Search results

  1. Bacardi

    Chokaa ya Kutengeneza chaki.

    Nenda singida inapatikana kwa mwingi.
  2. Bacardi

    Tanzania yajitoa katika mpango wa Visa ya pamoja Afrika Mashariki

    safi sana tz, unajua huu ushrikiano mara nyigi ni shida, kama hautatazamwa kwa umakini,tazama yaliotokea uingereza, waligundua ilikua inakula kwao kila kukicha.
  3. Bacardi

    Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

    jembe jembe, nakutakia kila la heri.
  4. Bacardi

    Serikali yatoa Bei mpya elekezi ya sukari, yafikia 2,200 kutoka 1,800

    Mambo Ni yale yale.kwaanae kumbuka vizuri speech ya kwanza kabisa ya jk iaweke hapa kwa maslai yetu sote,kama nakumbuka vizuri ilikua hivi, napenda mtumie muda wenu mwingi kufikiria jinsi gani Umeme utashuka bei.,badala ya kutumia muda wenu mwingi kufikiria njinsi gani utapanda bei,my feisty...
  5. Bacardi

    Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

    Leo nimepata jibu kuu.,mungu aliposema na tuumbe mtu kwa mfano wetu/ wangu. Nisahii ha kuwa Pekee?
  6. Bacardi

    Uendeshaji wa TAZARA sasa wakabidhiwa kwa Mchina

    Mambo niyaleyale Ccm ni ileile,enyi wantanganyika ni Nani iliyewaloga mkasahau hata jinsia zenu? Mkijiita watanzania?wenye kijijua wanajiita wazanzibar nyinyi watanzania wawapi?amen nawaambia cku mtakapo jitambua ndipo mtapata maedeleo ya kweli.
  7. Bacardi

    Ufisadi kupitia zabuni za NSSF: Dr. Dau na genge lake wawajibishwe!

    Watanzania tutaabika sana, kila mchapa kazi anapakwa tope,hata hampimi faida-hasara?kwa mtindo huu hatutafika kamwe.Dr kapaisha nssf hamuoni?hata akilijilipa still amefanya kazi nzuri sana.
  8. Bacardi

    Wizi wa wanyama kutumia ndege ya kijeshi: Hili ni suala la Rais kutueleza kilichojiri

    Kiongozi,hili suala lisiwaumize kichwa sana nchi hii ishauzwa. Hii issue ilisukwa na wakubwa wote wanahusika including viongozi wa vyama vya upinzani wanajua na walihusika kwa asilimia zote. Hivi hamuoni kwamba pamoja na ufukunyuaji maovu wote unaofanywa na chadema hawajawahi kulivalia njuga...
  9. Bacardi

    Nimeibiwa iphone4

    asante,nipe mbinu basi ya kuipata
  10. Bacardi

    Nimeibiwa iphone4

    Wakuu naombeni msaada wa jinsi ya kutrack iphone yangu imeibiwa lisaa limoja lililopita,tayari haipatikani.mwenye kujua tafadhali naomba anisaidie
  11. Bacardi

    This is why all mama mean nothing to some people!

    Pole i can only imagine ua pain
  12. Bacardi

    Wabongo Bana.

    Kwani ndo ushamaliza kusema ulichokusudia?
  13. Bacardi

    Nawapenda woooooote, nawatakia Eid njema

    Asante na we pia
  14. Bacardi

    mimi sijaoa......

    Sasa ka hutaki kuoa hamu ya kuoa unaitakia nini?
  15. Bacardi

    Nahitaji gari ya kukodi ya kuzolea takataka

    Mtaa gani? Kama ni uku kwetu naeza anza kuchangia kwa mpesa now now
  16. Bacardi

    Bora niwe mpweke

    Pole jipe muda utapoa na all wil be well. Fuata ushauri wa wengi hapa na hasa alichokisema EMT
  17. Bacardi

    Starehe 3 kuu...

    Jf,twitter na facebook
  18. Bacardi

    Hajui kuhesabu siku zake

    Experience inamata sana kwenye ilo.alikuwa mtoto and very faithful so hakuwa na haja ya kuzijua coz hakuwa na hofu yoyote. Mpe muda ataelewa tu, kwa sasa beba wewe ilo jukumu coz u seem to be good in it, usimfanye ajione mjinga utamstress bure.
  19. Bacardi

    Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

    Iyo intelijensia siku zote ingekuwa ivo safi sana
  20. Bacardi

    Blood test!

    Doctor anapenda kunyonya
Back
Top Bottom