Search results

  1. kapongoliso

    RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

    RRRR Slogans zimekuwa falsafa ghafla
  2. kapongoliso

    Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Kwa kweli inasikitisha, badala ya kutengeneza mfumo wetu wa kujitegemea tunajipeleka kwa waarabu. Haeajawahi kuwa watu wazuri kwetu tangu enzi za biashara ya utumwa. Self reliance ya JKNyerere Iko wapi sasa?
  3. kapongoliso

    Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Hii ni ishara ya kukosa cha kufanya. Yaani wamekusanyana ikulu kutiliana Saini mikataba ya umeme hewa. Hii miradi ya umeme ni upigaji, ufisadi na uchawa tu. Nyie hamkuwahi kutudanganya eti vijiji vyote vimebarikiwa na umeme wa REA. Kule wilayani Mbinga karibu vijiji vyote havijafikiwa na...
  4. kapongoliso

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Hii nchi idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi kubwa sana. Kweli vyombo well trained kwa Kodi zetu wameshindwa kukamata waliompiga risasi Lisu? Instead narrative ya dereva kumpiga Lissu inakuwa celebrated? Narrative ya kushindwa kupeleleza sababu Lisu hayupo nchini inakuwa ndio Hoka? Hebu tuwe...
  5. kapongoliso

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Ni kweli wanaodhani dereva alimpiga risasi Lisu ni wajinga tena kwa kiwango cha lami. Dereva angetaka kumwua Lisu asingesubiri aende pale Area D na ampige risasi pale. Katika akili za kawaida maana yeye anaye muda mwingi anamwendesha angeweza ku-fake accident, etc.
  6. kapongoliso

    Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Shida tuliyo nayo watanzania ni kusadiki source of knowledge ni authority, Kwa vile rais ana mapolisi na mavyombo mengine ya mabavu anayoyatumia kuhakikisha utopolo wake uonekane ni absolute knowledge. Kama ni mjinga utaendelea na ujinga wako mpaka utakapojitambua kuwa unapaswa kujielimisha ili...
  7. kapongoliso

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    We are too naive. Wameambiwa kama the investigation is beyond their ability, they should ask for assistance for well qualified firms like Scotland yard, CIA, Mosac etc. The story should be cut short
  8. kapongoliso

    Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kesi ya mchongo, majaji wa mchongo, mashaidi wa mchongo, magaidi wa mchongo, mashabiki wa mchongo, judgement ya mchongo
  9. kapongoliso

    Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Unafiki ndio adui mkubwa wa Taifa la Tanzania, hususan wanasiasa ambao wamewaambukiza wanataaluma sasa
  10. kapongoliso

    Serikali inaendelea kufanya ubaguzi kwenye ajira. Kama una div 1&2 au bachelor degree jua upo kwenye risk ya kutoajiriwa

    You need not regret kazi utapata tena yenye heshima kulingana na taaluma yako. Achana na upolisi kazi ambayo aina heshima mtaani. Ujue polisi wote wakisoma sana nani atalinda Benki na majumba ya ma- DC, RC, Waziri, na waheshimiwa waliofeli pia form four na six
  11. kapongoliso

    Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Very stupid hypothetical question. Ask a sensible question
  12. kapongoliso

    Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

    Shida ya kazi za kiroboti bila kutumia akili yako ndio hiyo ya kuachwa in the wilderness na mwendazake anapoondoka. Bora anapozimika ghafla wasiojulikana wake aondoke nao. Maana sasa wanaachwa wakiangaika kama vifaranga bila mama kuku.
  13. kapongoliso

    Mahakama yaamuru baadhi ya mali za Ngurdoto Hoteli kupigwa mnada ili kulipa mishahara ya waliokuwa Wafanyakazi wa hoteli hiyo

    Hiyo ndivyo inaitwa miradi ya kimkakati. Tanzania tuna maneno mazito mazito but high sounding nothing
  14. kapongoliso

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    Watu wabaya kweli eti wakambeep ziraeli naye akaenda hewani. Agenda closed successfully. Mungu hadhiakiwi
  15. kapongoliso

    Je, CCM hakina mawasiliano? Sanga anasema hivi na anashangiliwa, Polepole naye anakanusha na anashangiliwa. Tushike lipi?

    Wanafikiri watanzania milioni 60 ni wajinga, wanachotafuta watakipata safari hii. Santa, msukuma, lusinde wanatumia na wao Babati mbaya hawajitambui
  16. kapongoliso

    Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

    Mitano nyuma yaani tunarudi kusadikika miaka mitano nyuma
  17. kapongoliso

    Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

    Kule Mtwara walitaka kumhadhibu Ghasia kwa sababu ya koroshow, wakatoa maelekezo kwa tume imtangaze wa CUF, na kule Nkasi walitaka kumhadhibu Kessy sababu anajifanya muongeaji asiye na mipaka, tume ikaelekezwa apigwe chini. Amefanikiwa kuua upinzani bungeni lakini mioyoni ndio kachokoza nyuki...
  18. kapongoliso

    The English of President Magufuli of Tanzania

    Magufuli should learn to communicate in English. Nothing more nothing less
Back
Top Bottom