Search results

  1. NGWANAMWELUNGA

    Ukaribu & mazoea vs kupenda/kupendana

    Swali; je kupenda/ukweli ni upi Ikiwa wote huwa tunasisitiza tunawapenda? Je ni ukaribu unaopelekea kile kinachoitwa kupenda? kiukweli wengi huwa tunachanganya vitu hivi viwili; KUPENDA na KUTAMANI!! kupenda huwa kunajengwa na vitu vingi ikiwemo ukarimu, ukaribu, kujali, ,uelewa kwa mwenzi...
  2. NGWANAMWELUNGA

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Ndugu zangu nisaidieni kitaalam!!! naumia kila nimwonapo ndugu yangu akiwa amelewa kupindukia kufikia kiasi cha kukokotwa na kusaidiwa kurudishwa nyumbani. Je kuna namna yoyote ya kuweza kumsaidia mtu huyu kitabibu??????
  3. NGWANAMWELUNGA

    Raha ya Maisha ni nin?

    No body is incharge of ua life except god. Mungu ni furaha, upendo pamoja na amani! No body can bring u a piece of mind other than ua self!! piece of mind is EARNED and CAN NOT B GIVEN BY ANYBODY!!!
  4. NGWANAMWELUNGA

    Mama! Baba kanya.

    Uuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! mbavu zangu!!
  5. NGWANAMWELUNGA

    Kutojisikia hamu ya kushiriki tendo la ndoa!!

    Miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanandoa,hasa kinamama ni kutojisikia hamu ya kushiriki tendo la ndoa na wenzi wao. Naombeni mnisaidie:- 1.nini kinaweza kuwa chanzo cha tatizo hilo? 2.nini tiba ya tatizo hilo?
Back
Top Bottom