipiza kisasi badae..that would make a lot of sense to me!!
  12. phina

    Njia ya kumuacha mwanamume bila matatizo yoyote yale

    you can say that again..its heart breaking!!
  13. phina

    Vodacom Acheni Uhuni

    nina uhakika nia yako ni kuandika 'fikra' na sio 'fikla'..
  14. phina

    Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Tafuta mafuta ya sunscreen..huwa yana kitu kinaitwa sun protective factor-SPF yenye namba.kwa mfano spf 26 inamaanisha ili kudhurika na mionnzi ya jua inatakiwa iwe mara 26 zaidi ya kiwango chake cha kawaida..Ila mi vyema umtafute daktari wa ngozi akushauri zaidi. Ila kama utatumia hayo mafuta...
  15. phina

    Inachukua muda gani kuisha kabisa?

    labda anaweza kuwa na hormone inayo sababisha ukuaji wa maziwa..ambayo hupatikana kwa wanawake..oesteogen au anaweza kuwa na sehemu za kike pia including mayai (ovaries). ukimwangalia shape yake ipoje..kama ya kikw au ya kiume??ana nywele nyingi mwili mzima na sehemu zake nyeti,nywele zina...
  16. phina

    Blazia (Sidiria) Inafaa Kuvaliwa Kuanzia Umri Gani?

    mimi nnavojua kazi ya sidiria ni ku-support maziwa..sasa kama maziwa yamesimama ipasavyo kwa nini uvalishe siridiria??pale misuli inayoshikilia maziwa itakapochoka unaweza kumuanzishia binti kuvaa sidiria..
  17. phina

    #Naisi matatizo yameongezeka,msaada jamani#

    nahisi nivea anachojaribu kubaini ni je unakuwa huru unapokuwa tendoni!?kwa sababu kama una waza mambo mengi kichwani lazima 'perfomance' itapungua.. pia..je unavutiwa na huyowenza wako??hayo ni mambo yanayoweza kuchangia perfomance yako
  18. phina

    Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

    kama kuna upungufu wa vitamin mwilini..ni bora ule vuakula vyenye vitamin au virutubisho hivyo kuleka kupewa vidonge.. kwa hiyo ingwmsaidia zaidi kama atakuwa na utaratibu wa kula tropical fruits zenye ascorbic acid...chungwa,embe,nanasi, na kadhalika!
  19. phina

    Milo

    u are among the lucky few who can afford to do that..i hope you know how blessed you are! merry christmass...
Back
Top Bottom