Search results

  1. lifecoded

    Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Ni balaaa Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
  2. lifecoded

    Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Angalia movie inaitwa Eternal haya uliyoyasema yamo Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
  3. lifecoded

    Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Kinachoufanya mji wa IFAKARA kuwa juu ni uwepo wa vitu vifuatvyo 1) Hospital kubwa ya Rufaa ya St.Francis Referral hospital 2) Chuo kikuu cha Afya St.Francis University College of Health and Alied science(SFUCHAS) kwa ngazi ya Udaktari na kozi zingine za Afya. 3) Taasisi ya utafiti (IHI)...
  4. lifecoded

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Ha ha mkuu hiyo kitu achana nayo kabisa broo..mlengwa ya hiyo kitu ni mzungu mwenyewe bana..kumbe kuna nchi zometagetiwa alooo...ni kutokana na kukataaa millenium mpya ya makubaliano ya kumove kutoka civilization hii kwenye nyingine zaidi..ila kuna mabwana kama 3 walikataa ..ndo utengenezaji wa...
  5. lifecoded

    Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

    inasemekana lakini kuwa jamaaa alipewa diri na wenye kanisa kuandika the trinity and central dogma ya jesus geneology... mkuu da vinci ulishawahi sikia hii fununu...? And inasemekana kuwa jamaa aliandika dogma katika codes ambapo maaskofu huwa wanaenda kupitia kuupdates the secret hidden...
  6. lifecoded

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Hapana mkuu...unajua sometimes unakaa pembeni unacheki jinsi movie inavyotambaaaa...
  7. lifecoded

    Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

    daaaah sema Vinci nae sio mtu poa sana ...juzi nilikuwa napitia documentary flan inasemekana kwenye ule mchoro wa The last super ,ile picha wamegundua ina particle ndogo ndogo za Viral plus bacterial as well as Fungal DNA( RNA) ..manake huyu jamaa alikuwa anachanganya material ambayo mpaka leo...
  8. lifecoded

    Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

    namba yangu moja ,my mentor wa muda wote hapa duniani ni Nikola Tesla....[emoji4][emoji4]nipeni maji ninywe kidgo
  9. lifecoded

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Soon nitarejea mkuu
  10. lifecoded

    Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Kuna kitu watu huwa hawawezi elewa kwa sababu they cant think outside the box.. Wea re living in a simulated world( universe) .. Ni somo pana sana hili kiasi kwamba ukimweleza mtu hawezi kukuelewa na zaidi utaishia kuzinguana nae kwa sababu atakuona unapotoka sijui umemdharau muumba aliyekuumba...
  11. lifecoded

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    welcome tesla [emoji4]
  12. lifecoded

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Karibu...
  13. lifecoded

    The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

    Hakuna kutu kitakachokuja kuja kuonekana maishani mwako kama subconscious mind yako itakuwa haijavibrate na kurespond kwa idea yake... Meaning kwamba maisha yoyote yataonekana kwako kama uliihusisha mind yako before... mind yako ndo yenye kuamua kije au kisije .. kila kitu kipo na hakipo at the...
  14. lifecoded

    The Hidden Power of the Universal Laws

    [emoji23][emoji23][emoji23] citation au sio[emoji23][emoji23] poa mkuu , karibu sana
  15. lifecoded

    The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

    ufahamu mkubwa na wa kiwango cha juu kwa mwanadamu ni pale atakapogundua kuwa hapa duniani anaishi peke yake.. Unaishi wewe mwenyewe...hapa duniani ninaishi mimi mwenyewe na sio wengine hao ninaowaona(unaowaona). Sikuja duniani kwa bahati mbaya na ndo mana mpaka sasa hivi hujafa au sijafa...
  16. lifecoded

    Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

    [emoji23][emoji23][emoji23]movie ilishatoka na watu waliangalia mzee.. ilizuiliwa ili iweje then what changed the movie and the contents ??? Sijawahi kuwa indoctrinated na western things kama unavyodhani ila ni mtu ninaweza kuhoji kitu kwa faida yangu.. Mimi nimekwambia kitu simple kuwa quote...
  17. lifecoded

    Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

    Imagine mpaka leo hata kufanya ground mineral extraction hatujui sasa tutajua matumizi ya hayo madini mkuu?? Halafu watu wanafanganywa eti ni kutengenezea pete!!!! serius?? Yani makampuni yakawekeze mabilioni ya pesa kitafuta madini ili yatengeneze pete na mikufu?? cant be seriuz aisee...
  18. lifecoded

    Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

    Hapo ndo unazidi kupotea kabisa...ukiulizwa swali na layman kuwa wazungu waliwahadaaa aancestors wetu utamjibuje sasa if at all una claim kuwa they had advanced civilization?? Hivi unaelewa maana ya neno civilization lakini au unachanganya na cultural believe?? [emoji116][emoji116][emoji116]...
Back
Top Bottom