Search results

  1. B

    Serikali imepata mkopo mwingine wa dola milioni 300 kutoka Benki ya Dunia(WB)

    Tunasubiri sasa na ile shule wanayofundisha Ushoga ifungwe ili tujue kuwa Tanzania haiendekezi ushoga.
  2. B

    Tusio na kazi tukutane hapa

    Kilimo chenyewe mbona mazao bei chini pia. Na jukwaa litatusaidiaje kupata ajira au kujiajiri. kama kuna mtu ana ushuhuda wa kikundi kilichofanikiwa basi tufanye.
  3. B

    Mwita Waitara(NW Mteule - TAMISEMI) kivutio cha wengi wanaohama

    Nawasalimu tena, Haya mambo wakati mwingine huwa ni kwa neema tu za Mwenyezi Mungu. Leo tunaianza Jumapili kwa kumshukuru Mungu kwa ukuu wake upitao nguvu za kibinadamu. Ndugu yetu Mwita Waitara alikuwa Rais wetu pale UDSM miaka hiyo na amepambana katika maisha na leo, anakuwa Naibu Waziri...
  4. B

    Mungu anawaumbua, Mbowe safisha Chama mapema

    Mleta thread, FUNGUKA. Utakaa na stori halafu unakufa.
  5. B

    Ushauri: Korosho si nguvu za kijeshi, Ni somo la uchumi

    Nakumbuka wakati nalima mahindi mkoani Rukwa miaka hiyo, kuna jamaa walikuwa wanatubania sana katika bei. Kuna bwana mmoja akaamua kununua mahindi yetu kwa bei nzuri akahifadhi hadi bei ilipokuwa nzuri. Wale waliokataa kununua awali walipokuja kutulazimisha tulime na kuuza kwao, tuliwaeleza sisi...
  6. B

    Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

    Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani. Yetu macho!
  7. B

    FACTS: panga pangua ni wazi JPM kashindwa nchi imemuelemea na mambo hayaendi. Zile sifa sio za kweli uchumi unayumba

    DOSAMA, ninavyokumbuka mimi Mhe. Rais hajaanza kupanga na kupangua watumishi wa umma leo. Fuatilia teuzi, taarifa za kutengua na kuwabadilisha watumishi anaowateua. Hili kwake alishasema kitambo, sio jambo geni. 'Msirufahie kuteuliwa bali mchape kazi'. Alisema, akikuteua atakuondoa wakati...
  8. B

    Rais Magufuli akagua magari ya Jeshi yatakayobeba Korosho iwapo Wanunuzi hawatanunua

    GENTAMYCINE, kwa mtazamo wangu, sidhani kama ‘IKULU TANZANIA’ inatumiwa. Katika makala yako unamtaja ‘Mkurugenzi wa Habari Ikulu’, nikusahihishe kidogo, Ndugu Msigwa ni ‘Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais- Ikulu’. Nionavyo mimi, ‘clip’ unayoizungumzia na hotuba ya Mhe. Rais John Pombe Magufuli...
  9. B

    World Bank Operations in Tanzania Remain Sturdy Despite Kenyan False News Machinery

    Ulitaka Post zijae kama mia kila mwezi, au wewe huna kazi za kufanya unashinda kwenye blogs tu unadhani watu wote wako kama wewe. Acha ushamba ndugu yangu.
  10. B

    Utunzaji na Uhifadhi Endelevu wa Mazingira na Maliasili Tanzania

    ”Badala yake Halmashauri zimekuwa zikiripoti na kutoa taarifa ya upandaji wa miti kadhaa lakini unapozunguka kwenye Halmashauri kutaka kujua hiyo miti.. haipo!” Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Sio siri huyu mama huwa namu-admire sana. ni mchapa kazi sana na ana busara sana
  11. B

    World Bank Operations in Tanzania Remain Sturdy Despite Kenyan False News Machinery

    Kama unaliweza mkuu basi shauri serikali, mbona kama unajibu kwa jazba
  12. B

    World Bank Operations in Tanzania Remain Sturdy Despite Kenyan False News Machinery

    November 09, 2018 Staff Writers, Africa Analysis, New York A senior economist within the World Bank system has clarified that the Bank's travel advisory note to its members composing a mission that was supposed to visit Tanzania this time around pending “security assessment” is a normal...
  13. B

    Tanzania: Wanaharakati wa kulinda wanahabari (CPJ) wakamatwa na kuhojiwa, waachiwa!

    Mbona wanasema wamerudishwa, sasa tumuamini na kumuelewa nani?
  14. B

    Moose Test (Ukitaka kujua stability ya gari kwenye kona za ghafla)

    The evasive maneuver test is performed to determine how well a certain vehicle evades a suddenly appearing obstacle. This test has been standardized in ISO 3888-2. Forms of the test have been performed in Sweden since the 1970s.[1] The colloquial and internationally better-known name for the...
Back
Top Bottom