Search results

  1. navigator msomi

    Wilaya ipi nzuri ya kuanzia maisha mwanza

    Wadau nataka hama hapa nilipo kuja jiji la mwanza, sijawahi kufika mwanza ila nahisi naweza kupamudu coz ni mtu wa kanda hiyo.. Shida sijajua ni wilaya ipi itakua favor kwangu kwa kuzingatia kupata ka kiwanja ka kujenga, na kimechangamka japo kidogo..sitaki mjini kati sana ila pia sipendi pawe...
  2. navigator msomi

    Ipi ni rahisi na nafuu kwenye gharama kati ya kujengea nyumba kwa tofari za kuchoma na block

    Wakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba. Kati ya kujenga nyumba kwa tofari choma ambazo kwa huku nilipo tofari mpaka site ni shilling 100,pia kujengea hizi tofari unaweza tumia udongo bila cement. Chamsingi renta lazima uweke.. Pia,hapa...
  3. navigator msomi

    Inatumia muda gani mpaka pesa ya mkopo kuingizwa kwenye account?

    Salaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo? Sababu tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11 mwaka jana, process zote nikamaliza mwaka jana ila cha ajabu mpaka sasa hivi hakuna chochote na...
  4. navigator msomi

    Ni benki ipi nzuri kuweka fixed account?

    Kuna hela kama million 10 ninampango wa kuitumia miez sita mbele, kwahyo nahitaji kuihifadhi kwenye fixed account. Wadau ni benk ipi itakua na asilimia nzuri katika faida. Natanguliza shukrani wakuu.
  5. navigator msomi

    Andika ratiba yako ya siku mbili zilizopita, mtu atakuja kukuambia/atatabiri unapitia hali gani kwa sasa(psychotherapy)

    Wadau, najua kila mtu kuna kipindi anapitia either kigumu au kizuri. Kwahyo shusha matukio ulioyafanya katika kipindi cha siku mbili zilizopita na wana psychology wa jamii forum watakuambia unapitia nini na solution ya hali ako ni ipi.... Nianze na mimi, ndani ya hizi siku mbili nashinda ndani...
  6. navigator msomi

    Hivi mnawezaje kukopa aiseh? Mbona kama kunatisha?

    Habari ya mihangaiko wakuu, straight to the point..leo katika kukosa kazi nikaona sio mbaya nitembee na salary slip kuona ni kwa jinsi gani ninatembea na utajiri mfukoni. Nikimaanisha kiwango ambacho naweza kukopa benk hasa kwa muda mrefu..hii sio mara yangu ya kwanza kwenda benki kukopa imekua...
  7. navigator msomi

    Msaada: Makosa kwenye kujaza fomu ya pasipoti ya kusafiria

    Wakuu samahani, naomba mwenye maarifa kidogo juu ya swala hili anipe mawazo kidogo. Nilijaza fomu ya kuomba passport mtandaoni hadi mwisho kisha nikailipia then after nika download tayari kwa kui-submit ofisi za uhamiaji. Tatizo langu ni kuwa baada ya kuidownload form nimeona picha niliyotumia...
  8. navigator msomi

    Jinsi ya kupata chance ya kufundisha vyuo vya kati kama diploma

    Wakuu habari vipi, kuna mwamba ni mwalimu wa secondary katika shule fulani ya kata. Ndoto yake kubwa ni kufundisha vyuoni hata kama vya kati, masomo yake ni HISTORY na KISWAHILI na overall GPA yake ya undergraduate ni 3.5 UDSM. Anauliza hivi utaratibu wa kufundisha vyuo vya kati hasa diploma...
  9. navigator msomi

    Ada ya Masters of Physics UDSM ni shingapi mpaka unamaliza research?

    Wakuu kwema, samahani kwa mwenye kujua fee structure ya Master ya physics chuo kikuu Cha dar es salaam naomba anijuze. Natanguliza shukrani.
  10. navigator msomi

    Naomba Ushauri, nataka kurudi shule nikasome Master's

    Wadau ninaomba mchango wenu wamawazo. Nimekua mtumishii wa serikali kwa miaka minne Sasa, katika idara ya elimu(Mimi ni mwalimu) umri miaka 28. Nafundisha masomo ya physics na chemistry, na ninayo elimu ya bachelor yenye GPA nzuri tu. Nimeamua kutaka kurudi kupiga kitabu Tena, nafikiri...
  11. navigator msomi

    Ipi ni sehemu sahihi ya kuhifadhi pesa?

    Habari vipi wadau, Leo ninaomba mnipatie ushauri kuhusu sehemu sahihi ya kuhifadhi pesa kati ya M pesa na Bank, kuna pesa ninayo saizi ila matumizi yake nimepanga yafanyike kuanzia mwezi wa tano. Kwa saizi pesa iko katika account ya CRDB lakini kila siku naona kama inazidi kupungua hata bila...
  12. navigator msomi

    Ni psychological problem au nature au ni kawaida? Msaada jamani

    Naomba niende moja kwa moja kwenye point....Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-27. Nina shida moja kama siyo tatizo ambalo linanisumbua sana na ningependa kama kuna uwezekano niachane nalo kabisa japo nimejarb lakini nimeshindwa kwa mimi kama Mimi.. Nimekua na woga sana kama siyo hofu...
  13. navigator msomi

    Hatimae Mungu katenda miujiza kwangu, nimepata ajira

    Hellow.!jf members.....kwanza nianze kwa kutanguliza shukurani zangu kwenu kwa uvumilivu na ushauri juu yangu tangu enzi zile nalia sana sina ajira. Napenda kuwataarifu Kua namimi Leo nimebahatika kupenya kwenye hizi ajira ndogo za serikali. Nachowaomba ndugu zangu, mnisaidie ushauri tena ni...
  14. navigator msomi

    Natafuta kazi ya kufundisha physics na chemistry ngazi zote za elimu

    Mimi kijana 24yrs. Nimemaliza elimu yangu ya shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha dsm. Nimekuja kwenu kuwaomba kama kuna mtu anaweza kuni assist nikapate sehemu nikafundisha masomo hapo juu. Nina uzoefu mzuri katika masomo tajwa hapo juu,kwani hata ufaulu wangu ni kuanzia B kwenda juu (wa...
  15. navigator msomi

    Naomba uchangie nasi kazi yoyote uliyonayo ya kuwasaidia watu kupata kipato

    Habari niaje ndugu...!kama mnavyojua kwenye maisha siku zote binadam huwa tunategemeana.. Kwani ninayo imani kwamba pengine hapo ambapo ulipo either unafanya kazi or kibaruani ni kutokana na juhudi/mpango wa ndugu au jamaa ako. So kama una mchongo wowote wa kazi au fursa ambayo unaona unaweza...
  16. navigator msomi

    Mwalimu mzuri wa physics na chemistry.

    Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku..! Nimekuja kwenu kuwaomba kama kuna mtu yeyote ambae anafaham kwa sasa kua kuna shule inayohitaji mwalim wa masomo tajwa hapo juu tafadhari naomba anijulishe. Kuhusu elim yangu ni mhitimu wa chuo kikuu cha udsm na Niko vizuri sana katika masomo...
  17. navigator msomi

    Wale wenzangu tunaotafuta angalau tuitwe kwenye interview tukutane hapa.

    First, am dilighted to have jamiiforum kwasababu hii ni sehemu ambayo unao uwezo wa kuwakilisha mawazo yako. Straightforward.., kama Uzi unavyojieleza...Mimi ni kijana nimamaliza masomo yangu (udsm) katika shahada ya kwanza kwenye masomo ya physics na chemistry. Na nina ufaulu mzuri tu katika...
  18. navigator msomi

    Anataka kuzaa na mimi japo sina mpango wa kumuoa

    Ndugu zangu wanajamii,mimi ni kijana ambae hivi sasa nina umri wa miaka 24 na nimefanikiwa kumaliza elim yangu ya juu mwaka Jana.
  19. navigator msomi

    Nikasome Shahada ya Uzamili inayohusiana na nini?

    Kwanza habari za wakati wanajamii wenzangu.!? Mm ni mhitimu wa chuo kikuu cha dar es salaam(Udsm) katika fani ya bachelor of science with education majoring physics na chemistry. Mwaka huu 2018. Kutokana na wimbi la ajira kutokueleweka napenda sana kuendelea kusoma digrii yangu ya pili. Nipo...
Back
Top Bottom