Search results

  1. Mrimi

    Utaratibu wa kuanzisha/kusajili Saccos ukoje?

    Wakuu naomba kufahamishwa utaratibu kuwa kuanzisha na kusajili saccos ama kikoba.. Kwa maana ya idadi ya wanachama na vigezo muhimu vinavyozingatiwa kupata usajili. Naomba kuwasilisha..
  2. Mrimi

    Msaada Phantom 6 +

    Waungwana simu yangu sasa ni kama miezi miwili network ipo down sehemu ambazo simu zingine zinasoma fresh. Nimeanza kuona shida tangu nilipofanya system update..kwa sasa ninatumia HiOS v2.2.0 Can somebody please out there help?
  3. Mrimi

    Je,naweza kupata wapi mashine hii ya kukoroga unga uliokandwa?

    Wakuu nahitaji Dough Mixer (mashine ya kukoroga unga) kwa ajili ya kutengeza vitu kama mikate,keki au maandazi. Napenda sana kama ikiwa Manual au hata kama ni ya umeme sawa tu. Nahitaji ya ujazo kati ya 20L - 40L. Kikubwa nahitaji kujua wapi naweza kuipata kwa hapa Tanzania,mimi nipo Mbeya. Na...
  4. Mrimi

    Ikiwa upinzani utashinda,Tanzania itageuka Lybia.Hii maana yake nini?

    Jamani,hivi ni mimi tu ninapata shida kujua tafsiri ya kauli hii? Ni kweli Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani inaweza ikaingia katika machafuko..hilo halina ubishi,ingawa hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaombea hiyo itokee..Na ktk hili ni wajibu wetu sote kukemea kwa nguvu zetu...
  5. Mrimi

    Je, naweza kuhama LAPF kwenda PSPS?

    Wandugu,nahitaji kufahamishwa ikiwa inawezekana mtumishi kuhama kutoka mfuko mmoja wa hifadhi ya jamii kwenda mfuko mwingine.Kwa mfano,kutoka LAPF kwenda PSPS.. Swali la pili,je,inawezekana mtu akaamua kusitisha mkataba na mfuko kabla ya kustaafu? Je,atalipwa hela aliyochangia kabla ya kutimiza...
  6. Mrimi

    Hivi hii unlimited ya Smart ni unlimited kweli?

    Naombeni kujua jamani..hawa jamaa wa Smart wana vifurushi vyao vya internet vinanishawishi sana kujiunga nao,japo sijui wanapatikana wapi..lakini swali ni je,hivi hii unlimited yao ni unlimited kweli au ni unlimited kama ya voda? Maana voda ukijiunga na unlimited ya siku theoretically unatapata...
  7. Mrimi

    Kipi bora kati ya kilimo na ufugaji?

    Nimekaa hapa leo nikawa najiuliza ni kipi bora kati ya kilimo na ufugaji..nikawa nafikiria kufuga n'gombe wa kienyeji ambao kimsingi wana soko kubwa hapa nchini..changamoto kubwa kwa haraka haraka ni uendeshaji;hasa eneo la kutosha la kufugia na malisho..lakini pia majira ya kiangazi kunakuwa na...
  8. Mrimi

    Hii ni kwa walimu tu

    Nina idea ya kufanya kazi na walimu watakaokuwa seriously comitted. Mimi peke yangu siwezi, so nahitaji walimu hasa wa sekondari.. Tutakaa, tutajadili na kwa pamoja tutaona namna nzuri ya kutekeleza wazo hili. Mimi binafsi sio mwalimu, ila ninaamini kuna vitu nitachangia.. Plan yangu ni kupata...
  9. Mrimi

    Jamani mbona mimi nashindwa kufanya malipo kwa M-Pesa kwenda TCU

    Wakuu,heshima kwenu.. Nina wiki sasa najaribu kufanya malipo TCU ili nifanye application thru CAS,lakini kila mara napata ujumbe huu: Samahani,tuna tatizo la kiufundi kwa sasa.Tafathali jaribu tena baadaye.Asante kwa kutumia Vodacom. Naombeni msaada jamani,nimekwama tutani..
  10. Mrimi

    Nchimbi tulia,ni kawaida ya CCM kutofuata kanuni na katiba..

    Baada ya kumalizika kwa kikao cha CC,Emanuel Nchimbi amejitokeza hadharani kupinga uamuzi uliotupatia majina matano yanayoingia kwenye NEC.Madai yake yanazingatia ukweli kwamba CC haikufuata katiba ya chama.. Hivi ni kweli Nchimbi kwamba umesahau kuwa ni juzi tu bungeni mlipitisha kwa dharura...
  11. Mrimi

    Msaada: Naweza kupata wapi printing machine nzuri?

    Wakuu nahitaji printa kwa ajili ya ofisi yangu..napenda iwe na angalau spcs zifuatazo: 1. Speed angalau 50ppm 2. All-in-one yaani scanning,printing and copying Nimejaribu kuchek online kwenye ebay,amazon nk..naona hawaship kuja tanzania..napenda pia kujua namna gani naweza kuagiza kutoka...
  12. Mrimi

    Naomba Ushauri: Nahitaji kununua printer nzuri

    Wakuu nahitaji kununua kununua printer kwa ajili ya office yangu..printer ya karatasi sio t-shirts..nahitaji iwe na minimum spcs: 1. Printing speed angalau 50ppm 2. Colored au Black/White 3. Canon au nyingine nzuri 4. A3/A4 Na pia ningependa kujua kama inaweza kupatikana hapa tanzania,na kwa...
  13. Mrimi

    Wesite ya DigiTek ni ipi?

    Nahitaji kujua website yao ili nione hiyo decoder yao mpya wanayopromote. I mean hii ya IPP Media.
  14. Mrimi

    Kenya, Media imetumika kufichua uchafu wa Polisi, kwetu Media ni uchochezi vinafungiwa

    Jana kuanzia saa 4.00 usiku nilibahatika kuangalia documentary ya kusisimua sana. Ilikuwa inarushwa kupitia kituo cha television cha KTN na ilikuwa inaelezea tukio la ugaidi lililotokea hivi karibuni katika Chuo Kikuu Garissa. KTN walifichua habari zilizoonesha kuhusika aidha moja kwa moja au...
  15. Mrimi

    Anahitajika Haraka Fundi mzuri wa Digital Camera pande za Moshi..

    Camera yangu aina ya SONY leo imeniharikia. Inawaka na kuzima kama vile betri imekufa na hii imesababisha lens imestuck haimove in-out kama ilivyokuwa mwanzo. Tafadhali kama kuna kuna mtu anaweza saidi ndugu zangu,mwenzenu ndiyo nishakwama hivyo.
  16. Mrimi

    Tatizo hili la sauti TBC1 ni kwangu tu,au?

    Wakuu kuna kuyumba fulani hivi kwa sauti hasa unaposikiliza kwa makini muziki/wimbo.Yaani sauti inakuwa inashake fulani hivi kama betri zimechoka vile! Usiposikiliza kwa makini huwezi kugundua ila ukisikiliza kwa makini inakuwa obvious.Kwangu mimi naona kama ni kero,inaninyima ile raha...
  17. Mrimi

    Kwa nini Wahindi wanapenda kuishi National Housing?

    Nilifikiri,hizi nyumba zingekuwa preserved kwa ajili ya vijana wanaokuwa ndio wamepata ajira kabla ya kuwa na uwezo wa kujijengea,au zikapangishwa kwa watumishi wa serikali kama vile walimu,wauguzi,madaktari,askari waliokosa vyumba kwenye kambi zao nk.nk..nk badala ya kuzigawa kwa watu wenye...
  18. Mrimi

    Sio wendawazimu,ni mtazamo wangu juu ya Tiba Asilia..

    Ni kwa nini visianzishwe vyuo/vituo rasmi vya kutoa na kupata mafunzo ya tiba za asili? Ni muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji wa tiba za asili.Tulianza kuita dawa za kienyeji/mitishamba,baadaye tukaita tiba ya asili na sasa tunaita tiba mbadala.Yote hiyo ilikuwa ni mbinu ya kuifanya tiba hii...
  19. Mrimi

    Sikiliza wimbo huu kisha utoe comment...

    Nilikuwa nasikiliza wimbo huu,mpaka unaisha nikakosa cha kusema. Sijui wanajamii nyie mna maoni gani.
  20. Mrimi

    Jamani hii CAPITAL TV mbona mimi sioni kama ina vipindi vya maana sana..

    Binafsi mimi ni mpenzi mkubwa wa TV zilizo chini ya IPP.Lakini pamoja na hivyo,hii Capital TV kiukweli(kwa mtazamo wangu) sijaona kama imejipanga kukidhi matarajio ya watazamaji wake. Binafsi nilitarajia iwe TV maalum yenye vipindi vya kuonesha: - Documentaries motomoto - International News and...
Back
Top Bottom