Search results

  1. Jackson nyamhanga sambai

    Karanga 1300 jumla

    Natafuta mteja Wa kumtumia karanga nyeupe kwa bei ya Jumla 1300 per kg,mkoa wowote,maongezi zaidi WhatsApp 0789139153
  2. Jackson nyamhanga sambai

    Makadirio ya Kodi za magari na bajaji

    Naomba kujua malipo ya ushuru Wa vyombo vya moto unapoagizia kutoka China kuja Tanzania Mwenye udhoefu tafadhari tuambizane namba zangu za WhatsApp 0787701403 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jackson nyamhanga sambai

    Jinsi ya kutengeneza juisi

    Wadau habari za humu,naomba kujua ni nini huwa wanaweka kwenye juice inavyokuwa imetengenezwa hata ikae muda mrefu kama miezi hata mitatu miwili,idea yangu nataka kuanzisha kiwanda cha kupack juice original ya pachichi mixer na papai,sasa nahitaji kuweka kwenye Vifungashio ili niwe nasambaza,na...
  4. Jackson nyamhanga sambai

    Engine HP 40 zinatafutwa

    Habari wadau natafuta injini za kusagia Mahindi za uingereza au Japan HP 40 mwenye anayejua zilipo anielekeze,au anitumie meseji kupitia Namba +255789139153 WhatsApp Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Jackson nyamhanga sambai

    Madini yanatafuta mnunuzi

    Msaada wanajamii,haya ni aina gani ya madini na soko lake liko wapi,nimeweka picha hapo chini napatikana kwa WhatsApp 0787701403 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Jackson nyamhanga sambai

    Madini yanatafuta soko

    Wadau hii ni aina gani ya madini? Na soko lake kwa hapa Tanzania liko wapi,na bei yake ikoje msaada please nimeambatanisha na picha hapa chini,yana rangi ya dhambarau, My WhatsApp number 0787701403
  7. Jackson nyamhanga sambai

    Nahitaji mashine ya elevator

    Wapi naeza pata elevator machine kwa ajiri ya kupandishia mpunga kuweka kwenye kinu kama hii ya chini hapa, Anaejua aniinbox WhatsApp; 0789139159
  8. Jackson nyamhanga sambai

    Anaejua aina ya haya mawe aniambie wadau,na Soko lake liko wapi?

    Anaejua aina ya haya mawe aniambie wadau,na Soko lake liko wapi,jiwe lina rangi ya kijani
  9. Jackson nyamhanga sambai

    Nauza unga wa muhogo

    Nauza Unga Wa muhogo,bei ya kilo moja ya Unga Wa muhogo safi ni shilingi elfu moja tu,na umepakiwa katika Vifungashio Vya kilo tano tano kama inavyoonyesha picha hapo chini,tunatuma mikoani,namba zangu WhatsApp tu; +255789139153,hapo kwenye picha tatu kuna super sembe,super muhogo,na super rice...
  10. Jackson nyamhanga sambai

    Karanga kutoka Urambo bei 2500/kg

    Nauza karanga mkoani tunatuma,kwa aliyeko dar mzigo ukifika ndipo atalipia,kwa mikoa mingine tunatuma kwanza hela ndio tunakutumia ,WhatsApp;+255789139153
  11. Jackson nyamhanga sambai

    Karanga zinahitaji wanununuzi. Bei ni TZS 2500 @kg

    Nakaribisha wateja Wa kutoka mikoani ,kuwa nauza karanga kwa bei ya jumla kabixa kutoka Urambo tabora,kwa Mteja Wa dar tunamfikishia mzigo ndio anatoa hela,au akipenda analipa kabixa,mikoa mingine utatuma hela ndio tukutumie
  12. Jackson nyamhanga sambai

    Wapi napata Mashine za Nafaka

    Habari zenu wakuu,naomba mwenye kujua bei za mashine zifutazo anifahamishe na mahali zinakopayikana na za kumenya mpunga SB 30 SB 50 Bei yake kwa tz wadau WhatsApp no +255789139153
  13. Jackson nyamhanga sambai

    Natafuta wateja wa Mchele kutoka mpanda

    Natafuta Wateja wa dar-es-salaam na mwanza niwe nawatumia mchele kutoka Mpanda,kwa bei ya jumla nafuu kabixa, Namba zangu za simu ni WhatsApp +255789139153
  14. Jackson nyamhanga sambai

    Kuidhinisha Pori la akiba la burigi kuwa hifadhi ya taifa

    Tafadhari mwenye hii taarifa ya mh rais Dr. Magufuli kuidhinisha mapori ya akiba ya burigi/biharamulo,kimisi,ibanda rumanyika Kuwa hifadhi za taifa, atujuze make nimesikia kwa juujuuu
  15. Jackson nyamhanga sambai

    Natafuta soko la Dagaa wa kigoma

    Natafuta soko la kuuzia Dagaa wa kigoma
Back
Top Bottom