Search results

  1. Bukali

    Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

    Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara. Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa. Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na: 1. Elevators zake 2 2. Destoner 3. Cleaner. Pia inaoption ya kupata brown rice. Shida yangu ni ushauri, je...
  2. Bukali

    DR Jonas Tiboroha alitakiwa awe mwenyekiti wa Yanga

    Dr Tiboroha, ndiye hasa alitakiwa awe mwenyekiti wa Yanga. Kipindi akiwa katibu mkuu, aliifanya Yanga kuwa timu tishio sana Tanzania. Angalia scout ya Wachezeji kama Ngoma, Kamsoko, Twite. Ni watu ambao walikuja Yanga wakiwa wanafahamu kazi yao ni kufanya nini. Yanga ya Msola na Dj...
  3. Bukali

    Yanga yangu

    Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
Back
Top Bottom