Search results

  1. IROKO

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Mkuu angalia hizo 'bolded sentences' hivi umeshawahi kusoma kitabu cha JKN kinachoitwa 'viongozi wetu na hatima ya nchi yetu'???? utapata majibu ya shaka uliyonayo!!! he was a great thinker! Kwenye kitabu hicho amezungumza viruzi sana kuhusu viongozi wetu na uchu wao wa fisi wa madaraka!!!!
  2. IROKO

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Makinda tofauti na mtangulizi na bosi wake wa zamani SS anasumbuliwa na mambo mawili: kulipa fadhila ya waliompa uspika kwa siyo tu kuzima hoja za wapinzani ambao wamekuwa mwiba mkali kwa serikali, lakini pia kuwashughulikia wafuasi wa sita (ikumbukwe kwamba sita alionekana ni chanzo cha...
  3. IROKO

    Dawa za kulevya: Viongozi wa dini sasa wajisalimisha; Wakiri kufanya biashara hiyo muda mrefu

    Aisee kumbe hizi habari za viongozi wa dini kijihusisha na madawa ya kulevywa ni za kweli?? Sasa JK alikuwa anaogopa nn kuwataja? Halafu yule kionozi wa dini aliyempinga JK hadharani kwamba awataje la sivyo amejivunjia heshima alikuwa ana maana gani? Kaaazi kwelikweli!!!!
  4. IROKO

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Sasa mamba yanaanza kuiva na muda si mrefu kitaeleweka!!
  5. IROKO

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Baada ya wabunge wengi kuikomalia bajeti ya wizara ya madini na nishati na hasa kwa kushindwa kuja na mikakati madhubuti na inayotekelezeka ya kutatua tatizo sugu la mgao wa umeme unaoendelea nchini hatimaye bajeti hiyo imekataliwa rasmi leo na serikali imeomba wiki 3 kwenda kuiandaa upya...
Back
Top Bottom