Search results

  1. Mrimi

    Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

    Hizi data always ni classified. Let not be fooled guys.
  2. Mrimi

    Covid 19 (Corona Virus) kwa hapa Africa is over rated

    Kitu kingine ni kwamba, Corona kutanganzwa kuwa ugonjwa kwa kidunia( Pandemic) haina maana kwamba kila anayepata maambukizo lazima afe. Kuna mambo mengi ya kuzingatiwa kutoka kuambukizwa, kuonesha dalili (kuumwa) hadi kufariki. Huu ni ugonjwa ambao hauna tiba ya uhakika, kinachozingatiwa hapa...
  3. Mrimi

    Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

    Ila mimi bado naamini hii kitu hakiwezi kutusumbua sisi waafrika. Na ninaamini, hata kabla ya kugundulika china, kilikuwepo hata mwanzo. Na ninaamini miongoni mwetu tulishakumbana nacho, tukakishinda, ni vile tu hatukuwa na vipimo vya kuthibitisha. Na hii attention kubwa imetokea ni kwa vile...
  4. Mrimi

    Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

    Vyovyote iwavyo, huwezi kutenganisha survival yetu dhidi ya corona na kinga ya miili yetu. Wazungu wanapiga kelele tu, ila jibu wanalijua. Kitu kinga ya mwafrika! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mrimi

    Eti nyimbo ya ''Usimchezee Chatu'' inamzungumzia kiongozi fulani wa nchi?

    Ndio maana ya utunzi wa watu wenye akili. Huu ni wimbo unaoishi miaka yote. Upatie tafsiri yoyote unayopenda, itaeleweka. Unaweza kusema chatu ni "mchonga" utakubali, Ukisema chatu ni "dusheshelele" unakwenda, Kama chatu atakuwa "Jembe" sawa tu, Lakini pia inaweza chatu ni akina Ngurumo...
  6. Mrimi

    Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

    Kinga ya mwili hauzingatii super powers. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na virusi, na kwa kawaida, kinga ya mwili ndio factor muhimu katika kupambana na viral infections. Na kinga ya mwili inazingatia sana mazingira na jamii tunayotoka.. Tusisahau waafrika tuko ktk mazingira ambapo kuna...
  7. Mrimi

    Ni nani alitaka kumuua Mzee Mangula? Kwanini?

    Katika utabibu kuna kitu kinaitwa "food poisoning" Sasa ukitafsiri hayo maneno mawili kwa kiswahili, ndipo lilipo chimbuko la taharuki. Ukiongea na madaktari na kuwaomba tafsiri ya hilo neno, utakuja kutambua kwamba, ni kitu cha kawaida sana, ambacho mimi na wewe tunakumbana nacho kila mara...
  8. Mrimi

    Nahitaji Radio Transimitter

    Anaposema kw anamaanisha kilowatt. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mrimi

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Kwa vyovyote vile, daktari hawezi kuandika hivi! Na hii inafanya watu wasikuamini hata kama unasema ukweli..
  10. Mrimi

    Je, mwanamke anayejifungua kwa upasuaji ana uwezo wa kujifungua watoto wangapi?

    Sababu ni nyingi. Mojawapo ni kuongezeka kwa vituo vinavyotoa huduma ya upasuaji..tofauti na zamani,kwa sasa karibu kila wilaya ina hospitali na vituo vya afya kadhaa vyenye uwezo wa kutoa huduma hii. Pili ni kuongezeka kwa elimu ya afya kwenye jamii.. Watu wameelimika kiasi juu ya madhara ya...
  11. Mrimi

    African Satellite World and Sat Gear

    Well said,dude.. That's what JF is here for..
  12. Mrimi

    Je, mwanamke anayejifungua kwa upasuaji ana uwezo wa kujifungua watoto wangapi?

    Binafsi nimeona mama amejifungua kwa operation mara tano na yupo salama mpaka hivi ninavyoandika hapa.. Kusema kweli kibinadamu hatuko sawa..kwa hiyo kinachozingatiwa ni uimara wa kizazi cha mama kuweza kuhimili makovu yatokanayo na operations hizi.. Namanisha nini? Jinsi kizazi kinavyokuwa na...
  13. Mrimi

    Afya kwanza

    Kama ni jipu,kwa maana ya jipu kweli,husababishwa na bakteria.. Wanaweza kuingia kwa kupenya ktk ngozi kupitia michubuko ama kupenya tu hata sehemu zisizo na michubuko..lakini pia unaweza ukawa na bakteria ndani ya damu ambapo wanaweza kusababisa jipu sehemu yoyote mwilini.. Kuhusu kujikinga...
  14. Mrimi

    Mtandao wa sasatel

    Tritel ipo ila kwa rangi tofauti.. Tritel >> Mobitel >> Buzz >> Tigo >>[ ]
  15. Mrimi

    African Satellite World and Sat Gear

    I was thinking of try hunting 66 by 6ft at Mbeya (Southern West Tz)..but this can be really heartbreaking to me.
  16. Mrimi

    African Satellite World and Sat Gear

    Not really, Sir. And never was.
  17. Mrimi

    African Satellite World and Sat Gear

    Been looking to the beams currently available, definitely, ECOWAS 1 can't be reached from here,may be ECOWAS 2 that covers some parts of Zambia can be tried.
  18. Mrimi

    African Satellite World and Sat Gear

    Good news. Still thinking if I can nab it here in South West of Tanzania (Near Zambia).
  19. Mrimi

    African Satellite World and Sat Gear

    They say,kama mwendawazimu akichukua nguo zako...chutama, usikimbizane naye kwa barabara..otherwise,wote mtaitwa wendawazimu.. Why don't you serve your precious energy for better stuff, huh?
  20. Mrimi

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Uko sahihi tena nyingi tu
Back
Top Bottom