Search results

  1. S

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Wana JF - Habari, Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye hotuba za mwalimu J.K Nyerere anipatie tafadhali. Au kama kuna link inayoweza kuwa na hizo speech. Please help.
  2. S

    Inakuwaje ninapogongwa na gari isiyo na bima?

    Wiki iliyopita nimepata ajali na gari yangu, nimegongwa na corolla iliyokuwa imepoteza uekekeo na kuja upande wangu wa barabara. Baada ya taratibu za kipolisi kufuatwa tumejua gari hiyo haina bima. Polisi wanamtoza fine mmiliki wa hiyo Corolla. Naomba kupata msaada, itakuwaje kwa gari yangu...
Back
Top Bottom