Search results

  1. K

    Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Wakati umefika sasa Kwa vyama vya upinzani kubuni biashara nyingine au kazi nyingi za kufanya ,kwani kuendelea kufanya siasa mnapoteza muda wenu bureeee, bora mkalime matango pori.
  2. K

    Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

    Mwenye kujua sifa za kuwa traffic polisi aziweke hapa
  3. K

    RC Chalamila: Wanaokosoa Serikali wengi hawajaoa, hawajaolewa au wameachika

    Nimekumbuka wilaya ya chemba iliyoko Mkoa Wa Dodoma, mkuu mmoja aliomba kupewa talaka ikashindikana
  4. K

    Watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha kwa riba, wana riba kubwa,hawalipi kodi na hakuna sheria inayowabana

    Umenikumbufha kampuni ya enterprises financial limited IPO arusha na dar riba wanatoza 210%.pia wapi heritage financial limited ya Arusha.hapo jamaa ni wapigaji Wa Riba na wauzaji wakuu Wa nyumba za watanzania na viwanja.bora ziondolewe kama maduka ya kubadilisha fedha yalivyoondolewa.
  5. K

    TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    Kuna mtindo umekuja polisi wanajificha porini na kutumia simu zao za smart phone kupiga Magari over speed, ukifika mbele unasimamishwa unaonyeshwa Picha ya gari lako na speed yako kwenye siku ya trafic mwingine, wanakudai rushwa na faini hawataki kukuandikia, mfano kuna eneo LA low gear, kule...
  6. K

    Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

    Mtasubiri sana,hakuna mgombea mtakayemuona mwaka huu.waliteuliwa na ccm ndio hao hao wameshapitishwa hakuna kupigiwa kura wamepita bila kupingwa.
  7. K

    DC Iringa Mjini, Richard Kasesela amelazimika kuomba radhi kwa umma baada ya kutoa taarifa feki ya kifo cha Dr. Salim Ahmed Salim

    Huyu anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu haraka iwezekanavyo.yeye ni msemaji Wa serikali?
  8. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Waziri wa nishati Dr medard alitangaza kuwa wateja wanaohitaji umeme watapatiwa nguzo bila kununua.he kauli hii ni mikoa mingapi imeanza kuifanyia kazi kauli ya Mh Waziri? Je na nguzo na transfoma ni bure je mteja wa tanesco anayehitaji umeme anatakiwa alipishwe Gharama zipi zingine na ni...
  9. K

    TBS chunguzeni ubora wa majani ya chai ya kiwanda cha AFRI TEA AND COFFEE BLENDERS LIMITED.

    Pia TBS wachunguze kiwanda cha Rangi coral paints ,Rangi zimeoza na zinatoa harufu haifai hazifai kwa matumizi ya ujenzi
  10. K

    Ajali ya basi Safari Salama mkoani Morogoro bodaboda wamerudi tena

    Aliyeruhusu mabasi ya a Aliyeruhusu mabasi ya abiria kusafiri masaa 24 kuna siku atajiuzulu nafasi aliyepewa na Mh. Rais wetu.watu watakufa sana sana kwa ajali za usiku,huwa madereva wa mabasi wanasememaga usiku hakunaga serikali hivyo speed ni 120 kms per hr.
  11. K

    Gharama za kuvuta maji kwenda katika nyumba huwa ni bei gani kwa mita moja hapa Mwanza?

    Bora wafafanue bei kama walivyo tanesco na waziweke kwenye mtandao watanzania wajue ABC kuhusu Gharama za Maji kuunganishiwa.kila Mwanza being za huduma ya Maji ziko huu kuliko mahali pengine Tanzania.
  12. K

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Viwanja vya liganga meru na kule kiligolf alipiga dili sana.na sio kwenye mfumo wa kodi
  13. K

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Naye ni jipu.unamtetea tuweke data zake hewani kama hutakimbia JF
  14. K

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Alikuwa anaitwa Jeremiah.Afisa Ardhi huyu ni shida, kwenye orodha hii ninaomba kama jina halipo jina liwekwe.
  15. K

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Aongezwe kwenye list awe wa 185
  16. K

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Hii ni kesi ya kuhujumu uchumi
  17. K

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Kuna Afisa Ardhi alikuwa meru akahamishwa sijui alihamia wapi?kama jina lake haliko kwenye orodha hii ,ninaomba liongezewe liwe no.184
Back
Top Bottom