Search results

  1. navigator msomi

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Kote sijawahi ishi ila natamani kukaa maeneo hayo, sitaki iwe mjini wala sitaki iwe mbali na mji sana
  2. navigator msomi

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda. Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
  3. navigator msomi

    Wilaya ipi nzuri ya kuanzia maisha mwanza

    Asantee sana kiongozi,vipi misungwi naweza pata hata ya nusu nilivovitaja hapo mkuu
  4. navigator msomi

    Wilaya ipi nzuri ya kuanzia maisha mwanza

    Wadau nataka hama hapa nilipo kuja jiji la mwanza, sijawahi kufika mwanza ila nahisi naweza kupamudu coz ni mtu wa kanda hiyo.. Shida sijajua ni wilaya ipi itakua favor kwangu kwa kuzingatia kupata ka kiwanja ka kujenga, na kimechangamka japo kidogo..sitaki mjini kati sana ila pia sipendi pawe...
  5. navigator msomi

    Ipi ni rahisi na nafuu kwenye gharama kati ya kujengea nyumba kwa tofari za kuchoma na block

    Wakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba. Kati ya kujenga nyumba kwa tofari choma ambazo kwa huku nilipo tofari mpaka site ni shilling 100,pia kujengea hizi tofari unaweza tumia udongo bila cement. Chamsingi renta lazima uweke.. Pia,hapa...
  6. navigator msomi

    Hawa ni maDj wa Kenya wanaokimbiza sana Tanzania kwa mix kali

    Hivi nani atakua na mix ya dj kalonje ya sweet reggae,ile wamo wakina deynque(summer love) ya miaka ya nyuma kidogo...kama unayo kuna hela ya maana ninayo
  7. navigator msomi

    Inatumia muda gani mpaka pesa ya mkopo kuingizwa kwenye account?

    Unaomba online, hakikisha halimashauri imepewa gawio.
  8. navigator msomi

    Inatumia muda gani mpaka pesa ya mkopo kuingizwa kwenye account?

    Approved amount ishapita,na signed contract nishasubmit..na isha be verified. Stage bado mpunga tu na tangu mwezi wa 12 mzigo haujaingia
Back
Top Bottom