Search results

  1. Kuhara

    Member waliopotea JF

    Kuhara
  2. Kuhara

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Aiseee [emoji13][emoji13] Trako swafi
  3. Kuhara

    Naomba kufahamu kuhusu ARV

    Mgonjwa akitumia ARV kuanzia miezi mitatu inasemekana Hawezi tena kuambukiza kwenda kwa mwingine na hii inatokana na ARV kufubaza Virusu vya Ukimwi(VVU) na ndio Maana Cd4(Kinga ya Mwili) inaonekana Kupanda Over.
  4. Kuhara

    Mapenzi yana run dunia

    Mapenzi yanaweza Kukuumiza na Usifahamu Wapi panauma.
  5. Kuhara

    Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

    Papaa Masai Yule alifanya vizuri na Nyimbo ya Ng'aring'ari akimshirikisha Alikiba. Uyu jamaa nilikutana nae pale Chochoro za Temeke kwa Wahaya akiwa speed sana.
  6. Kuhara

    Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    Natumia chips dume pekee
  7. Kuhara

    Wafanyakazi wa NSSF Mtwara huchukua namba za wateja na kuwaomba rushwa

    Ilo si dhumuni la kuleta hapa taharifa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kuhara

    Wafanyakazi wa NSSF Mtwara huchukua namba za wateja na kuwaomba rushwa

    Habari na kheri ya mwaka Mpya JF japo stress zimetawala. Naomba kwenda katika point direct, NSSF Mtwara kuna wahudumu wachache huwa wanaenda Mapokezi na kupiga Picha Namba za simu za wateja walioingia pale hiyo Siku katika kitabu cha wageni na kisha kuwapigia huku wakinukuu personal information...
  9. Kuhara

    NIDA Tafadhari.

    Sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kuhara

    NIDA Tafadhari.

    NIDA Kuna Jambo linaendelea katika simu za Wananchi ambao Hawajasajiliwa na hata kujiandikisha ili Wapate Namba Ya Uraia Wa Tanzania, Nalo ni Wanapokea Ujumbe Wenye namba za Uraia tokea NIDA na wanafurahia kufikiria Mumeamua kuzigawa kwa Mtindo huo Pasipo jiandikisha ama lah na Mwisho wa siku...
  11. Kuhara

    Jinsi ya kumpata mpenzi wako wa zamani

    Unatuletea story za Ngoswe Mkuu kutaja majina yake matatu umeshindwa kwani ingewezesha kupitia ilo jina la tatu zoezi kua jepesi By kuhara Over.
  12. Kuhara

    Window Period for HIV

    Habari za saa hii hapa JF, Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine...
  13. Kuhara

    Mwanangu huwa anasumbuliwa sana na tumbo wakati hali ya hewa inapo badilika mawingu yanapo funga

    Nenda kituo cha Afya umuone daktari atamtazama na mtoto then atakupatia tiba au ushaur sahh huku mgonjwa kamshuhudia, Pia usiwaze sana hayo n mambo yakawahda pnd tupo watoto ktk Harakat za kuelekea Ukubwani.
  14. Kuhara

    Mashaurini huyu Mwanamke

    Tulizana Ndugu, Kiufupi tu hapo sio sehemu Sahh kwako kimwili mpaka ki afya, Anakushauri vipi utoe mimba huku n mumeo pasipokua na strong point? Unafaham nini kifuatacho baada ya kutoa mimba ktk Mji wako wa Uzazi? Jiurumie tulizana pingana na tamaa zako wako wanaokupenda na kuitambua thaman...
  15. Kuhara

    Nina 80,000/Tshillings sina wazo,je nifanye biashara gani

    Ni vema ukawa msimamizi na muendeshaji mwenyewe hapa mwanzo, biashara za vyakula vkilala shda.
  16. Kuhara

    Nina 80,000/Tshillings sina wazo,je nifanye biashara gani

    Mkuu nunua Marapa(Viatu) tokea dsm then enenda nayo mkoani inalipa sanaa, Tumia lak 4 kwanza nyngne weka hakiba. Au chukua spray then enenda nazo mkoan pia pitia pitia karibu na vyuo au shule zle sku za wk end amini utakua bingwa.
Back
Top Bottom