Search results

  1. Nyankuru Wankuru

    Mwita Waitara awatolea uvivu wanaoihujumu CCM

    Na Amiri kilagalila-Njombe Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mwita waitara amewaonya wanaccm wanaoendelea kukihujumu chama cha mapinduzi angali bado ni wanachama huku wakijua hawakitendei haki chama hicho. Waitara akiwa mkoani Njombe amesikitishwa na...
  2. Nyankuru Wankuru

    Una maoni na ushauri gani juu ya kuapishwa kwa akina bashe na simbachawene

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 22 Julai, 2019 amemuapisha Mhe. George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mhe. Hussein Mohamed Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo. Hafla ya kuapishwa kwa...
  3. Nyankuru Wankuru

    Kiongozi yeyote ulioko madarakani usiombe uandikwe vibaya jamii forum

    Wakuu kwa facts nyingi nilizopitia humu nimegundua ya kwamba viongozi wengi wa Serikali waliotumbuliwa mijadala yao na maonyo mengi juu ya mambo mabaya yalianzia humu jamiiforum. Ukiangalia akina mwigulu, Charlesz, nape, kitwanga na wengine wengi. Ambao bado sijaona mijadala yao inayowahusu...
  4. Nyankuru Wankuru

    Naomba kufahamu bei ya vifaa vifuatavyo kwa musoma mjini

    1.Bomba inch 4 mita 6na mfuniko wake 2.Bomba ya bafu inch 2 na chujio yake mita 3, 3.Sink 1 4.Elibo moja 5.Nondo milimita 12 6.Waya mesh 7.Binding wire kilo 1 8. Misumari inchi 2 na nusu kilo moja 9. Cement mfuko mmoja Tafadhali mwenye kujua bei ya vifaa hivyo anisaidie kwa walioko...
  5. Nyankuru Wankuru

    Leo siku ya tatu tunahakikiwa vyeti ili kujiunga na JKT

    Hapa singida leo ni siku ya tatu tunahakikiwa vyeti mara baada ya tapeli kuvuruga zoezi lililokuwa likifuata, tapeli kumbe alishapenyeza watu wake wengi sana . kakamatwa juzi na wana usalama na kupewa kipigo. Kwa hiyo zoezi la uhakiki limeanza upya, vijana wengi wametoroka wasije kukutwa na...
  6. Nyankuru Wankuru

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuweni serious kwa kweli.

    Yaani hiyo request for loan statement yenu mliyoweka kwenye tovuti yenu hivi mnajua kama iko active? Au mmeweka ili mradi eti mmeonesha ubunifu wenu?. Yaani mtu unaandika details zote zinazohitajika unakaa kusubiria ulichoomba hakiji. Mnamwambia mtu aandike chuo alichosoma, je akiandika jina...
  7. Nyankuru Wankuru

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ichunguzwe na vyombo vya ulinzi na usalama

    Wadau bodi ya mikopo elimu ya juu ichunguzwe kwa kuwafisadi wanufaika . Hebu someni hapa. Kuna mdogo wangu amesoma Urusi medicine. Amefika hapo Tanzania na deni la milioni 52 yaani hiyo ni Principal tu baada ya kupata kazi katika moja ya Hospital kubwa hapo Dar ya Private, mwajiri wake...
  8. Nyankuru Wankuru

    Miraji Mtaturu ateuliwa ateuliwa kuwa mgombea wa jimbo la Singida Mashariki kupitia CCM

    Huyu jamaa tulijua tu atakuwa mbunge . Kila la heri miraji mtaturu. Mh. Naomba umteue prof lipumba kuwa mkuu wa wilaya ya ikungi. ==== CCM yampitisha Mtaturu kugombea jimbo la Tundu Lissu… Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu kuwa mgombea...
  9. Nyankuru Wankuru

    Waume za watu shetani anawatafuta sanaa

    Wadada wa siku hivi ni kwa nini mnapenda Ku do na wanaume za watu? Yaani ukimtongoza sholi utasikia anakuuliza kwani wewe umeoa?. Ukisema ndio, utasikia sholi anasema safi sana , afadhali nimepata mtu wa maana. Tena ukiwa Mme wa mtu wewe huongei maneno mengi ,nikuvuta mzigo ndani fasta. Wame...
  10. Nyankuru Wankuru

    Lissu tunakushauri usirudi Tanzania ufikapo September, 2019

    Jali maisha yako na familia yako kwanza, wewe ni msomi tena mwenye uwezo na kisomo cha hali ya juu sana kwenye masuala ya sheria. Tafuta huko ulaya kazi yeyote ile ufanye. Huku jimbo lako tiari limeshachukuliwa na miraji na wananchi wanaonekana kumpenda miraji sana Hiyo September utakuja...
  11. Nyankuru Wankuru

    Miraji Mtaturu Mkuu wa Wilaya ya Ikungi aibuka Bingwa kwenye kura za maoni katika kuwania jimbo la Tundu Lissu kupitia CCM

    Matokeo ya kura za maoni CCM Jimbo la Singida Mashariki Ndg Miraji Mtaturu ameshinda kwa kura 396 sawa na ushindi wa 66% kati ya kura 634 huku wagombea wengine 12 wakigawana kura zilizosalia. === Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Miraji Mtaturu ameshinda kura za maoni kwa tiketi ya...
  12. Nyankuru Wankuru

    Baba wa Taifa, wenzako wanajali kwao sana

    Baba wa taifa ulikuwa mtu wa Mungu kweli kweli, hukupenda kujijali bali uliwajali wengine, hukujipendelea bali ulitaka wengine wapate sawa na wewe. Njoo ushuhudie wenzako wanavyojijali na kujipenda . Hongera kwa kutuachia misingi mizuri na ndio viongozi wetu wanaifuta. Na sasa tunashukuru...
  13. Nyankuru Wankuru

    Naomba kujua sheria gani itakayomwezesha mtu kuendesha mnada wa hadhara.

    Wakuu habari ? Naomba kujua sheria ipi inayowezesha mtu kuendesha mnada wa hadhara . Tangazo linatakiwa la mnada litolewe kwa muda gani ? Naamini humu kuna watalaam watanisaidia
  14. Nyankuru Wankuru

    Harakati za kumchafua Miraji Mtaturu anayetaka kugombea ubunge kwenye jimbo la Singida Mashariki na ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi zimeanza

    Jana kulitolewa majina ya watia nia ya kugombea jimbo la singida mashariki na mmoja wa hao watia nia ni miraji mtaturu mkuu wa wilaya ya ikungi. Sasa someni hapa chini muone jamaa walivyoonza figisu figisu za kumchafua .............................................. Nawasalimu sana wanandugu...
  15. Nyankuru Wankuru

    Wagombea waliochukua fomu ya ubunge jimbo la Singida Mashariki

    WAGOMBEA WALIOCHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI LEO TAREHE 08/07/2019 (1) MWANAHAMISI O.MUNJORI (2) MORICE. P. MKHOTYA (3) CHIKU A.GALAWA (4) SHILINDE KULWA KASULE (5) JEREMIA M.IHONDE (6) LAZARO M.MSARU (7) HAMISI A.MAULIDI (8) MARIAMU ALU NKUMBI (9) MARTIN...
  16. Nyankuru Wankuru

    Nimeota usiku kuwa wagombea ubunge kwenye jimbo la TL kwa upande wa chadema wamepigwa chini kwa kukosa sifa

    Wakuu habari zenyu? Leo usiku nikiwa nimelala nikajikuta naota kuwa mgombea ubunge kwenye jimbo la TL kupitia chadema kapigwa chini na tume baada ya kuambiwa kakoswa sifa za kugombea, mara nikaona mgombea anasema kuwa tutaenda mahakamani ili haki ipatikane, haiwezekani mtu nimejaza form zote...
  17. Nyankuru Wankuru

    Wana wa Musoma tunamuhitaji Nimrod Mkono popote alipo aje aseme nasi

    NIMROD MKONO ni Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini aliyechaguliwa mwaka 2015. Hajawahi kuonekana Bungeni tangu mwaka 2016 mwaka mmoja kabla ya Mhe. Tundu Lissu kupigwa risasi. Lakini yeye analipwa mshahara wake wote na hatujawahi kusikia taarifa yake yoyote huko Bungeni ikiwekwa wazi. Taarifa...
  18. Nyankuru Wankuru

    Waziri Ummy aagiza mikoa kudhibiti Mbu

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka waganga wakuu wa mikoa kuchukua hatua za makusudi kuzuia mbu waambukizao homa ya dengue na kusisitiza mikoa iliyo mpakani kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa ebola. Waziri Mwalimu ameagiza hayo jana jijini Dodoma...
  19. Nyankuru Wankuru

    Wateule wa Rais acheni kudharau kazi wanazofanya wanakitengo

    Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya wateule wa rais kudharau kazi zinazofanywa na watumishi wa kada mbalimbali mkoani kwake Yaani unakuta mkuu wa mkoa yupo kwenye kikao na watumishi wa mkoa wake anaanza kuzungumzia na kudharau kazi zinazofanywa na watumishi ndani ya mkoa wake Acheni watumishi...
  20. Nyankuru Wankuru

    Hata ukiwa na cheo kikubwa utakufa tu hakuna haja ya kubabaishana eti kisa vyeo

    Tundu lissu usitetekeleke hata kidogo, ubunge au cheo sio uhai, cha msingi uhai kwanza. Kuna watu wanajidai sana hapa duniani ,wanajiona wao ndio wao eti haipo siku wataacha hayo mavyeo yao. Tundu lissu nakutabiria utapata kazi nzuri huko umoja wa mataifa.
Back
Top Bottom