Search results

  1. kiben10

    Umeshawahi kumuheshimu mlinzi wa eneo lako la kazi?

    Mwanamke mmoja aliyekuwa anaitwa Nancy alikuwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha kusambaza na kusaga nyama. Siku moja, baada ya kumaliza ratiba yake ya kazi, aliingia kwenye chumba cha baridi (friji) cha nyama ili kukagua kitu, lakini kwa bahati mbaya, mlango ulijifunga na akakwama ndani bila...
  2. kiben10

    Unadhani ni nini kilikufanya ukaacha kuendelea kusex na mpenzi wako?

    Alex anaingia duka la dawa kununua kondomu. Mfamasia anamwambia kwamba kondomu zinazopatikana zipo kwenye pakiti kuanzia tatu, tisa, au kumi na mbili, na kumuuliza ni zipi anazotaka. Alex anajibu, "Vizuri," anasema, "Ujue nimekuwa na mwanamke huyu kwa muda mrefu na ni pisi kweli kweli. Sasa leo...
  3. kiben10

    Ahmadi aingia kituo cha Polisi kutafuta kazi!

    Polisi anataka kumuuliza maswali kadhaa ili kujua uwezo wake. Polisi: Ni nini 2+2? Ahmad: Ummm... 4 Polisi: Nitajie square root ya 100? Ahmad: Ni 10 Polisi: Sawa umepatia yote, sasa, nani alimuua Kinjekitile? Ahmad: Kwa kweli sijui. Polisi: Vizuri, sasa unaweza kwenda nyumbani na...
  4. kiben10

    TRUE STORY [emoji3064][emoji119]

    Miaka 10 iliyopita nikiwa napitia kipindi Cha balehe, niliambiwa punyeto haina madhara, na niliingia Google kusearch faida za Punyeto tu.... Gues What!!!? Sikutafuta madhara ya kupiga punyeto kwasababu nilijua kama ningezifahamu basi ingenilazimu kuacha kupiga punyeto! What a life? [emoji2]...
  5. kiben10

    Mnyama Vs Asec naona dalili za kupoteza hii game kwa 75%

    Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo. Kuelekea African Football League tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Michezo ya mwisho ya Simba...
  6. kiben10

    Makosa katika pesa...!!!

    [emoji383]MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. [emoji383]MONEY MISTAKE 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo...
  7. kiben10

    Maumivu wakati wa kumwaga Mbegu Je, Shida ni nini?

    Eti WanaJF kuna kijana mwenzangu hapa anapata maumivu wakati wa kumaliza kuSex na Demu wake anasema anapofika Mshindo zile shahawa zikiwa zinapita katika mshipa huwa anahisi kama zinamuunguza. Sasa shida inaweza kuwa nini? Maana hii imekuwa inamtokea mara kwa mara na huwa akimeza AZUMA tu...
  8. kiben10

    Baba mwenye nyumba huyu ni katili sana, Tanesco naomba muingilie kati jambo hili

    Kuna Mchepuko wangu amepanga Chumba Master, Sebule na Jiko analipa 150k Luku anajitegemea ameishi hapo ni miezi 11 sasa. Sasa hiyo Luku ndio ambayo ameanzia Maisha na aliwekewa Taarifu 0 Umeme wa 10k alikuwa anapata Units 70+ nadhani wengi wenu mnajua huu mfumo wa Tanesco kwa hizo Taarifu...
  9. kiben10

    Mama mwenye nyumba kanunua friji matumizi ya umeme yameongezeka anataka niongeze pesa ya umeme. Ni sawa hii?

    Naombeni mawazo yenu niko kwenye hii nyumba zaidi ya miezi 5 sasa ila mwanzo tulikuwa tunaenda fresh tu, sasa mwezi miezi 2 baadae akanunua Fridge ya kugandisha barafu na anauza za mia mia na Jero pia. Same to me nanunua vzr tu. Ila naona suala la umeme sasa limekuwa headache kwangu kwani me...
  10. kiben10

    Huyu Binti anawezaje kuacha hii tabia?

    Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri juu ya jambo hili; Week mbili tangu nikutane na huyu binti na nimekuwa naye kwa mahusiano na tumeshaanza kutambuana kikubwa tayari. Sasa kinachonishangaza ni kuwa kwa mara ya kwanza kunipa penzi lake alinipa Anal sex tena Wala sikujua kama ameingiza huko ila...
  11. kiben10

    Kwani ni tatizo la ngozi yangu tu?

    Vijana wenzangu, wazee na watoto ambao mmewahi kuota ndevu za KWAPANI, CHINI, NDEVU & KICHWANI napenda kuwasilisha jambo hili kwenu kama mko na Experience ya ari hii ambayo mimi inanikumba kwa zaidi wa 3weeks sasa. Nimenununua 1pc ya Nyembe 6 za company ya RUNGU, ila tangu nimeanza kujinyoa...
  12. kiben10

    Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika. Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa. Zaidi, soma...
  13. kiben10

    Nipeni ushauri juu ya huyu mke wangu...

    Mke wangu amesafiri kaenda kwao kusalimia, ni week ya pili sasa imepita tangu ameenda kwao. Sasa nimetafuta number nyingine asieijua nimempigia nikamtongoza na akaniambia kuwa hayuko Morogoro, yuko mkoani nimtumie nauli akiwa anarudi nikampokee Msamvu Bus terminal, nimemtumia nauli kaniambia...
  14. kiben10

    Wimbi la waganga wa Tiba Asili i.e kupata pesa bila kafara, kurudisha mpenzi aliekuacha wakati bado unamtaka

    Assallaam aleykum, napenda tuchambue hii jambo kwa kina na mapana yake juu ya mambo haya ya waganga wa kienyeji. Mimi nimekuwa mmoja wa wahanga ambao niliwahi kwenda kutafuta PESA kwa hawa akina Kalumanzila, hakika sikukuta kile ambacho kama tangazo nililiona mahala Fulani na nikaenda kumuona...
  15. kiben10

    Ugoro unaharibu meno yangu

    Naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 ila ninapenda kula UGORO kwa takribani miaka 6 sasa toka niko A level Morogoro Sekondari, Chuo UDSM na sasa niko kitaa nawait ajira ila kila nikitaka kuacha kula Siwezi kabisa. Sasa nishaurini Dawa ya kuacha kula UGORO maana ndio STIMU yangu...
  16. kiben10

    Naomba ushauri juu ya TV nzuri kwa Gheto

    Ninahitaji kununua Tv nzuri kwa Gheto la kijanja, hapa Brands unahusika. Pia na Sony Home theater W300 so inaweza kukiki katika Tv ya aina gani? Ukubwa ninaohutaji ni inCh 40 mwisho 43 ila iwe smart pia. Ahsanteni naomba kupata ushauri wenu sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kiben10

    Naombeni ushauri kwa hili. Nimetuma pesa kwa Dada niliyejuana naye Instagram

    Mda mchache nimetoka kutuma M-pesa kwa mdada amabye tumejuana jana tu kwa Instagram, sasa nimemtumia kiasi cha pesa Tsh10k. Tangu asbh ya saa 10am sasa nashangaa kila baada ya saa 1hr yeye ananiambia kuwa anamalizia kazi. Me niko Morogoro yeye anasema yuko Kibaha. Sasa nishaurini nichukue hatua...
  18. kiben10

    Yeriko Nyerere Yu Wapi Leo?

    Hakuna asiejua ni nini kinaendelea huku Socioni, kupitia kwa social network kuanzia jana usiku majira wa saa mbili usiku hadi hivi leo ninapoandika ujumbe huu kuwa ari iyopo kwa baadhi ya watanzania tunaoitembelea mitando ya kijamii especially Twitter. Ni ajabu sana kuona matukio makubwa kama...
  19. kiben10

    Bring back our Currymastorytz!!

    24hrs sasa utata wa alipo mbeya wa social media haonekani na hizi taarifa ni rasmi sasa kutoka ndani ya familia ya mwanadada huyu maarufu mitandaoni especially wa Instagam kuwa hajaonekana tangu juzi usiku alipomsalimia mama yake kwa njia ya simu. Kuna taarifa za kutatanisha za alipo kwa saa 24...
  20. kiben10

    Natafuta mahali pa kupanga Mwanyamala kwa Kopa..!!

    Madali na wasio madalali naomba mnisaidie kunitafutia mahali pa kupanga hapa jiji Dar maeneo tajwa hapo juu. Bei iwe kuanzia 15-20 ila umeme uwepo pia... Mwenye kujua basi anifate PM nitaongea nae na kupata vzr, kwani maisha sasa yamekuwa tofauti sana na Ki Ben 10[emoji850]. Maeneo nimegoogle...
Back
Top Bottom