Search results

  1. P

    Wana Yanga hatumtaki tena Manara. Ali Kamwe na Privaldinho wanatosha

    Manara aendelee na tabia zake za kuchambana na watu Ila madogo alikamwe na Privadinho wapo vizuri na wamempoteza sana. Sisi kama Yanga hatumtaki Huyu Manara arudi Simba na hata TFF wakimfungulia hatumtaki tena Yanga. Manara anagombana na kila mtu. Kagombana na Shafii, Kitenge, Jemedari Said...
  2. P

    Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi Saed Kubenea limekosa mvuto

    Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi SAID Kubenea limekosa mvuto. Rostam anapenda sana kununua magazeti critical. Gazeti limekosa mvuto; kila siku kuwashambulia CHADEMA na Magufuli; Tunajua kubenea anachuki na chadema baada ya kukimbilia ACT Wazalendo.
  3. P

    Yuko wapi msanii Dudubaya?

    Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa, hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake. Dudubaya yupo wapi?
  4. P

    Hesabu hazimbebi Mbatia wala Zitto. Mbowe is here to stay

    Je CCM bila mhimiri uliojichimbia chini ina mvuto kweli? Kuna watu wengi sana sijui hawamjui Mbowe vizuri au uchanga wa kuanza kushabikia siasa now. Mwaka 2015 Chadema ilimtimua Zitto na 2015 Novemba Kura za chadema ziliongezeka maradufu...kupata 6millions vote za Urais si haba km Hata Magu tu...
  5. P

    Ummy Mwalimu na Abrakadabla za FA

    mwanafa anadai ameugua ugonjwa wa COVID 19 au Chinese Virus au Chinese community Part Virus ( ccp virus) km wanavyoita wamarekani> "The other also a 40-year-old who traveled to South Africa on March 14 and returned to Tanzania on March 17,” reads a statement signed by the minister" Kutokana...
  6. P

    Kwa hili, Kigwangalla hufai kuwa hata mbunge

    Kwa hili Mh. RAIS anatakiwa akufukuze kazi mara 1 huwezi dhalilisha askari wanyapori hivi. Unajua sisi Tanzania umaskini wetu siyo bahati mbaya. Umaskini unatokana na viongozi kama Kigwangalla. Na hii vetting sijui inafanyika wapi. Msomi Professor Mkenda katibu mkuu wa Wizara ya maliasili pole...
  7. P

    Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

    Kweli kipaji unacho kijana..leo unakwama wapi. Kwenye maisha usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana. Ona sasa wale jamaa zako waliokuambia jamaa hakufai anakuharibia ANAKUNYONYA. Ona sasa walisema anakunyonya umeona show ya fiesta unavyolipwa..ona wasivyokuwa hata busy na wewe tena. Leo...
  8. P

    Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

    Mdogo una shida sana kwa masuala mawaili 1. Udini 2. Uccm 1.Mdogo wangu diamond unasifika sana na sidhani km utashuka leo wala kesho. Wewe ni celebrity unapendwa na wote wakristo kwa waislamu. Nakushauri acha kaudini ambapo unako. Chukua ushauri wa Rayvanny jenga na makanisa ili uonekane...
  9. P

    Mliopo na mliowahi kufika Canada mnijuze

    Habari zenu wakuu. Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa. Natazamia kufika Canada tarehe 15 September mwaka huu. Ntafikia city ya London jimbo la Ontario. Mwaka jana nilipambana sana kupata expert entry ili niwe na Permanent Resident but sikupata. Nimebahati kupata admission...
  10. P

    Je, Job Ndugai unamjua vizuri Jiwe?!

    Kaka angu 2020 huna chako hilo hata wewe unalijua sema nafsi yako inakataa tu but ukweli ndiyo huo japo unauma ..! Kumbuka 2015 haukuwa chaguo lake busara ilitumika tu! Umejitahidi sana kujipendeza kwake ukidhani itasiadia lakini wapi! Na sasa upo km Afisa Magogoni! Ngoja nikukumbushe...
  11. P

    Kwa heshima yako Waziri Mkuu jiuzulu, Mwachie peke yake!

    Pole sana PM; najua kipindi unateuliwa ulifurahi sana but najua now mzigo ulionao n mkubwa nafikiri unadhani ni bora usingekuwa wewe! Nakushauri 2020 mwambie imetosha ubunge tu unakutosha! Pm ulitafuta masoko ya korosho kupitia kwa wasaidizi wenu mabalozi! Mnakafanikiwa kupata wateja ambao...
  12. P

    Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

    Serious mm sina mpango wa kuoa Kabsa..yaani chapa ilale mpka nafika jioni yangu freshi. Ninaye mtoto wa Kiume ntamlea basi. Haya mambo ya kuoa yamepitwa na wakati kupeana stress tu. Ebu tujadiliane hapa wenye mawazo km Yangu..Wale wapenda ndoa au mlioa au kuolewa siyo kwenu hapa. Ndoa ni...
  13. P

    Ushamba na Ulimbukeni wa watanzania kuhusu Zari na Hamisa Mobetto

    Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya watanzania wote kwa akili zenu zilizojaa upupu. Mzee nyerere hakuacha taifa la majitu majinga hivi. Leo watanzania wamekuwa watu wa kumthamini mgeni kuliko mtanzania mwenzao. Au hutotuvingereza...
  14. P

    TID mnyama awadisi Clouds kwa kuua Mziki/ Awahusisha na majanga kwa wasanii.

    Ruge change bro..Karma inakuja Binafsi nauunga mkono hoja ya TID mnyama wa Kinondoni..
  15. P

    Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

    Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu.. Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya kijana wako anayeiongoza XXL hakushauri vizuri anadhani TZ ya 2000 ndiyo ya leo 2018.. Poleni sana...
  16. P

    Harmonise Vs. Allykiba, Ally Kiba Mziki siyo Mpira. Huku No Die fans

    Harmo juzi juzi alikuja hivi..ikawa balaa.. Mjomba akamuwahi..shughuli ikawa balaa na mwaka jana mwishoni kashirikishwa pamoja sex lady yemi alade hii nyingine ya jana hatari sana.. Hongera sana Diamond now umekuza, safi sana Dogo Harmonise. Wasanii wakubwa mfano Alikiba acheni...
  17. P

    Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

    Nimeupdate: Mi naishi Nje ya Nchi tokea mwaka juzi tokea mwaka juzi (2016). Nilipata bahati ya kusoma master Nchini ubeligiji miaka ya 2013 baada ya hapo nikaja bongo nikatafuta kazi sikubatika, Kuna mwana mmoja Mghana tulisoma naye Ubeligiji akanipa mchongo za kaz kufundisha english China...
  18. P

    Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

    Scenario 1; Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga: Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya saa 3 usiku, kuna manzi mmoja alikuwepo anawinda pale anakunywa soda..mzuri kishenzi..zigo haswa...
  19. P

    Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

    Tuseme Ukweli wakati mwingine dada zetu hawa bila tukofi tuwili tutatu hawakai sawa.. 1: Nakumbuka Mwaka 2013, Nchini Ubeligiji, University of Antwerp nilikuwa nasoma, nilidate na binti mmoja Mkenya alikuwa anasoma course tofauti na mimi. Siku 1 nikamtembela room kwake, kukatokea kijiugomvi...
Back
Top Bottom