Search results

  1. ryana fan

    Anauliza dawa au ushauri

    Habari za Jioni wadau wa Jamii forum. Kuna jamaa angu leo kanitembelea kazini kwangu tukawa tunapiga story za hapa na pale. Jamaa angu akanibia aiseee siku hizi nawashwa mkundu hatari. Ikabidi nimuulize tena alichokisema? Manake nilishangaa kidogo. Akasema vile vile kuwa sikuizi anawashwa...
  2. ryana fan

    Jamaa yangu kala boga na ua lake

    Habari wana JamiiForums. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ninaye rafiki angu sana tumeshibana sana. Yeye ameao pande za Tanga. Binti wa kidigo mfupi kiasi, mzuri na anachoo cha kutosha. Sasa juzi kati kaja home, nilivyomtazama nilimuona mtu wa mawazo sana. Nikamuuliza JX vip mbona si kawaida...
  3. ryana fan

    Mkutano wa CHADEMA kufanyika wapi?

    Habari ndugu zangu. Baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Kama tunavyojua kuwa leo na kesho chama cha Mapinduzi CCM inapitisha Mgombea wao kupitia mkutano mkuu wa chama. Na mkutano huo wanafanyia ukumbini kwao. Vipi mkutano mkuu wa CHADEMA kitafanyikia wapi? Hotelini au...
  4. ryana fan

    Uchaguzi 2020 Ni Magufuli tena, Ni Samia tena T2020 JPM

    Habari zenu wakuu poleni na miangaiko ya huku na kule kutafuta chochote. Niende moja kwa moja kwenye Hoja. Kama ilivyokawaida na kanuni na taratibu bila kusahau katiba yetu inavyosema, baada ya miaka 5 ni uchaguzi mkuu nchini kwetu. Nimekaa na kuwaza na kutafakari kwa kina sana juu ya...
  5. ryana fan

    Hygiene kwa kina dada

    Habari zenu wakuu. Mara baada ya salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna Binti moja mzuri sana kiumbo na kisura lakini huyu binti amefuga kucha ana kucha ndefu kweli kweli mpaka sametimes anapofua namuonea huruma anavyoangaika. Sasa swali langu liko hivi, je anawezaje...
  6. ryana fan

    Namna ya kupendwa

    Habari zenu wakuu. Niende moja kwa moja kwenya Mada. Ili upendwe na mwanamke fanya haya kwa wakati husika. No 1. Mpe pesa No 2. Mpe pesa No 3. Mpe pesa No 4. Mpe pesa. No 5. Hata kama unaumwa na huko maututi mpe pesa No 6. Hata kama huna pesa wewe mpe pesa tu No 7. Mpatie pesa bila kujali una...
  7. ryana fan

    Nauliza kuhusu mahusiano ya wanawake wa Bongo Movie kutoolewa

    Habari za asubuhi wana JF? Baada ya salamu nijikite kwenye mada husika. Naombeni kuuliza pia kama wahusika wapo humu wanisaidie. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa ndugu zangu na si kwa ubaya bali kwa mema tu. Maswali niliyojiuliza yanahusu maswala ya ndoa na mapenzi ya dhati kati ya...
  8. ryana fan

    Misaada Yayeyuka Hewani Kabla ya Kufika nchini Kenya.

    Habari wanabody. Hii habari imenishtua kidogo. Kama ni kweli basi wankenya wapo juu mawinguni kwa wizi China yashtushwa baada ya kontena la msaada waliotoa kwa serikali ya Kenya kuwasili likiwa tupu Source: BBC Swahili
  9. ryana fan

    Je, Kama huna kadi hurusiwi kupiga kura?

    Habari wanafamilia ya jamii forum. Baada ya salamu niende kwenye Mada husika. Kama nilivyoanza kwa kuuliza Swali hapo juu. Nahitaji kujuzwa Kama ni kweli mtu yeyote hatorusiwa kupiga kura Kama hana kadi ya chama chochote Cha siasa au hajaandikwa kwenye kitabu/daftari la wanachama wa CCM au...
  10. ryana fan

    Msaada Tafadhali

    Nawasalimu.....!!! Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja mzuri sana imetokea kumpenda Sana. Kila nikimpiga simu naambiwa Subiri nitakutafuta baadae, lakini baadae sitafutwi ana maana gani? Naombeni ushauri aiseee
  11. ryana fan

    Nilichojifunza Nairobi-Kenya kwa siku 3

    Habari zenu wakuu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada bila ya kupoteza muda. Naomba niwaleteni kile nilichojifunza ama nilichokiona kwa majirani zetu Nairobi Kenya 1. Usafiri. Hapa nawapongeza Sana. Miundombinu ya barabara Ni nzuri na ya kuvutia. Barabara zao nyingi njia 4 adi 6 pia Ni high way...
  12. ryana fan

    Je, kuanzia Juni 1 bidhaa ya mikate itatumia vifungashio gani?

    Hivi mikate itafungashwa na kifungashio cha aina gani kuanzia June 1 2019. Nawasilisha
  13. ryana fan

    Nampenda Ila ananipiga

    Habari za asubuhi wakuu. Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi. " Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,nifanyeje?"
  14. ryana fan

    SMS za Kimahaba.

    Habari wakuu naamini mmeshinda salama baada ya mizunguko ya siku. Basi nisiwachoshe Sana niende Moja kwa Moja kwenye mada husika. Naomba mwenye sms za Kimahaba atupie hapa tuone anavyompa demu mstari. Hata wewe binti kama Kuna jamaa aliwahi kukutongonza naamini kabisa Bado unakumbuka hiyo...
  15. ryana fan

    Msaada Jamani, Imekaaje Hii?

    Kheri ya mwaka mpya wapendwa? Baada ya kuwatakieni kheri ya mwaka mpya nikimbie moja kwa moja kwenye mada husika. Mwaka Jana nilibahatika kupata binti mrembo kutoka Tanga. Na kuamini kuwa Tanga Kuna watoto wakali. Sasa mbinde imetokea juzi tukiwa kwenye six by six anataka nimkule Tigo bila...
  16. ryana fan

    YALIYOJIRI SIKUKU YA XMASS - 25/12/2018

    Habari wakuu. Naamini mmeamka salama ingawa wengine tumeamka na hang over ya sikukuu. Karibu tushare YALIYOJIRI Jana wakati unasherekea sikukuu ya XMASS. Binafsi nilikutana na haya...!!
  17. ryana fan

    Mnaosafiri kwa mabasi msitumie mabasi ya Luck Star ambayo boss wake pia ni wa mabasi ya Princess Muro

    Habari za asubuhi wakuu. Naamini mmeamka salama salimini. Baada ya salamu, naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Ndungu zangu mnaotegemea kusafiri kwa kipindi hichi Cha sikukuu za Xmass na mwaka mpya, chonde chonde msitumie mabasi ya Luck Star ambayo boss wake pia Ni mabasi ya Princess...
  18. ryana fan

    ZARAU MWIKO

    Igweeeee....wana Great thinkers.....!!! Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu. Ndugu, vijana wa kiume usiruhusu binti ama mwanamke akuzarau aisee utapata tabu Sana. Tena nasema utapata tabu Sana. Haizalishi una pesa ama huna pesa Tena Kama huna ndiyo inakuwa balaa...
  19. ryana fan

    MREJESHO: Mpangaji Jirani yangu wa Kike anaomba nimkopeshe pesa Sina mazaoea nae

    Naomba USHAURI Mpangaji Jirani yangu wa Kike anaomba nimkopeshe pesa Sina mazaoea nae..!! Habari wakuu. Naamini mpo salama salmini. Baada ya Salam niende moja kwa moja kwenya mada. Ipo ivi wiki chache zilizopita nileta bandiko hapa nikiomba ushauri Kama kichwa Cha habari kinavyoonesha hapo...
  20. ryana fan

    Naomba ushauri: Jirani mgeni wa kike ameomba nimkopeshe pesa, sina mazoea nae...

    Habarini wakuuu. Moja kwa moja kwenye mada bila ya kupoteza wakati. Ndugu wana great thinkers....naamini humu Kuna watu wenye mawazo tofauti tofauti. Nami nakuja kwenu nikiomba ushauri wenu wa Hali na Mali. Ninaishi kwenye nyumba ya kupanga. Nyumba ina wapangaji wanne lakini kila mmoja...
Back
Top Bottom