Search results

  1. KIPUMPUSWA

    Wakacha sherehe ya kuapishwa kenyata

    bata kwa sana south.
  2. KIPUMPUSWA

    Hivi wewe ungekuwa ndugu wa mume wa mwanamke huyu ungejisikiaje

    Mumewe anaendelea kutumikia kifungo, yeye kalipiwa faini anafanya sherehe.
  3. KIPUMPUSWA

    Msanii mtuhumiwa anapozuru kaburi la msanii

    hii imeekaje wandugu. mama na mtoto kama mzaha flani.
  4. KIPUMPUSWA

    Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    mwanamuziki Kabeya Badu amefariki leo. Chanzo cha habari TBC fm
  5. KIPUMPUSWA

    Guest bubu mbagala zhakeem

    kwa mazingira haya cjui starehe inatoka wapi.
  6. KIPUMPUSWA

    Mhii hii namba ya gari

    huyu mwenye gari hii anaweza kuwa upinzani. kama ungelikuwa wewe ungefanyaje?
  7. KIPUMPUSWA

    Picha: Jk katika maziko ya baba mzazi wa mu7

    pata habari kwa picha, jk akishiriki maziko ya baba mzazi wa m7.
  8. KIPUMPUSWA

    Maumivu ya kifua,harufu mbaya mdomonina mafua kutoka kwa mbali

    Naomba msaada wa matibabu kwani ilianza maumivu ya kifua na nilishawahii kutumia antibiotics capsules za aina tofauti bila mafanikio, kuna wakati makohozi yalikuwa na chembechembe nyeusi, suviti sigara. baadae nikaanza kuhisi harufu mbaya mdomoni, hali ipo mpaka leo, makohozi bado napata na...
  9. KIPUMPUSWA

    Baada ya vikao vya cc na nec jk anatuongoza kwa vitendo

    Mkuu wa nchii anaongoza kwa vitendo.
  10. KIPUMPUSWA

    Huyu rais sata kiboko, museveni anapewa uenyekiti kwa mkono wa kushoto

    Au ni kwa kuwa anajua mu7 hakuchaguliwa kidemokrasia na waganda.
  11. KIPUMPUSWA

    Mnada unaendelea

    Hivi hawa wanyama wetu wamewakosea nini viongozi wetu? kila kukicha wanawanadi kwa wageni.
  12. KIPUMPUSWA

    Wanyama walio sokoni ni hawa wewe tu

    Kuwapitishia kia haiwezekani kwani wadanganyika walishastuka.Ni juu yako utatumia usafiri na njia gani.
  13. KIPUMPUSWA

    Gamba nguli

    Alishawahi kuonja siasa za maji taka a.k.a siasa uchwara. ila ni gamba linalojua kuupimia upepo unakoelekea.
  14. KIPUMPUSWA

    Cheo kikubwa kazi zake ndio kama hizi.

    Makamu wetu wa raisi akiwa katika moja ya majukumu mazito ya kulijenga taifa hili changa.
  15. KIPUMPUSWA

    Dogo anapata fresh from the oven

    Full maprotini kwa dogo.
  16. KIPUMPUSWA

    Tabora: Ni lazima uandamane vinginevyo hatua kali za nidhamu zitachukuluwa dhidi yako

    Ofisi ya mkuu wa mkoa tabora imesambaza waraka ukiwaelekeza wafanyakazi wote mkoani hapa kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika. Waraka huu unasambazwa na kikundi cha watu wasiopungua 8 pia wanajeshi wapo. Wanapofika ofisi, mkuu wa ofisi anatakiwa ataje idadi...
  17. KIPUMPUSWA

    Polisi traffic Tabora bado wanaomba rushwa

    Pamoja na bajeti ya kambi rasmi ya upinzani bungeni ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi kulitaja jeshi la polisi kuwa ndio taasisi inayoongoza kwa kuomba na kupokea rushwa na changamoto mbalimbali zilizojitokeza wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo, jana majira ya saa kumi na mbili jioni...
Back
Top Bottom