Search results

  1. N

    Natafuta nyumba ya kununua.

    Nyumba ya gorofa kwa ajili ya kuishi inahitajika. Iwe maeneo yasiyo na msongamano kama vile Mbezi beach, Tegeta, Boko, Kijichi, Bunju, Tabata na maeneo mengine yenye tabia kama hizo. Piga 0786 046 484 au email gmwiga@yahoo.com
  2. N

    Jipatie shamba lenye rasilimali za ziada

    Shamba lenye ukubwa wa ekari kumi linauzwa. Lipo km 6 kama ukitokea makabe, Morogoro Road au km 8 kupitia mbezi mwisho. Lina faida zifuatazo:- banda unaloweza kufugia ng'ombe, bonde zuri unaloweza kulima mpunga au mbogamboga, kuna minazi na miembe. Mauzo yatasimamiwa na Nsamy Real Estate and...
  3. N

    Jairo asimamishwa kazi

    Katibu mkuu ni mtu wa kuteuliwa, yupo hapo alipo kwa mapenzi ya president(a presidential appointee) hivyo anaweza kutimuliwa muda wowote na bosi wake au yeye mwenyewe kuwajibika kwa heshima ya bosi wake. Sheria ya kazi ina nafasi ndogo sana au haina kabisa kwa nafasi za kuteuliwa kama hizi...
  4. N

    Unataka huduma bora na nafuu za kuprint?

    Kwa huduma bora za kisasa na kwa bei nafuu, tunatoa huduma zote za kuprint kama vile kuprint tshirt, vitabu, kofia, magazeti, vijarida(magazine), banners, posters, vipeperushi, business cards, kalenda, bronchures na huduma nyingine zote za kuprint. Tuna mitambo ya kisasa kabisa ya digital...
Back
Top Bottom