Search results

  1. H

    Ushamba wa PhDs na hatma ya Tanzania

    Unaongelea hz PhD bongo movie au!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    Bobi Wine Akamatwa Tena Muda Mfupi Baada ya Kuondolewa Mashtaka

    Hata huko ataachiwa tu waganda sio watu WA mchezomchezo..M7 mwenyewe kagwaya mtaani vijana wamemuwashia moto hii filamu ni tamu na ni into kwa madicteta wote. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Kata 4 za Mbeya Mjini wasimamizi wa uchaguzi wagoma kupokea fomu za wagombea katika kata 3

    Watu watachoka tu iko Sikh hawatakubali kuonewa tena.Nakumbuka nikiwa mtoto nilikuwa nasumbuliwa na sicklecell so nilikuwa dhaifu,kuna kijana mmoja jirani yangu alikuwa akinipiga kila aliponiona akiamini mm ni mnyonge wake,kunasiku nilichoka nikamtolea uvivu ,nilichuchukuwa gunzi la mhindi...
  4. H

    Anaandika Absalom Kibanda

    Dicteta mwenzie katikiswa kaufyta M7..huyu ni muoga sana wala sio jasiri kma unavyodhani time will tell Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Mkurugenzi wa Wilaya ya Korogwe

    Mheshimiwa Chenge pia alisoma Harvard. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    MOSHI : Polisi Line wanaishi gizani kwa kukosa umeme mwezi mzima sasa kwa deni la 1 Bilion

    Tunasikia kilasiku wamekamata magari na wamepata mabilioni,walipe tu mtaani mnatunyanyasa kumbe hata uwezo wakulipa bili ya umeme hawana...Walipe tu,Malipo hapahapa duniani,nasubiria biliani la mbuzi umeme uko full karibuni wana jf Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    Nimepata mgeni wa ajabu sana

    Msela nnya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

    HV inawezekana kuiblock TBC?natumia king'amuzi cha azam.inanikera sana.
  9. H

    TCRA vs maudhui ya bure FTA vs maudhui ya kulipia

    Siwazime na ving'amuzi vyenyewe tu,hii nchi inachosha leo naskia tena natakiwa kumiliki line moja inachosha.Ukiamka hujui kuna nn kitakuja kesho ni mashaka tu,aaah fanyeni mnachotaka.
  10. H

    Mohammad Dewji shut that little mouth up!

    Unapoleta mada uwe umeshiba weledi wakutosha juu unachokizumzia sio unakurupuka,Mo mhindi unamuita mwarabu,nibora ukabaki mchangiaji humu Jf kunavichwa unawezajiona hata hukwenda shule wakakuharibia nasiku yako bure!! Pole b'dada.
  11. H

    Lissu ama Zitto 2020: Magufuli atapata tabu sana

    Huku hana kitu msidanganywe maisha mnayoishi hayana tofauti na huku,kwalipi tumuunge mkono?SAMAKI sasa ni almasi,mifugo ukinunua ulipe 20,000 kwa ng'ombe,jina gari ulipie 5000 kwa km,sukari 3000kwa kilo,cement 20000,mche WA sabuni 1500,mafuta ya kula kibaba 500.huo uungaji mkono utoke wapi...
  12. H

    Magufuli mizigo anaiona ya wanasiasa kuhama vyama tu, hivi kupanda kwa bei bidhaa, hakuna ajira, elimu mbovu, madawa hakuna,sio mizigo kwa wanyonge

    Huo ndio ukweli huku mtaani hali ni ngumu mno...kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa,bei zabidhaa zinatisha wala hakuna MTU anajali wako bizzy na kiki.Sio kila msomi ni kiongozi,wengine ni makapi tu ya wasomi serikali imejaza PhD holders kwenye uongozi mambo yako hovyo kiasi hiki!!hakyaMungu...
  13. H

    Huyu mtu na baadhi ya wabunge wake inawezekana kabisa mwaka 2015 hawakushinda

    Huu uoga mm pia unanishangaza sana...mbona hawajiamini kadri cku zinavyokwenda!
  14. H

    Andrew Massawe wa NIDA aliyekuwa anatafutwa na Waziri Lugola, ateuliwa na rais Kuwa Katibu mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

    Tena sana huyu huwa haeleweki anataka nn Kange kuwa makini,head lines zihamie kwako haki ya Mungu huna kazi...hiyo ni dalili mbaya kwako,tusubiri muda utazungumza!!!
  15. H

    Mbeya: Abiria zaidi ya 40 wanusurika kufa baada ya Basi kutekwa na watu wasiojulikana

    Unaweza lianzisha ukajikuta uko peke yako,wenzako wasikusaidie unatakiwa kuwa extra carefull.pengine ndani yagari wako na wengine,ni risk.
  16. H

    Iliwahi kukutokea?

    Huyo bwana anaongea kweli,habari yakupotea ilinikuta na mm tena mjira ya mchana nikitoka mtaa was Kongo,kuelekea Uhuru kupanda daladala kuelekea gongo la mboto, nikajikuta mnazi mmoja baada ya kuzunguka zaidi ya masaa mawili,naniliokolewa na rafiki yangu mmoja aliekuwa anapita eneo hilo,baada...
  17. H

    Nguvu ya Papuchi katika mwaka 2017

    Ndo cku nimezaliwa..mmhh iwe Sikh ya papuchi?
Back
Top Bottom