Search results

  1. mwakyindi

    Haya mafuta ya kwenye bomba za TAZAMA yanaweza kutumika?

    Habar wakuu, Huku Mbeya kuna sehemu bomba la mafuta la TAZAMA limepasuka, watu wanajichotea wamejaza mapipa. Hivi yanaweza kutumika?
  2. mwakyindi

    TV4Sale Nauza TV Panasonic nchi 19 na Deki

    Full package kwa Elf 70 tu TV panasonic nchi 19, Dek Sing Sung na Frash GB8 Og vinauzwa bei ya kutupa. Vipo Mbeya Iyunga 0623935516 maongezi yapo kidogo! KARIBUN WAKUU.
  3. mwakyindi

    Natafuta kazi, nipo Mbeya

    Habar wakuu! Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan hapa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mimi ni fundi.
  4. mwakyindi

    Sundar betr 12 v 200 ah inauzwa

    Habar wakuu! betr ina miez 2 tokea inunuliwe duka lipo mbey mjin bei 120 (lak n 20) 0623935516 kalibun
  5. mwakyindi

    Nashindwa kukojoa vizuri, nitumie dawa gani?

    Tatizo limeanza juzi, yaani natoa haja ndogo malra kwa mara kwa shida sana pia tumbo linaniuma nitumie dawa gani?
  6. mwakyindi

    Natafuta mwalimu wa boxing

    Habar wakuu, Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu. Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia nafanya sana mazoezi. 0653935516
  7. mwakyindi

    Je, kuwa na urefu futi 6 pia ni mtu wa mazoezi na kuwa na KG 80 kiafya ni sawa?

    Habar wakuuu! Nina urefu futi 6 pia ni mtu wa mazoezi san kuwa na KG80 kiafya nisaw?
  8. mwakyindi

    Kiwanja kinauzwa Mbeya mjini Iyunga karibu na chuo cha MUST

    Habar wakuu. Uwanja una upana mita 20urefu mita 25 Umeme Maji balabal vipo Bei Milion 8 Maongez yapo Uwanja hauna hati 0623935516 Karibun🙏🙏
  9. mwakyindi

    INAUZWA Baiskeli nzuri inauzwa, bei nafuu au nabadilishana na sport bike

    Baiskel nzuri kal inauzwa bein saw na bure. Ina gear 6. break . Kiti kipya cha kukalia. Kiti imala cha kubebea mizigo. Haina kiungo chochote wal kuchuka rang. Pia nabadilishan na sport bike hata kam Haina ila isiwe na kiuongo chochote pia iwe Mali haral. Nipo Mbeya Tanzania ila mkoa wowote...
  10. mwakyindi

    Hodiiiiiiiii

    Hod wajumbe nimerud tena baada ya kupigwa ban nilimi Miss kwel jf sitarudia tena kutukana matus🙏🙏🙏🚶🚶
  11. mwakyindi

    Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

    Kwanza niombe Mimi sio mwandishi mzuri endapo nikikosea uwandishi mtanisamehe. Baba ulikuwa na mahusiano na mama hakumuowa badae nikazaliwa mimi nikalelewa na mama nilipokuwa mkubwa nilitaka kwenda kwa baba lakini mke halali wa baba akanikataa kabisa mpaka akatishia kuniua endapo nikienda...
  12. mwakyindi

    Naomben kaz ya udereva bajaji wakuu

    Mimi nikijana nipo mbeya iyung Nina miaka 24 naomben kaz ya udereva bajaji Nina uzoefu wa miaka 3 nitakua nakuleta elfu30 kwa siku namba yang0766857120
  13. mwakyindi

    Mimi dereva natafuta kazi katika mkoa wowote

    Mimi ni kijana nina miaka 23 nipo Mbeya. Nilikua dereva wa gari la kusambaza mikate bahati mbaya bosi mwenye gari kafulia gari kauza na mimi kibarua kimeota nyasi. Naombeni msaada wakuu kwa anayeweza nipa kazi yoyote sehemu yoyote, mkoa wowote nipo.
  14. mwakyindi

    Plot4Sale Uwanja unauzwa mbeya jiji iyunga

    Uwanja upo iyunga kalibu na kituo cha afya iyunga umeme maj barabr vyote vipo, bei milion2 maongezi yapo[emoji337] 0766 85 71 20
  15. mwakyindi

    Kiwanja kinauzwa mbeya mjini iyunga

    Habar wakuu! Nauza kiwanja changu mwenyewe sio daral! Kiwanja kina urefu wa mita 20 upana mia 12! Barbara umeme na maji vyote vipo. kiwanja kipo mbeya jiji iyunga mita chache kutoka eneo la chuo Must. Bei milion2 na nusu! 0766 85 71 20
  16. mwakyindi

    Subwoofer used inahitajika mbeya

    Sabufu iwe harali! isiwe mbovu [emoji337] 0766857120
  17. mwakyindi

    Subwoofer used inahitajika mbeya

    Subwoofer iwe mali halali bei isizidi elf50 [emoji338]0766 8571 20
  18. mwakyindi

    Mbuzi dume mkubwa anauzwa Mbeya Jiji

    Mbuzi yupo mbeya iyunga bei elf80 [emoji337] 0766 85 71 20 karibun san mbuzi bado yupo
  19. mwakyindi

    Plot4Sale Uwanja wenye miti unauzwa mbeya jiji

    Uwanja unaupana wa mita40 urefu mita50 upo mbeya jiji iyunga umeme maji barabala vyote vipo kasolo hati2 !bei mil 25 simu 0766 85 71 20 au 0653 53 89 71 Sent using Jamii Forums mobile app
  20. mwakyindi

    Uwanja unauzwa Mbeya mjini

    Uwanja upo Mita chache kutoka chuo science and technology Mbeya (must) Umeme maji vyote vipo.sim no 0766857120
Back
Top Bottom