Search results

  1. Unsub

    Mwanamke anapokujibu hivi anakuwa anamaanisha nini ?

    Hapo maana yake hajaconfirm huko kunakompa jeuri. Sasa we ukiona hivyo mwaga kabla hujamwagwa.
  2. Unsub

    Nimefika salama Johannesburg

    Aache utani. Hii chai au hawezi kuweka kumbukumbu ya maeneo? Passport kugonga ni ama "nakonde border" akitoka tunduma au "chirundu border" akiwa anaingia Zim. Sasa Lusaka alikua kwenye "foreni" ya kugonga passport mpaka ikatokea ugomvi kulikua na kugonga nini?
  3. Unsub

    Umeenda kusalimia ndugu mtoto wake anadeka, utafanyaje?

    Oya niko siti ya nyuma yako acha kucheka kwa nguvu [emoji1] [emoji2] [emoji3]
  4. Unsub

    Msaada: Jinsi ya kupata Visa - Dubai

    Why Dubai? Usinijibu mimi nakupa formula ambayo mie hutumia. Jiulize hilo swali over and over ukiona huna hata chembe ya doubts. Proceed. All the best bro.
  5. Unsub

    Umeenda kusalimia ndugu mtoto wake anadeka, utafanyaje?

    Una aga unasepa. Malezi siku hizi hamna.
  6. Unsub

    Beliefs and Technology

    Utakua umewahi seat tu. Soma, tafakari kisha rudi unaweza kua na mchango mkubwa.
  7. Unsub

    Beliefs and Technology

    Salaam Jamii Forumians. Naamini kila binadamu hufikiri kwa wakati wake na kwa namna yake. Lakini wengi tufikiria tunapokua wenyewe (alone). Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi cha kukosa usingizi wakianza kufikiri. Mimi ni mmoja wapo. Na ndio maana when i go to bed its either nitumie simu...
  8. Unsub

    Kampuni ya UDART kupiga marufuku watu kupiga picha vituo nini lengo?

    Ukistaajab ya Musa...... Hivi na kwenye vivuko vya pale kigamboni nako picha zinakatazwa sababu ni nini? Mbona mambo mengi sasa hivi nyumbani yako tofauti sana na ilivyokua pia tofauti na nchi nyingi. Mbele picha unapiga hata ukiwa kwenye uzio wa jumba jeupe na sehemu nyingi za vivutio. Huku...
  9. Unsub

    Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

    Nimekosa motivation ikabidi niitungie JF tu
  10. Unsub

    Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

    Mmh Jamii Forum, ni uwanja mpana usifikiri ni column Hapa tunaelimika, na pia kuburudika Cha msingi kutulia, madharau achia Tulia Muhimu kuheshimiana, hata kama mtajamiiana Kuna wengi wasichana, ila wengine kina mama Usihadaike na avatar, kuna wengine hawapo Dar Ila mapenzi hayana formula...
  11. Unsub

    Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

    Anayetaka kutungiwa shairi na mimi anipe sign.
  12. Unsub

    Wale mabingwa wa methali twende sawa...

    8= Sikio la kufa halisikii dawa
Back
Top Bottom