Search results

  1. J

    Waandishi wa habari wa Mwanza ndani ya mfuko wa mzee Juma Farijala

    Waandishi wa Mwanza wameweka maadili mfukoni. Wanaauza weledi na utu wao kwa bei ya aibu. Mzee Juma Falijara ndie mnunuzi mkubwa. Anajiita Mshauri Na. 5 wa Maadaili wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Mzee huyu hataki kuona Serikali ya CCM ikikosolewa. Kumkosoa Rais hataki kabisa. Waandishi...
  2. J

    Zitto, Habibu Mchange hana sifa za Kukunadi

    Na. Martin M. Malima Tangazo la Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe la kugombea Urais kama atapitishwa na Chama chake cha Chadema linaripotiwa na vyombo vya habari kuzua tafrani ndani ya Chadema. Binafsi sina hakika na uwepo wa tafrani hii ndani ya Chadema kwani naamini Chadema...
  3. J

    Philipo Agustino Mulugo ndie Amimu Agustino?

    Mhe. Mulugo, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisoma High School Songea Boys kuanzia mwaka 1994-1996. Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Songea Boys kipindi hicho anasema kuwa Philipo Mulugo wa sasa sio yule aliyekuwa Songea Boys kipindi hicho. Mtoa habari...
  4. J

    Kifo cha Sumari: Kamanda Nasari piga jaramba

    Tumwombee mbunge mteule wa Arumeru Mshariki Jeremiah Sumari apimzike kwa amani... Ukweli ni kwamba baada ya kifo chake lazima kiti kizibwe.. Kamnda JOSHUA SAMWELI NASARI anaweza kujipanga kutimiza ahadi yake. Agali matokeo ya NEC mwaka 2010. ARUSHA...
  5. J

    Hizi ndizo kura alizopata Mhe. Regia Mtema alipogombea Ubunge Morogoro 2010

    MOROGORO WILAYA YA KILOMBERO KILOMBERO Candidate Political Party...
  6. J

    Taadhari: Dawa hizi ni hatari

    TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI YA UWEPO WA DAWA BANDIA KWENYE SOKO 1. Utangulizi Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Na.1 ya mwaka 2003. Mamlaka ina...
  7. J

    Matokeo ya uchunguzi wa samaki toka Japan yaonyesha hawana mionzi

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA SAMAKI WALIOINGIZWA NCHINI KUTOKA JAPAN 1. Utangulizi Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 24 Julai 2011, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilitoa taarifa kwa umma juu ya samaki waliohisiwa kuchafuliwa na mionzi ya nyuklia kuingizwa nchini Tanzania...
  8. J

    Hamad rashid alikuwa msaliti kweli?

    Gazeti moja la kila siku liliwahi kuandika kuwa moja ya sababu zilizopelekea kumwengua Mhe. Hamdi Rashidi kwenye nafasi yake ya kuwa Kiongozi wa wabunge wa CUF bungeni ni ukaribu wake na Mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Gazti hilo lilikwenda mbali na kusema kuwa Mhe. Hamad Rashidi alifikia hatua...
  9. J

    Kamanda mnyika kazi tulikutuma unaifanya vyema

    Tulianza pamoja, na tutamaliza pamoja. Nakumbuka wakati tunafanya sherehe ya kujipongeza kwa ushindi wa Jimbo la ubungo, tulimwambie kamanda huyu kuwa tunakutuma bungeni ukawe mbunge wa mfano ambaye kamwe hutokuja kujiinua na kujiona kuwa ni maarufu kuliko CHADEMA ka mawabunge wengine vijana...
  10. J

    Wabunge wa NCCR-Mageuzi wajipanga kumng'oa Mbatia

    Kulikuwahi kuvuma tetesi kuwa kuna mpango wa kumng'oa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti NCCR-Mageuzi. Katika mpango huo baadhi ya mbunge/ wabunge kutoka KIGOMA ana/wanahusika. Wana JF mpango ulifikia wapi?
Back
Top Bottom