Search results

  1. S

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    shonza anatafuta tu umaarufu kupitia jina la Mbowe,ninachofahamu Mheshimiwa Mbowe ana elimu ya Diploma ya mambo ya biashara ambayo kimsingi kwa upeo wake wa mambo na uwezo wa kuongoza inaweza kulingana na degree kumi kama za shonza ambazo zioni km zinamsaidia.
  2. S

    Mwandishi APIGWA risasi na Polisi

    Tusiwalaumu polisi...nchi hii ina utawala na yanapotokea mambo kama haya na tawala zimenyamaza ina maana kwa namna moja zinafurahishwa na mambo haya,nitashangaa kama kuna mwandishi ambaye hadi sasa atakuwa anaishabikia CCM. HII SIO BAHATI MBAYA.
  3. S

    Ni nini sababu ya tofauti kubwa za mishahara ya watumishi wa serikali?

    Umefika wakati sasa kwa wabunge kuliweka mezani swala la tofauti za mishahara ya watumishi wa serikali, hapa namaanisha mshahara wa mtumishi wa TRA, TANAPA,BOT una tofauti kubwa sana na mishahara ya watumishi wa halmashauri,walimu na idara nyingine kama kilimo na hii tofauti ni kubwa hata kama...
  4. S

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Unazungumzia kima cha chini kipi? manake serikalini mtu anayeanza kazi na degree mshahara wake hauvuki laki tatu namaanisha 275,000/= au wewe unazungumzia ongezeko lipi?hebu tupe hoja inayoeleweka
  5. S

    Elections 2010 Kikwete alitukuta hivi, katuleta hapa; atatuachaje 2015?

    Jamani kama ni suala la amani JK alitukuta nayo wala hajaongeza chochote...sanasana naona anaongeza chuki kutokana na kubebabeba watu ovyo, kama kuteua ma RC walioshindwa Ubunge
  6. S

    Elections 2010 Utafiti: CHADEMA 74% Igunga, kama uchaguzi ungefanyika leo

    Jamani CHADEMA kama uchumi unayumba zindueni kapu tuchangie tuikomboe nchi yetu, tumechoka
  7. S

    Mwandishi wa Gazeti la Majira ajiapiza ailaani CHADEMA

    Msibabaishwe na gazeti la Majira kwani hata Igunga halifiki na wapiga kura wa Igunga kamwe hawatashawishiwa na Majira wanona wenyewe madudu ya CCM ambayo hata Rost Ham aliyaona, wasaliti wapo wengi.....aluta continyuuu
  8. S

    Kweli Tanzania inahitaji Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya?

    Jamani watanzania wenzangu kuna umuhimu gani wa kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya hapa nchini?kwanza ni zipikazi zao?kama ni maswala ya kusimamia maendeleo kuna wakurugenzi wa miji na halmashauri wanatosha, kama tulirithi haya mambo kwa wazungu sasa yafike mwisho.
  9. S

    Wananchi wamewakataa, Kikwete amewachagua!

    ndio maana tunataka katiba mpya, Rais anatumia madaraka vibaya kama mtu kakataliwa kwao iweje afae ugenini?Tafakari.......2015
  10. S

    Wabunge wa CHADEMA vipi?

    mtoto wa mama acha hizo hapa hatuzungumzii CCM kudum Ikulu tunazungumzia maslahi ya umma, haiwezekani watu wakapokea posho lukuki huku hospitalini kukiwa hakuna dawa,maji ya uhakika hakuna mijiji wala vijijini, umeme ndo usiseme, mafuta ghafi ndo balaa bei haishikiki, shuleni nako wanakaa chini...
  11. S

    Wabunge wa CHADEMA vipi?

    swala la CDM kukubali au kukataa posho sio ishu, tusipambane kuzima moto bila kutafuta chanzo chake......kwani hizi posho na mishahara ya hawa jamaa inapangwa na nani?..........na kama ni wao wenyewe wanapanga malipo yao mnatarajia nini?.......cjawai kuona mfanyakazi yeyote anayejipangia...
Back
Top Bottom