Search results

  1. dattani

    Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Inaelekea huelewi historia ya huu mgogoro. Soma sana makala ya huu mgogoro na ukiuelewa ndio uje na option yako.
  2. dattani

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hawa US na UK ndio chanzo ya huu ugomvi: https://aje.io/8mqot4
  3. dattani

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Blood is blood regardless of israel or palestina. We are human beings and all have a right to live. Who the https://jamii.app/JFUserGuide are israelis to think Palestinians have no right to exist? I support Palestinians right to live freely in this world!
  4. dattani

    Uholanzi Yaipa Ukraine Ndege Chapa F-16 Kama Kisasi Cha Kulipiza Ndege Yake Ya Abiria Kulipuliwa Na Mawakala Wa Putin Na Kuua Abiria 196

    Duh Uholanzi haina airline yenye ndege chapa MH 17 ndugu, do your homework. MH ni ndege za Malaysian Airlines Uholanzi wa KLM, ndege zao husajiliwa kama KL
  5. dattani

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Africa defiant amid Western pressure to snub Moscow – diplomat Many leaders from the continent will travel to St. Petersburg for a landmark summit with Russia, Oleg Ozerov has said [https://mf] Russia-Africa Economic Forum participants in October, 2019. [emoji2398] Sputnik Western countries...
  6. dattani

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Anza sentensi yako The former Ukraine can feed........
  7. dattani

    Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    A: 1. Tab Fluconazole 150mg every 72hours x 3 doses, then 150mg weekly for 6months au 2.Tab Itraconazole 200mg twice daily x 3 days, then 200mg daily x 6 months. B: 1. Boric acid 600mg intravaginally daily for 3weeks au 2. Flucytosine 15.5% vagina cream daily x 2weeks au 3.Amphotericin B...
  8. dattani

    Kilimo cha parachichi ni njia rahisi ya kuufikia utajiri mkubwa

    Cheki na huyu mwamba yuko njombe, anaweza kukutumia miche kwa mabasi 0764575728
  9. dattani

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Gearbox VW POLO 2005 YEAR
  10. dattani

    Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Piga 0785718577 upate ufumbuzi wa vidonda vya tumbo
  11. dattani

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Nashauri 100m aweke kwenye akaunti ya UTT Amis, itakuwa inamlipa interest ya 1m kila mwezi ambayo ni sawa na mshahars wake. Aache kazi aendelee na kilimo
  12. dattani

    Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Hii mtaalamu aliniandikia kwa ajili ya shamba la ekari 30 njombe, haliko tambarare. Ila bado sijaweza kununua vifaa hadi sasa
  13. dattani

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says [https://mf] [emoji2398] [emoji2398] Ministry of Defense of the Russian Federation More than...
  14. dattani

    Here are Five Strongest Alcoholic drinks in the World

    KONYAGI GOLD ilikuwa 80% back in 1980s na Konyagi ya kawaida ilikuwa 64% by then ambayo kwa sasa ni 32%.
  15. dattani

    Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

    Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia...
  16. dattani

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yanini kutukana wanajamvi? Halafu "word" war ni vita ya maneno so hujaeleweka unachotaka kumaanisha!
Back
Top Bottom